Wakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja
Bila kumumunya maneno hawa madogo video...
Wakuu hii kapo ya watoto wa kimakonde kutoka mtwara mnaionajee?
Wamependeza au hawajapendezaaa??
Harmanaiz na Wolpa au Harmonaiz na Isabella ipi kapo iliyotulia hapo?
Wakuu,
Kama inavyojieleza hapo juu, nimefanya uchunguzi na kupekua kweli kila mwanamuziki wa kike ukanda wa Afrika mashariki na kubaini uwepo wa mwanadada kutoka Kenya mwenye mvuto wa aina yake...
Mwanadada Wema Sepetu, leo amepandishwa Mahakama ya Kisutu kujibu kesi inayomkabili, ya matumizi ya mihadarati aina ya bangi.
Wema ameambatana na meneja wake, Martin Kadinda, mama yake mzazi, na...
Hii vita vya Lulu na Mange naona inamcost sana Majizzo. Ni ukweli usiopingika kuwa Mange anaishi USA lakini hana maisha kama anayoishi Lulu Tz. Lulu ni mtoto mdogo sana kwa Mange lakini kampiga...
Station mpya ya redio imetua jijini Dar es Salaam.
Inapatikana kwenye masafa ya 103.3 (zamani
yalikuwa yakitumiwa na BBC). Kwa mujibu wa poster iliyowekwa na Mkurugenzi
Mtendaji wa Clouds Media...
Anaitwa Juma Kassim wale watu wazee tunaofia rap "isiyo ya kukopi" yenye radha ya "rap katuni" tunamuita Sir Juma Nature Kiroboto "Mwanaume Halisi'
Kijana huyu ana historia nzito sa a kwenye game...
Kuna Dada mmoja hivi Simfahamu jina wala sura yake wala kazi yake ila namsikia tuu kupitia sauti yake Kiukweli nimejikuta nampenda tuuu kumsikiliza yaani to me anaweza ongea masaa 24 nisichoke...
Sakata hilo linaweza kuibua mjadala miongoni mwa waumini wa dini ya Kikristo ambayo pamoja na kuruhusu ndoa kuvunjika, ni nadra sana kwa makanisa kuidhinisha suala hilo.
=============
Flora...
Wasanii hawa ata ikitokea mziki ukawatupa mkono ila legacy yao itabaki milele kwenye bongo flava
1. Prof Jay
2. A.Y
3. Juma nature
4. Alikiba
5. Diamond
Najua wengi katika maisha ambayo tumekuzwa kwa hii stail ya kupatia pesa katika familia ni hii hapa. Je hapa ni wangapi wamewahi kuchochoa huu mtambo? Dondosha jinsi ya kuset mtambo huu
Nay wa Mitego anasema anafungua kanisa lake la kumuabudu Mungu.
Amedai kuwa kanisa lake litakuwa si la biashara, bali la kumuadu mwenyezi Mungu aliye hai.
“Acha kanisa likamilike, mwenye Mungu...
Nilikuwa shabiki wake kwa kufuatiia mitkasi ya maisha yake ya majuu, na nilikuwa nahangaika kutaka kujua uzima wa akili yake mpaka sasa bila mafanikio sijui ni crazy bald au ilikuwa ni over...
kwakweli mimi naiunga mkono serikili hii kuhusu madawa ya kurevya mana imekuwa shinda kwa vinjana mimi najiuliza tunazaa watoto wa alina gani mana kila mtoto akikua anajiinginza kwenye madawa ya...
Tanzania kuna wanawake warembo wengi sana ila kila nikipepesa macho akili inarudi kwa huyu mrembo
Mzuri Kiakili na Kimwili NANCY SUMARI
wadau kama mna mawazo tofauti tupieni picha kupinga hili
Wakuu huko instagram kuna binti anajiita happy77, kumbuka namba77 inavaliwa na mshambuliaji kutoka Tanzania anayeichezea Genk ya ubeligiji (samatta)
lakini nimeshangaa katika post nyingi za...
Wasalaam wana jamvi.
Bila shaka kila mmoja wetu anajua fika muziki wa live unavyo vutia na kufurahisha na bila shaka kama kweli msanii atajiandaa na ataishi maisha ya kuimba live atapiga pesa...
Jana nyota wa Tanzania na Mshindi wa MTV EMA african act 2016 Alikiba alianza world Tour yake kwa showJijini Durban South Africa.
Kiwango cha idadi ya watu waliojitokeza na ukumbi aliofanyia show...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.