Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Illuminati na kifo cha Michael Jackson Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’ Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
~ Lulu kila mti anaojitahidi kushika unateleza... ~ Kanumba alivuta. ~ Kapteni k naye akavuta. ~ Majizo naye anaozea selo... ~ Lulu ana nini Lulu??
3 Reactions
26 Replies
5K Views
Hii ni kali nyingine ya mwaka Mkude Simba maarufu kama Kitale,aliyekuwa anajiita kama Rais wa Mateja na kuigiza kama Teja mkuu. Ameamua kuachana na hilo jina,hata "Pages" zake ktk mitandao ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
....
3 Reactions
15 Replies
4K Views
Diamond Platinumz ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Mtanzania video yake kuwekwa kwenye tovuti ya msanii wa Kimarekani 50 Cent. Tovuti hiyo thisis50.com iliandika "Checkout Tanzania awards...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Kiba ndio msanii aliyevunja record ya kuahirisha show baada ya tamasha lake kuhudhuriwa na watu wachache sana kupita maelezo.... Show ikaja kurudiwa lakini nayo haikuwa kama ilivozaniwa...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Lile bifu linolotikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa sasa, linalowahusisha mastaa wenye mvuto wa aina yake bongo, namzungumzia Hamisa mobeto (I phone) na lulu michael (Techno) limefikia mahali...
6 Reactions
116 Replies
37K Views
Leo nimewaletea list ya wasanii waliopotea baada ya kufanya kolabo na Diamond wapo pia walioendelea kutoa nyimbo mbili tatu baadae wakazima kabisa. List hii hapa; 1.Chid benz Rapa mkali aliyewahi...
2 Reactions
42 Replies
8K Views
Msanii wa muziki wa hip hop kutoka Morogoro Afande Sele amesema leo tafsiri ya msemo wake ‘wasafi wataonekana wachafu’ ambayo aliitoa siku za karibuni baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul...
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Umofia Kwenu wana JF, Lengo la kuuliza hili swali ni kutaka kujua hii fani kama inalipa siku hizi au kuna vitu behind the scene vinafanywa na hao watangazaji? Wakuu nimeona watangazaji wengi wa...
6 Reactions
62 Replies
12K Views
Leo February 8, 2017 Kamanda wa Polisi wa Kanda maalumu ya Dar es Salaam, Simon Sirro amesema kuwa jeshi lake bado linamshikilia Wema na wenzake saba ambao walikamatwa na vielelezo na kuwa jalada...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
leo diamond wetu amepost picha hii ikiwa na maneno the UK top 10 biggest songs of the week . sio kweli! wimbo wake haupo kwenye list ya nyimbo kali uk ukienda kwenye hyo website list ni kama...
13 Reactions
94 Replies
14K Views
Habarini Wadau Mbona mzee wa Upako anavimba tu macho na kuota ukungu? Ukijaribu kuangalia picha zake za awali kidogo tu na sasahv kwakweli utagundua huyu Lusekelo anavimba usoni hasa maeneo ya...
14 Reactions
121 Replies
21K Views
Habari zenu wanajamvi ? Kwa upande wangu mm ni mzima tu bukheri wa afya , Leo nataka tuangalie baadhi ya tabia za ajabu za team kiba kwa diamond 1) Team kiba wengi wanaongoza kwa kum follow...
14 Reactions
72 Replies
12K Views
1. Hajamfunga mkanda mtoto. 2. Anacheza mziki akiwa anaendesha na kuhatarisha maisha ya watumiaji wengi wa barabara pamoja na aliowapakia. Wanaosimamia sheria.. Raisi alishasema hakuna cha...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Yule msanii nyota anayejitahidi kujimarket kimataifa, Vanessa Mdee amedaiwa kujitumbukiza katika matumizi ya madawa ya kulevya aina ya Heroin. Vanessa anadaiwa kuanza kusniff baada ya kujiingiza...
8 Reactions
317 Replies
100K Views
Kuna mdada mmoja anatangaza Clouds Fm kwenye XXL segment ya 411 story za wasanii wa ulaya lakini mda mwingi hua anapiga makelele na kucheka bila kueleza habari kwa ufasaha unacheka cheka sana...
2 Reactions
57 Replies
16K Views
Akitoa taarifa katika kipindi cha infomer cha clouds FM kufuatia msako wa kukamata wahusika wa madawa ya kulevya alichofanya mkuu wa mkoa Paul makonda. Askari 9 wamekamatwa wakishirikia na wauza...
14 Reactions
699 Replies
126K Views
Picha aliyopost Ommy Dimpoz ikiashiria kuwa huyo ndiye mpenzi wake Ommy Dimpoz alisema hayo kwenye kipindi cha E-Newz cha EATV wiki kadhaa zilizopita, Ommy alifunguka na kuthibitishakuwa kwa sasa...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Nimeyasikiliza maelezo ya kamanda siro Leo wakati akitoa feedback kuhusiana na operesheni iliyokua ikiendelea ya madawa ya kulevya! Kamanda katika maelezo yake alitaja umri wa Wema sepetu kuwa...
2 Reactions
35 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…