Habari wadau hope mko poa
Wakuu Naimani wapo wadau wa sanaa humu wanao penda kuwekeza na kuiendeleza sanaaa
Yatanzania
Nawaomba mtuangalie nasisi wenye uwezo katika swala zima lasanaa lakini...
Mwigizaji maarufu Charles Warren ambaye ni shoga anayeigiza sinema katika tasnia ya sinema ya Nollywood nchini Nigeria amefariki ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika Hospitali moja...
Wakuu kwa ninachokiona kwa sasa kwa hili tukio la wasanii kuhusishwa na matumizi ya dawa za kulevya ni kutaka kuondoa attention ya watu kuhusu;
1)matokeo mabovu ya wanafunzi wa kidato cha nne...
Familia ya msanii wa bongo fleva Q Chilla wameamua kuingilia kati mkataba wa msanii huyo na kusema mkataba huo unamfanya aishi maisha magumu kiasi cha kushindwa kuchangia mambo yakifamilia...
Amini usiamini meneja wa mwanamuziki Naseeb Abdul au diamond platnumz kama anavyojulikana na wengi aitwae Hamis Taletale al maarufu kama babu tale ana pesa nyiingi saana kuliko diamond platinum...
Hapa sizungumzii punda wauza unga,maana mijitu itaamza kuandika barua hapa,wewe kajala nilikua nakulia Timing tu siku zote hizo ambazo mwenzio kakamatwa kwa shutuma za madawa, nikajua mwenzangu na...
Kwako mfwatiliaji wa mabingwa wa kuchekesha wanaoishikilia rekodi ya wachekeshaji waliotazamwa sana kwenye TV nchini Tanzania kuanzia time hiyo ya Ze Comedy mpaka Orijino Komedi walivyokuwa...
Watanzania Hao hao waliokuwa Wanawapost Kina Chid Benz...RayC..eti Jamii iwasaidie na Madawa Ya Kulevya Leo hao hao Wanamsupport Suspect wa Madawa ya Kulevya aliyetajwa na Makonda.... Watanzania...
Katika mtandao wake wa Facebook aandika barua ya wazi kushukuru mashabiki kumfananisha na super star juma jux aahidi aja vikali kuteka soko la films nchini
Mwigizaji wa Tanzania Wema Sepetu ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alifika kwenye kituo kikuu cha Polisi kati Dar es salaam baada ya kutajwa kwenye list ya wanaotuhumiwa kwenye utumiaji na...
Nakumbuka miaka ya zamani lulu nae alikua hivi hivi hashikiki, kila club yeye, kila rafiki yeye, mtoto alikua hashikiki mpaka mama yake akainua mikono, lulu anatoroka kwao usiku wa manane anaenda...
Vanessa mdee ameamua kuingia kwenye utamaduni mpya huku akiwashangaza mashabiki wake
Ameamua kuingia kwenye utamaduni wa watu wa Raggie kama bob marley na lucky dube
Baaadhi ya mashabiki...
Afande Sele amefunguka na kusema kama jambo hili litafanywa kwa haki na umakini basi huenda hata wale wasafi wakaonekana ni wachafu.
Afande Sele ameonyesha wasiwasi juu ya sakata hili la madawa...
The hottest thing in the TV lately, has been The New Edition Story(yeah I speak for myself). The mini-series released on BET, are telling stories that would make most rappers jealous. I used to...
Safari hii inaweza ikawa ni bad timing kwa mwanamuziki mashuhuli Africa, diamond platinum, baada ya hivi karibuni kuachia video ya wimbo wake mpya huitwao Marry me aliomshirikisha mwanamuziki...
Diamond platnumz ashinda tuzo za
Hipipo Awards 2017.
Ameshinda categories mbili
1.QUINQUENNIAL AFRICA MUSIC VANGUARD AWARD (2012-2016)
2.BEST VIDEO EAST AFRICA-SALOME.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.