Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wema Sepetu anataka kuweka jambo moja ‘very clear’ kuwa yeye si mtumiaji wa madawa ya kulevya. Staa huyo ametoa kauli hiyo baada ya kuwepo kwenye orodha ya mastaa wanaotuhumiwa kubwia unga na...
4 Reactions
65 Replies
10K Views
Nimeshangaa sana,kumbe leo ni siku ya kuzaliwa Kalapina, nabii Koko, Kikosi cha mizinga, mwanaharakati, hiphop bila madawa, 'mbunge' wa Kinondoni, asiyehusika na shoo ashuke, block 41, mbabe n.k...
3 Reactions
35 Replies
10K Views
Muigizaji machachali wa sinema za kihindi za mapigano pamoja na mapenzi John Abraham atangaza kuwa anatarajia kuja nchini mwakani kwa ajili ya kucheza baadhi ya vipande katika movie mpya...
3 Reactions
88 Replies
20K Views
Kwa wale wapenzi wa tamthilia bila shaka huyu kijana si mgeni machoni penu ,swali je mnakumbuka? Kama unamkumbuka embu nitajie ameigiza tamthilia ipi na kama nani? Je kwa sasa yupo wapi, hivi...
2 Reactions
23 Replies
6K Views
Msanii diamond platnumz na lebal yake ya WCB wamelipwa dola milioni 1 sawa na Tsh.bilioni 2 na campany ya Universal Music Group ili kusambaza nyimbo zao kote duniani kote. Diamond asema ndo...
9 Reactions
139 Replies
19K Views
Wanabodi habari, Huku mtaani nilikuwa nikipita mtaani nasikia vijana wa wenye makompyuta yao mtaani wakiupiga wimbo huu mpya, but sikujua ni nani kauimba. Basi leo nikapita mitaa fulani Sinza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu tunabishana hapa eti mama yake Diamond anajua kuongea kiingereza?
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Lulu amepigiwa simu na kusema mtu huyo hamjui na hakuna hata ishara moja ya kufanana nae, na hata mpenzi wake alivyoiona hakusema kwa kua sio ya kwake kwa kuwa kile alichokiona kwenye video sio...
4 Reactions
34 Replies
15K Views
Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa...
17 Reactions
60 Replies
10K Views
"MIMI SIYO SHOGA JAMANI......NAWASHANGAA SANA WANAUME WANAOHANGAIKA KUNIPIGIA SIMU"......BOB JUNIORSource:Mpekuzi Blog HATIMAYE staa wa Bongo Fleva, Raheem Nanji ‘Bob Junior’ ameifungukia...
0 Reactions
36 Replies
13K Views
Msichana Aliebadili Jinsia Kuwa Ya Kiume Atarajia Kuoa Kieran Moloney Kwa Sasa Ni Mvulana Ambae Hapo Awali Alikuwa Msichana Aliejulikana Kwa Jina La Ciara ,Alipofika Umri Wa Kuanza Shule Ya...
2 Reactions
31 Replies
11K Views
Nilikuwa napita huku na huko katika mitandao,hatimaye nikakutana na maisha ya uvaaji wa nguo za mmiliki wa mtandao wa facebook MARK ZUCKEBERG.Huyu jamaa ametoa picha ya kabati la nguo zake,na...
17 Reactions
118 Replies
29K Views
Mimi nimekaa nimefikilia nikakosa Jibu....kwa show ilivyo kuwa ya Amsha Amsha vile, na hasa pale walivyofanya Diamond Mohombi na Mwenzie....Angekuwa Alikiba Angeperform wimbo gani Eti? Nauliza...
4 Reactions
51 Replies
7K Views
Yule mkali wa miondoko ya hip hop na producer namba moja aliyewahi kutamba kipindi cha nyuma P-funk majan amedai Fid q ndo mc namba moja dunian kote yaan hakuna zaid ya Fid q Wawili hao ambao...
2 Reactions
94 Replies
9K Views
Rapper mkongwe kutoka A Town, Joh Makini akiwa anawakilisha Weusi, amewatolea uvivu vingozi katika tasnia ya sanaa hapa nchini. Mkali huyo wa ‘Waya’ amezungumzia juu ya kukosa sapoti kutoka...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Ben Paul ali loose cool baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu habari za mpenzi wake na mtoto wake ila Ben Paul hakutaka kuyazungumzia na kutaka aulizwe kuhusu mambo ya kazi zake za music, mwandishi...
7 Reactions
47 Replies
8K Views
Je kuna ulazima mabinti walimbwende mnaitaga ma Miss ni lazima wawe wembamba na wamedhoofu afya zao?? Maana namwona Miss Tz 2016 Diana Lukumay akiwa amedhoofu. Kwani sifa ya kuwa miss Tanzania...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Diamond anadai hayo ni masuala ya kazi kwani yeye pia anaonekana na wadada wengine kwenye mapozi tata, hivyo ameipotezea. Ila kwani Zari sasa hivi ni msanii?
4 Reactions
64 Replies
14K Views
Ni kweli unakipaji cha mziki lakini kwa Diamond bado sana yaani uwezo wako ni mdogo mno hata haufikii nusu ya robo ya uwezo alionao diamond . Diamond yeye ni msanii wa kimataifa hilo lipo wazi na...
8 Reactions
32 Replies
5K Views
Habari zenu Brothers and sisters in Humanity. Hakuna asiefahamu tukio lililotekea hivi majuzi huko Bukoba,watu mbali mbali wamejitokeza kutoa michango yao kuwasaidia wahanga wa Tetemeko. Cha...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Back
Top Bottom