Msanii Harmo Rapper, kwa ambao hawamjui ni jamaa aliyejitengenezea umaarufu kwa kufanana na Harmonize, kisha akawa ana rap, so yeye ni hrmonize anaye rap henze =Harmo Rapper
Watu wengi wanaposikiliza matangazo ya redio ya mchana kupitia idhaa ya kiswahili ya DW hupata tabu na kujiuliza mwenye sauti hiyo ya base anafananaje? Leo nimewaleteeni picha yake mumtambue
Saleh Kiba al maarufu kama Alikiba ni miongoni mwa wasanii wakongwe na wakubwa Tanzania, Afrika Mashariki na pengine Afrika
kwa ujumla. Ni mshindi wa tuzo zaidi ya 14 kwa mwaka 2016 ikiwezo tunzo...
Wakuu habari,
Mimi ni shabiki mnazi wa Diamond Platnumz kwa muda mrefu.
Nimekuwa nikosoma sehemu mitandao mbalimbali hata humu JF watu wakisema kuwa Diamond siku zake zinahesabika kushuka...
Ni swala ambalo liko wazi kwamba kwa sasa hakuna kokoro, wala kijuso kwny raman ya bongofleva, inaweza kuwa kweli kwamba diamond anasubiri game lipoe kwanza ndo awaruhusu vijana wake kutoa kazi...
Kutoka ndani ya XXL leo November 22, 2016 U Heard imekuja na stori kuhusu picha inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikiwaonesha watoto wa mastaa wa Bongo Flava, Diamond Platnumz na Alikiba huku...
Habari zenu wanajamii..!
Bila ya kupoteza muda hakuna asiyemfahamu Latifa Naseeb Abdul a.k.a Princess tiffah. Ila kwa faida ya wote ni kwamba tiffah ni mtoto wa star namba moja barani Afrika...
Diamond na wimbo wake "Salome" ambao leo ni miezi minne tu tangu wimbo huo uachiliwe hewani, tayari huko Youtube una views 12 Million.
Wimbo wenyewe hata hauna ujumbe wowote yaani; mara anasema...
Katika Hali ya kushangaza Mwanza Mwanza Fid Q ameonyesha ukomavu wake kwa kuisifia na kuipiga promo kazi mpya ya Mwamba Joh Makini.
Ni kitu cha kustusha kweli kweli ukizingatia kumekuwa na kile...
Wasalaam,
Napenda kuuliza kwa wale wapenda kushuhudia show za live kwa Wasanii wa Bongo fleva ni muda gani huwa wanaanza kuperform Maana nimelipa kiingilio nikafanya analysis ya Msanii Darasa...
Pamoja na urafiki au ukaribu uliopo kati ya Mwana FA na AY lakini kumbe inapofika kwenye kazi huwa inakua tofauti. Mwana FA amesema kuna kolabo ambayo aliomba kushiriki lakini nae ‘akatoswa’ na...
Baada ya kutuhumiwa kwamba anabebwa, sasa kakurupuka na kutuletea ngoma mbovu inayokwenda kwa jina la waya
Kiukweli hii ngoma haitakua na maisha marefu katika game hii yenye ushindani mkubwa yaani...
Kuna tetesi kuwa dada huyu alikuwa close sana na Ali Kiba kipindi flani kabla hata Diamond hajatoka hadi wakafanya kolabo ya nyimbo inayoitwa Wajua Nakupenda
Queen Darlin akihojiwa na kipindi cha...
hawa jamaa wawili walikuja na kibao chao kimoja kinaitwa SEMA staili Ya Takeu wakipewa Biti na P funky aka majani,Ndani ya wimbo kuna maneno kama Mimi nalala chini lakini ni kweli yanakuhusu nn,Mm...
Michael Joseph Jackson alizaliwa tarehe 29 August mwaka ,1958, huko Gary, Indiana marekani.
Michael Jackson alikuwa Ni mtunzi wa nyimbo, mwanamuziki, dancer Na muigizaji, Na pia alipewa jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.