watu bana
Mwezi Januari mwaka huu katika mitandao ya kijamii aliibuka msanii chipukizi wa Bongo Fleva anayefanana sana kwa sura na msanii kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) aitwaye Harmonize...
Msanii anayejifananisha na Harmonize Harmo Rapper alikuwa akihijiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo Cha East Africa Radio na kusema kwa sasa yeye ni msanii mkubwa wa level za akina Fid Q na hawezi...
Nakumbuka siku za karibuni huyu jamaa alipokuja na nadhalia yake ya maji kuwa ndiyo siri ya ngozi yake kuwa nyororo na inayovutia, wengi walimbeza na kumkejeli, na wengine wakaenda mbali zaidi...
Nacheki post kibao za 50 kwenye instagram dizaini kama ana mdisi sana floyd....kuna moja kamuambia "floyd una sema f@ck 50,TI and nelly wakati nelly kamgonga mama wa mtoto wako wa kwanza na...
Baada ya kumkwapua Juma Mussa Mpolopoto ‘Jux’ aliyekuwa mpenzi wa modo Jacqueline Fitzpatrick ‘Jack Cliff’ kisha modo huyo kufungwa kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, mtoto mzuri wa...
Kila mtu anakitu ambacho anakihofia zaidi maishani kwake. Kwa upande wa Ommy Dimpoz anachokihofia zaidi ni kusutwa.
"Kwa maisha ya kawaida naogopa zaidi kusutwa yaani mile neno la huku na huku...
Niungane na aliyeanzisha Uzi juu ya kutambua vijiwe vya wauza bangi mjini na kokote kule.
Tutaje vijiwe vya wauza unga Dar es Salaam
Wakati tunaangalia vijiwe ni vema pia tuangalie hawa tunaosema...
Mkali wa WCB harmonize amejigamba kuwa yeye hufiti style zote za diamond za kuimba na kucheza katika mziki. Mkali huyo amesema hayo kutokana na watu wengi kumkejeli kuwa huwa anapenda sana...
Siku hiz huyu jamaa ambwene yesaya anafanya musik wa aina gan zaman alikua mwana hip hop siku hiz ana radha mpya ya music sijajua ni aina gan ya music anafanya
Mwenye kujua muzik anaofanya huyu...
Katika uchunguzi nilioufanya nimegundua kwamba maprodyuza wengi (karibia wote) wanavipaji vikubwa sana vya kuimba, na endapo wataamua kuingia kwenye tasnia ya uimbaji basi hutoa Hitsong kali sana...
Habari wakuu wa jukwaa kuna hawa wasanii mimi huwa sielewi wanafanya music wa aina naomba mwenye kujua anisaidie
Linex
Mwana fa
Baba levo
Hamonizer
Dudu baya
Nay wa mitego
Quik laka
Rapa mwana fa anaefanya vizuri na wimbo wake wa "Duke Suruali " amefunguka na kuweka wazi hana tena mpango wa kufanya kazi na msanii lady jaydee.
Mwana FA alisema hayo kupitia kipindi cha planet...
Rapa AY amefunguka na kusema kuwa toka mwaka 2006 mpaka sasa hakuna rapa ambaye ameibuka na kuwa mkubwa zaidi ya Joh Makini.
AY amesema hayo kupitia kipindi cha Planet Bongo ya East Africa Radio...
Hilo ni swali langu wakuu wa nyumba hii kwanini hawa wasanii wa mwanza hupenda sana kuchanganya kisukuma kwenye nyimbo zao kinawapelekea kufanya hivo au ndo kuendeleza ukabila
COYO MC huyu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.