Baada ya tetesi za kutokuwa na maelewano mazuri ndani ya kundi la Yamoto Band kwa muda yaliyosababisha kutoachia kazi mpya, mmoja ya wasanii wanaounda kundi hilo Enock Bella amefunguka na kudai...
Salaam Wakuu.
Wasanii maarufu na wenye mashabiki Lukuki hapa nchini, ambao wamekuwa katika upinzani mzito wamekutanishwa kwenye Tangazo la shirika la mafao la NSSF.
Wasanii hao Nasibu Abdul...
Na kumwembe
Chid Benzi anatushangaa tunavyomshangaa
Na Edo Kumwembe
NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu...
MAFANIKIO YA MAISHA SIO ELIMU TU, UTHUBUTU, KUJIAMINI NA UJASIRI WA MAAMUZI
✍Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa...
Msanii wa muziki singeli Man Fongo amesema anakumbuka alipoanzia muziki wake kwa kuimba nyimbo za vigodoro uswahili na ipo siku atarudi uswahilini kuwaimbia mashabiki zake.
Akiongea kupitia eNewz...
Ukitaka hip-hop kamili nenda mwanza
Kutoka young killer , Fid Q ndiye wa kwanza
Wanasema mamilionea feki wanatokea Arusha
Rest in peace kwa watakaozusha.
Mjini ngono inalipa kuliko uprofesa
Elimu...
Mbaka sasa,sijasikia chochote kutoka kwa msanii wa singeli man fongo najua alitoa nyimbo lakini nilitegeme atatoa nyimb nyingine yakuizidi haina ushemeji ila mpaka.sasa kimya na huu mziki nao pia...
Habari wanaJF
Kuna jambo Fulani huwa linanijia kichwani pale ninapoona wabunge machachari ambao pia walikuwa wanamuziki na wengine bado wanaimba muziki.
Najua kupitia uzi huu tutawajua wengi na...
Instagram kumechafuka, yani watu wanatukana wanavyojisikia, hawaogopi kitu chochote kile. Matusi hayo yamemkuta kajala, katukaniwa mtoto wake hadi kashindwa kukaa kimya. Hiki ndo alichokiandika...
Wakati napita pita kwenye milardayo dot com nimeona kuna hii habari ipo kwenye kichwa cha habari cha gazeti la MIKASA. Kwa wale watakaobahatika kuisoma naomba mje mnihadithie ni mimba ya nani na...
Waliosema elimu ni mtaji siyo wajinga na ujanja ni kusoma alama za nyakati.. Mh.. Sugu ambaye ni mbunge wa Mbeya Mjini anamalizia ujenzi wa hoteli ya kitalii ya nyota 3 jijini mbeya kwa mkopo wa...
Kwa wale wadau wa mziki hapa nazungumzia lile kundi la watu ambao wanapenda mziki mzuri haijarishi Ile tarabu, sengeri nk nadhani watakuwa wameona upepo ulivyobadilika tangia mwishoni mwa mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.