Mwana Fa amadai kwa sasa muziki wa ma group hauwezi kulipa tena kutokana na hali ya uchumi wa muziki kwa sasa, ametolea mfano wa ma group ya muziki ya Marekani waliyokuwa wameyaiga kama D12...
AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR.
This is a non-Nigerian award category for an individual African artiste or group with the most astounding endeavors especially in penetrating the Nigerian Music...
Kuna harusi 2 tumealikwa moja Mombasa nyingine Tannga. Kwa Mombasa lakini nahitaji walio wenyeji au waliowahi kwenda kule wanipe sifa za kule na sababu zipi zinafanya wanawake wa kule kupenda...
Wakuu kumekuwa kuna video ya kwichi kwichi inayodhaniwa kuwa ni ya mtoto wa kajala masanja
Katika video hiyo inaonekana binti mdogo anayeugulia kipigo cha paipu
~Kajala akanusha
Kajala masanja...
Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama...
Mwanamuzi Davido amempiga chini Manager wake wa Siku nyingi Kamal Ajiboye na kuamua kujisimamia mwenyewe.
Kupitia Snap chaty Davido alitoa taarifa hizo tangu asaini dili ya bilioni 4 na Sony...
Siku sio nyingi tangu story za jamaa aliyefananishwa na mwimbaji Harmonize zisambae kwenye mitandao ya kijamii. Akiwa kama msanii aliyepewa jina la Harmorapa kwakuwa yeye ni rapa na sio mwimbaji...
Waziri wa sanaa na michezo Nape Nnauye amesema anahisi mashabiki wa upande wa Ali Kiba ndio walikuwa wakiponda kuhusu Diamond kupewa bendera kwa sababu kumekuwa na uhasama na chuki kati ya pande...
Huyu kijana wa kimakonde nimemfatilia tangu mwanzo kiukweli niwakipekee hana majivuno, sio mtu wa media sana au kupenda kuuza sura ni mtaratibu sana nidhamu yake iko juu mno kiukweli wasanii wote...
Kuna kipindi nilisikia sikia kuwa jamaa amezama kwenye madawa ya kulevya huko Moro hadi hajielewi lakini yeye mwenyewe alikuja kuhojiwa na Millard Ayo akakana kuwa hatumii kabisa madawa,....lakini...
Inasemekana kuwa Vanessa Mdee ameingia kwenye bifu na wasanii wa WCB kisa wimbo wa kijuso accoring to shilawadu
Vanessa alikuwa ameingiza vocal kwenye nyimbo hiyo ila WCB wakatoa sauti yake na...
Wakati wakisubiri ujio wa mtoto wao wa kiume, Nillan, Zari na Diamond walipiga picha kwaajili ya jarida la Mamas and Papas la nchini Afrika Kusini. Na sasa jarida hilo linaingia mtaani February...
Msanii wa muziki wa asili nchini, Mrisho Mpoto amefunguka na kuzungumzia kitu alichojifunza kutoka kwa msanii Diamond Platnumz ambaye kwa sasa anatajwa kuwa ni mmoja kati ya wasanii wenye...
Kati ya hawa wasanii nani atamjibu dogo na kukubali kuwa demu wa Young Killa au akae kimya kuonesha anamuogopa
Young Dee
Dogo Janja
JoH Makini
Baraka Da Prince
G Nako
Mondi nk?
Mama Diamond leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amuonesha hawavumi lkn wamo. Ni baada ya kutupia kijivideo flan hivi amaiziiiiiiing ambapo mwenye anaonekana ametupia kiblauzi kimoja matata na...
Umofia Kwenu wana JF,
Hiyo ni statement aliyoitoa msanii Fidq wakati akigongesha taya na Dulla Plannet wa E.A Radio wakati akijibu swali kwanini Video zao za wana HipHop hazina View Nyingi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.