Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Leo ni siku ya kuzaliwa gwiji wa sinema za kihindi ajulikanae kama hrithic roshan au mr jadooo Anatimiza jumla ya miaka 43
4 Reactions
35 Replies
3K Views
Kama ni kuaga Mwaka darasa wimbo wake umetushika vilivyo.. .ni baada ya watayatishaji wa vipindi clouds TV kuonekana katika taarifa ya Khabar wakiwatakia watazamaji heri ya Mwaka Mpya kwa...
5 Reactions
25 Replies
6K Views
Mtanzania Millard Ayo achaguliwa na shirikisho la soka Afrika katika list ya Waandishi watakaoripoti michuano ya Afrika kutoka uwanjani Michuano hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi Januari 14 2017...
9 Reactions
35 Replies
9K Views
Mkali wa muziki wa bongo Ali kiba anatarajia kufanya show katika miji mbali mbali nchini Marekani kuanzia mwezi March April 2017, hii si Mara ya kwanza kwa mwanamziki huyo wa bongo flavour kwani...
1 Reactions
41 Replies
8K Views
Dudu Baya alisema watu hao ni Kenge na hawawezi kumtishia mamba Pia kusema kuwa watu wanapoona yupo kimya wanadhani huenda amefulia na kusema yeye yupo busy na...
3 Reactions
13 Replies
5K Views
Hongera kwako Masele.
9 Reactions
102 Replies
16K Views
Msanii wa bongofleva Darassa ambaye jina lake limeongoza kwa kutajwa mara nyingi kwenye namba kubwa za chati za Radio/TV Tanzania kutokana na hit single ya ‘muziki‘ amekaa kwenye Exclusive...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Rapper Young Killer anadai kuwa wimbo wake mpya, Sinaga Swaga umekuja kuirudisha ‘real hip hop’ kwenye mstari. Amedai kuwa kipindi cha hivi karibuni rappers wengi wa Bongo wamekuwa wakilegeza...
1 Reactions
57 Replies
11K Views
Watanzania wenzangu nimeshtushwa sana Na ujio wa Baba Mchungaji Masanja Na mkewe.Mchungaji masanja hebu jipime elimu ya uchungaji umeipata lini Na wapi? Mchungaji masanja uchungaji in taalum hebu...
24 Reactions
123 Replies
20K Views
KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
8 Reactions
143 Replies
29K Views
Waziri Nape nauye amemkabidhi bendera ya Tanzania msanii Diamond platnumz ambae kesho anaondoka kwenda nchini Gabon kutumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano ya AFCON itayoanza weekend...
20 Reactions
84 Replies
10K Views
Huyu kijana wa hip hop nimesikiliza ngoma zake kadhaa kama makaveli, nipende, shots, kuntu na leo nimesikia ngoma yake mpya inaitwa "stay true", nakiri huyu dogo anaweza sana. Ana rhymes, lyrics...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kama hii imetokea marekani Chriss Brown na Soulja boy watakinyunda kule dubai. Wataingiza pesa mingi. Nchini hapa promota achukue wazo. Pay for views tutapata wengi. Team diamond vs team...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nimealikwa leo kwa kupewa kipeperushi ila nimeshangaa kuona jina la flora lilivyoandikwa sio kama zamani.
4 Reactions
57 Replies
9K Views
Nani mkali wa flow kati ya hawa A-list MCs in bongo
4 Reactions
167 Replies
20K Views
Imezoeleka hadi mtu afe ndo sifa zake zinatamalaki na nyimbo zake kupigwa redioni muziki unabadilika watu wanakuja na kuondoka katika Industry ya Hip Hop ya Bongo kwa sasa Nick Mbishi & One(uno)...
4 Reactions
28 Replies
7K Views
Roma enzi zile mr presdent,pastor na nyingine na huyu wa KIWALANI K yupi unamkubali
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Diamond platnumz ameuanza mwaka 2017 kwa kishindo baada ya Jana kushinda tuzo nchini Nigeria kama most searched personality across Africa. Habari njema kwake tena ni kwamba weekend hii ameshinda...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom