Mwanariadha wa South Africa mwenye jinsia yenye utata, hatimaye amemwoa Msichana Violet Rasaboya, tukio hilo limeodoa utata wa kutokujua jinsia ya Semenya
Despite once being Africa's number 6 and East Africa's number one singer, Jose Chameleone has been beaten by Eddy Kenzo who was recently ranked as number 5 among the top African Artistes of week...
Nimework hard katika kusikiliza interviewz na vipindi mbalimbali via tvshows, now nahitaji mchango wenu kujua ,which one is the best kati ya Wema Sepetu(in my shoes) na Vanessa mdee(the...
Takribani watu 15 wanashikiliwa kwa tuhuma za kuhusika na tukio la kumpora nyota wa vipindi vya televisheni, Kim Kardashian.
Mwanadada huyo aliporwa vitu vyenye thamani ya takribani Shilingi...
Majirani wa msanii Ali Kiba huko Tabata wamesema msanii huyo anaishi karibu nao lakini hawamuoni kwa kuwa kila akipita amefunga vioo tinted na wala hasalimii
Wamesema wanahisi kuwa anajificha ndio...
Staa wa filamu za Kibongo,Wema Sepetu amekiri kufunga ndoa bomani hivi karibuni ambayo ilihudhuliwa na watu wachache. Akizungumza na Clouds FM alisema kuwa aliamua kufunga ndoa ya siri kwa kuogopa...
Angalau Jina la Tanzania litatajwa mwaka huu kwenye michuano ya AFCON inayofanyika nchini Gabon.
Msanii diamond atatumbuiza kwenye sherehe za ufunguzi wa michuano hiyo, huku wenyeji Gabon...
Msanii wa k'ko King Kiba anaetarajia kufikisha miaka 40 hapo kesho amejibu kauli ya Icon wa Taifa, Mr Oxygen, Chibu Dangote. Simbaaaaa, Diamond Platinumz kuhusu pete ya kijani wiki iliopita...
Daaah aisee hawa watoto wawili Tunda na Selena wanafanana vitu vingi sana kuanzia style yao ya maisha, aina ya wapenzi waliokuwa nao hapo awali, tabia ya kupenda kula kula ,uvaaji ,sura, na vitu...
Kama kawaida mimi kama shabiki wa Vijana mahustler, wapambanaji nichukue nafasi hii adimu kumpa kongole kijana mwenzetu kwa hatua kadhaa anazopiga kiuchumi na kupitia muziki wake.
- Naamini...
Mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan amedai katika tasnia ya filamu, mrembo Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye msichana mwenye sifa ya kumuoa.
Idris ambaye alikuwa akitoka kimapenzi na Wema...
Hatimaye Wissam al mana na mkewe janet jackson mwenye umri wa miaka 50 wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume Eissa al mana mnamo januari 03 mwaka 2017. Kwa janet jackson huyu ndio mtoto wake wa...
Msanii wa kitambo kunako gemu la bongo fleva anawashangaa sana wasanii wa kizazi hiki wanaotumia madawa ya kulevya na kuwaita wajinga na washamba sana
Amesema wao ndio walitakiwa kutumia madawa ya...
Siku za karibuni kumezuka stories kuwa wabongo wameacha kupiga miziki ya kwao na kuwaiga wanaigeria. Mfano wa ngoma zinazotajwa kuiga ladha ya Nigeria ni kama Kokoro, Shikorobo, Mugacherere, na...
Kosa kubwa sana analofanya huyu producer anayeitwa Rioba ambaye alikuwa ni meneja wa Young D. Nimegundua ni kwa nini hawa watu hawakaki pamoja kikazi kwa muda mrefu na baada ya muda wanatibuana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.