Alianza Simba Diamond Platnumz, mara Rayvanny, Harmonize na Mavoko wakatia timu pande zile na week hii kaibuka wakuitwa King Kiba nae anaanza tour Ulaya na Marekani na mpaka muda huu Malaika wa...
Mchumba wa Lady Jaydee kutoka Nigeria amesema anaitwa Spice kutoka Nigeria amesema yeye ni mwanamuziki na wanampango wa kufanya mambo makubwa na ady Jaydee ambayo hakuyataja ila akasema watu...
Utadhani hili ni jambo la kawaida kwa msanii kutoka ardhi ya Tanzania akapewa heshima ya kutumbuiza uzinduzi wa mashindano makubwa kuliko yote Africa.
Diamond ameipa heshima Tanzania kwa kuwa...
Baada ya Wimbo wa Muziki kukonga mashabiki wengi hapa nchini, mashabiki wa muziki nchini Kenya wametoa kilio chao na kuomba Darassa akafanye show nchini mwao.
Msanii wa muziki nchini Kenya...
Habari Wadau Wa Jukwaa Hili,
- Leo Nimeona Niongelee Kuhusu Huyu Msanii Anayejichukulia Ni Msanii Mkubwa Sana Lakini Hawajielewi Hususani Kwenye Mambo Ya Msingi Zaidi Ya Kutanguliza Umwinyi
-...
Napenda kuwashauri uongozi wa TV1 kuhusu kipindi kimoja anachowekaa vichekesho huyu mtangazaji wenu Mc Pilipili(the clip).
Mshaurini huyu kijana aandae vichekesho vyake mwenyewe ili kukiongezea...
Mwanadada mrembo wa sura na mvuto wa hali ya juu wa kimapenzi anayetikisa bongo nzima kwa uzuri ambaye anatoka kimapenzi na rapper Young Dar es Salaam au young d aitwae Tunda hatimaye aamua...
Msanii matonya katoa wimbo mpya unaoitwa Hakijaeleweka..Nyimbo hii imenibamba na imenikumbusha matonya wa vaileth imaka ilee!This is the pure bongo flavor and i love it!
Baada ya kufanya parody ya filamu maarufu ya Afrika Kusini, Sarafina, mchekeshaji wa Kenya, Eric Omondi anarejea tena na parody ya filamu maarufu ya ‘The Gods Must Be Crazy.’ Omondi ameiita...
Wanabodi,
Napenda vya Nyumbani sanaaa... Na Ningependa watu kama kina Pilipili wawe wanafanya vitu vya level Hizi..
Kimsingi Omondi hapa kafunika sana.. Kipaji cha hali ya juu..
Hii ni...
Kwa Mara ya kwanza ndani ya Ardhi ya kwanza Tanzania, diamond na zari watatumbuiza pamoja hapa mjini songea kwenye sherehe za CCM kutimiza miaka 38.
Update
Diamond na zari wameshatua uwanja Wa...
Msanii wa siki nyingi wa vichekesho aliyejipatia umaarufu katika kundi la vituko show kwa style yake ya kuigiza kama mlevi, Chrispine Lyogello "Masele" ameaga ukapela baada ya kufunga pingu za...
Eti kalipwa Milioni 90!
Hivi nyie Milioni 90 mnaijua au mnaropoka tu? Kwanza jamaa kaimba CD Playback na pili nimetoka kuongea na mtu wa Tigo ndani kabisa hamna kitu kama hicho hawawezi...
MALOVEE? Bosi wa Top Band, Khaleed Mohamed TID au Mzee Mnyama na mtoto mzuri kutoka Jumba la Vipaji Tanzania (THT), Winfrida Josephat Recho THT, wanadaiwa kuwa na uhusiano uliotafsiriwa...
Diamond Platnumz-most searched personality Across Africa.
He is one of the biggest selling Tanzaniaian artistes of all time and one of the biggest on continent.
Visit: www.thenetng.com for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.