Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

MwAnAume wa dar anaumbuka huku.... Kifupi ni kwamba Chemical kamzidi akili huyu mwanaume wa dar kwa mbaali sana..
2 Reactions
110 Replies
15K Views
Msanii Lumino kutoka Congo amewakutanisha tena wakali wa muziki Africa Diamond na Davido ambao baadhi ya mashabiki wanaamini 'hawawivi' kama zamani, awali huo wimbo unaoitwa 'Rockonolo' uliimbwa...
4 Reactions
17 Replies
4K Views
Sometimes back kilinuka mitandaoni kuhusu yule mpenzi wa ice Prince ambaye Shilawadu alianika siri yake ya kutoka kimapenzi na mzee flani milionea. Kilichonishangaza kwanini huyu msichana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kupitia Millard Ayo exclusive, hit maker wa bongo flavour akiri kuwa waziri fulani wa nishati alikuwa anammegea demu wake na wakati huo huo alikuwa anampa tenda za kuimba nyimbo za kupromote umeme...
3 Reactions
34 Replies
13K Views
Diamond Platinumz akiwa na Rais wa Gabon Ali Bongo Odimba
13 Reactions
138 Replies
34K Views
Dancer wa Diamond, Mose Iyobo amesema kuingia kwenye mahusiano ya mapenzi na Aunt Ezekiel kumemsaidia mambo mengi katika maisha yake. Akizungumza na Bongo5, Mose amesema hasa hasa amenufaika sana...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Huyu Actress aliyecheza movie ya X-Men: Apocalypse, namfananisha sana na Chemical yule mwanamuziki wa kikie wa Hipo hop wa bongo fleva. Mcheza movie huyu wa Hollywood anajulikana kwa jina la...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Tutakukumbuka Daima Dada Regia Mtema, hakika Ulikua Jembe. Naamini Mohamedi Mtoi na Alphonce Mawazo mmekutana! Tutawakumbuka Daima Tarehe 14.01.2012
1 Reactions
14 Replies
2K Views
DAVIDO WA NIGERIA NA DIAMOND WETU WAPO GABON HUKO .ILA SIJAONA SEHEMU WAMEPIGA PICHA PAMOJA NA SIO JAMBO LA KAWAIDA KWA DIAMOND KUTOKUONESHA MASHAUZI YAKE AKIWA NA WATU KAMA HAO. ZILE SHUTUMA ZA...
0 Reactions
29 Replies
6K Views
Kauli hakuna marefu yasiyo name inchi, au yenye mwanzo yana mwisho walioitunga wanastahili pongezi leo mda si mrefu nasikiliza E fm nimesikia wimbo wa nakupenda tu by dudu baya hasa hasa ule...
5 Reactions
31 Replies
6K Views
Stereo ameweka wazi hisia zake kwa Chemical:
5 Reactions
63 Replies
14K Views
Kumekuwa na sitofamu katika mitandao ya kijamii kuhusu ni nani anastahili kukabidhiwa bendera ya Taifa ili kuwakilisha nchi, baada ya Diamond Platnumz kukabidhiwa bendera ya Taifa jana na Waziri...
0 Reactions
63 Replies
7K Views
Joh Makini, Nikki wa pili na G.nako wakihojiwa kwenye kipindi cha Planet Bongo cha EA Radio wamezungumzia suala la kubebwa alilodai Young Killer Joh Makini yeye hakutaka kulizungumzia kabisa na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
EMCEE bora kabisa toka tamaduni music... Tanzania ina Maemcee wa hatari bhana...
3 Reactions
161 Replies
27K Views
Ngoma inaitwa Yono!Daah prince Dully kazingua aisee! Hii hapa!
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Msanii wa Bongo movie aunt ezekiel amedai bongo movie bado ina uhai ila soko limedorora kidogo, lakini kudorora huko ni kutokana na watanzania kutopenda vitu vya kwao Amesema ni bora kununua bongo...
2 Reactions
172 Replies
21K Views
Hivi ndivo ilivo.
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Muigizaji anayefanya vizuri katika tasnia ya filamu, Gabo Zigamba ameujia juu mtandao mmoja wa Kenya ambao umedai kuwa yeye ni raia wa Kenya. Mtandao huo uliandika stori yenye kichwa cha habari...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimekuwa mshabiki na mfuatiliaji wa muziki wako kwa muda mrefu sana sijawahi kuchoka kusikiliza nyimbo zako hata siku. Ulivyotoa huu wimbo wa sinaga swaga nimeusikiliza kama mara 10 hivi...
4 Reactions
31 Replies
5K Views
Vanesa Mdee:Amefunguka kuwa anahitaji kuigiza filamu na tamthilia. Chanzo cha Hsbari:East Africa Television. My Take. Sijui kwanini huyu mdada mziki haumlipi au? While akina Shilole wanatoka...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom