Juzi tu AY alimtambulisha mke wake mtarajiwa kwa washabiki wake.
Hiyo Jana Prof J naye kaamua kumvalisha pete wa kwake..
Inaonekana huu mwaka ni wa kuoa aisee!
Ila hilo shape! Shikamoo mbunge.
Naomba wakati tunakaribisha mwaka mpya 2017 tujadili kidogo hizi tuzo za kimataifa. Kwa sasa kumekuwa na wimbi la wasanii wetu kuwa nominated kwenye tuzo za nchi za wenzetu katika hii miaka miwili...
Stori: Shakoor Jongo
Rapa maarufu Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz' ameibuka na kueleza kwamba alikuwa akitumia madawa ya kulevya kwa muda mrefu lakini sasa ameamua kuacha baada ya...
Aliibuka na kibao "usiulize" kilocho-hit kwa kasi na akajizolea mashabiki wa kutosha nikiwemo na mimi. Pia alimtuhumu msanii Fid q kwa kumuibia mashairi yake na kuyaimba katika kibao kinachoitwa...
Mbona watu wachache sana afu picha zimepigiwa mbali sana afu full cropping za kutosha......daah aibu sana sizani kama watu 300 wanafika kwny hii show ni aibu sana
Ushauri msanii ukiona show...
Huyu msanii anaejiita Shilole binafsi simpendi kwa tabia yake ya kununua vijana hasa hawa wavivu wa kufanya kazi na kuwaoa na kuwatumikisha kingono, kuna huyu dogo ambae amemchukua anaitwa Adamu...
Wakuu hii ni mpya tu baada ya yule jamaa kuropoka
hivi karibuni niliona uzi hapa kuhusu msaniii mmoja wa bongo movie akituponda watanzania tunaom suppport Omondi
Hivi anapata wapi nguvu hiyo ...
She's always in demand, but Mariah Carey tells UsMagazine.com that she's going to pay a lot more attention to who she's singing for in the future.
Last month Wikileaks revealed that the...
Kheri ya mwaka mpya wana JF wote! Hii ndio habari ya kusikitisha baada ya msanii Young D kusemekana kurudia kubwia unga! Hii ni baada ya meneja wake Max kuonekana akichat na dada fulani kuhusu...
Katika mwaka 2016 stori zilizozagaa mitaani juu ya Ali Kiba kumtafuna Meneja wake Seven Mosha imeutesa sana moyo wangu maana Seven ndio mwanamke ninayempenda kuliko wote.
Wakuu nisaidie kumpata...
Nimejaribu kufatilia kuhusu hiz tuzo akishinda kiba blogs kama zina delay hiv kutoa taarifa halafu kuna kuwa hakuna zile attention tofauti na team yake kujaribu Ku draw attention kwa watu but...
Hivi Wanadada wetu Wa bongo(wasanii) mbona hawajawahi kufanya colabo? Najaribu ku-recall nimegundua kwamba hamna nyimbo ya mastaa Wa kike bongo waliofanya colabo mf. Ray c na jdee.. Hivi tatizo...
Msanii Diamond na mcheza show wake wakiwa nje ya mahakama ya Mwanzo Iringa mjini
MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya Diamond na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mwandishi Bw. Francis...
"Sisi mashabiki wa muziki hapa Dodoma tunauliza ile show ya marudio aliyotuhaidi king kiba itafanyika lini? Maana tulihaidiwa tarehe 28 tutaenda kumuona lakini mpaka leo tarehe 2 January hatupewi...
Wale waliosema kuwa aje haikutakiwa kuwa video bora bongo eti moyoshine ndio ilitakiwa kuchukua hiyo tuzo, Hatima video hiyo imeendelea kupasua anga za kimataifa na hiyo jana kunyakuwa video bora...
Nachukua nafasi hii kumpongeza bwana Stephen Kanumba kwa juhudi zake za kukuza Bongo movies (Hata JK aliwapa Big Up). Pamoja na mafanikio makubwa aliyopata hapan nchini, Kanumba hajaridhika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.