ALI KIBA
Imeandikwa Kila Mtu Na Msalaba Wake.
Na Wewe Ndo Roho Yangu Me Nataka Utoke,
ALICHONIPA MUNGU mimi NAKIJUA
SINA HAJA YA KUJITUTUMUA NIKAUMIA
,Ile Saa Alioniacha Babu naikumbuka
Me...
Katika kile kinachoonekana viongozi wa serikali kuvutiwa na jinsi Diamond na lebel yake WCB wanavyoibadilisha tasnia ya muziki wa Tanzania kuwa fursa ya kibiashara na kazi rasmi, Mh. Waziri wa...
Yule mwanamichezo maarufu wa Marekani Serena Williams amepata nchumba.
Hiii ni habari mbaya kwa wale marafiki zangu wa Tanzania walioko huko ambao wengi walitarajia hako kanafasi.
Hatahivyo...
Yule wa WCB. Kiukweli naye huyu sikjua katokea wapi, mara nikamwona kasajiliwa na Wasafi. Nikimsikiliza nasikia kile ninachopenda kusikia, yaani sauti nzuri ya uanamuziki. Nikajisemea kuwa Diamond...
December 31. 12. 2016
10 of the biggest African tracks of 2016: Tekno,Diamond Platnumz ,Babe Wodumo and more
From Diamond Platnumz’s update of a Tanzanian classic to an ode to dirt-cheap South...
Inahitaji nguvu ya ziada kufikisha views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube.
Tumekuandalia orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo...
Wasanii wengi wa Bongo Flavour wameamua kujiunga na kufanya music pamoja kama makundi. Ni jambo jema na zuri kabisa. Tunapata music mzuri wenye radha nzuri tofauti kutoka kwao. Wanasaidiana na...
Edo Kumwembe
Chid Benzi anatushangaa tunavyomshangaa
Na Edo Kumwembe
NI zaidi ya kujikuta juu ya kitanda na msichana unayempenda kuliko wote duniani. Ni zaidi ya kutazama bao la ushindi la timu...
RIP JOHN au BIG JOHN ni Mwigizaji toka Bongo movie na filamu yake ya mwisho kama wataka kumjua ni BARMED ya Nice na Irene Owoya aliact kama Boss wa bar ambae alimpa ukimwi Irene Uwoya nazani...
Picha za Ray C akiwa ndani ya muonekano mpya wa kihindi
Huenda huu ukawa ndio ujio mpya wa msanii mkongwe wa muziki wa bongofleva Rehema Chalamika aka Ray C baada ya misukosuko ya hapa na pale...
Kuna uzi humu lara 1 anaelezea jinsi makampuni yalivyopotoka kumtumia Diamond kwa matangazo yake kama humaniser.
Uzi wenyewe ni huu: Pale makampuni ya Bongo yanapokurupuka kumuendorse Diamond...
Chid Benz amerudia tena madawa ya kulevya na yupo kwenye hali mbaya
Mwana Fa alimuomba Babu Tale wamsaidie msanii huyo hivi karibuni lakini Babu Tale akasema hatomsaidia tena kwa kuwa Chid Benz ni...
Msanii mkali toka THT Mwasiti Almasi yasemekana amenyang'anywa Benz alilokuwa akitamba nalo hapa mjini baada ya kutoonekana nalo kwa muda
Akihojiwa kuhusu swala hilo amesema yeye huwa haongelei...
Ni kawaida ya wasanii kupokezana vijiti yani kutesa kwa zamu.
Kama ilivyokuwa game ya video ilikuwa ya Adam Juma na sasa kamuachia Hanscana... Marco Chali kamwachia Nah real kwenye audio...
Well, well, this one is big! Baada ya yeye mwenyewe pamoja na meneja wake Sallam kuthibitisha kuwa kuna collabo ya Diamond pamoja na mega superstars wa Marekani, Rihanna na Rick Ross, hitmaker...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.