Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza Meneja wa Diamond Sallam Sk Mendez Akihojiwa na XXL Live pale mlimani City alisema wanapanga kupandisha gari Jukwaani na kulipiga kiberiti live watu...
MWAKILISHI wa Tanzania katika mashindano ya Miss Afrika, Julitha Kabete ameondoka leo kuelekea nchini Nigeria katika fainali ya michuano hiyo inayofanyika Novemba 26 mwaka huu huku akiwaahidi...
habari waungwana,nasikia mtangazaji mkongwe katika bongo yetu Julius Nyaisanga maarufu kama anko j ameacha kazi radio one na ITV na nimefuatilia vipindi vyake kuanzia mambo mseto na radio one...
mitaani wanasema maneno tofauti. Mara ya mwisho nasikia msanii dimond anaumwa ila sijasikia kazidiwa au anapumua vibaya. tupeni maendeleo yake coz watu washaanza kulia. Mia
December 26, 2016
Sauti ya Mmanyema ikivuma Ulaya lakini haifahamiki nyumbani Tanzania ya mwanamuziki maarufu wa Kitanzania kwa jina Saidi Tumba a.k.a Saidi Kanda aliyekuwa mpiga tumba maarufu wa...
huyu jamaa alikuwa kiboko ya mabishoo...tungo zake zilikuwa zina elimisha na pamoja na kuburudisha..
nyimbo ya starehe ilimpa mpaka miradi ya ngo za ukimwi..kwa mpunga aliochota tu kwa ajiri ya...
Tunda bhana ni msichana au video queen pekee anaye jielewa TZ nzima tofauti na video queens wengine kama Masogange, Amber Lulu, Gigy money nk
Sifa kuu inayomtofautisha Tunda na video queens...
Mwaka huu 2016 ulikuwa mwaka wa wcb wasafi kwenye burudani hapa bongo. Wasafi ni kama bongofleva sasa imekuwa kama ya kwao jinsi wanavyoitawala wanavyotaka.
Angalia kila ngoma walioachia kwao...
AJE aly kiba
PERFECT COMBO joh makini
KAJIANDAE ommy dimpoz
NITAMPATA WAPI dimond platnums
SKENDO mo music
MBOGA SABA mr blue
TOO MUCH darasa
NISAMEHE baraka the prince
KWETU rayvanny...
Habari za jioni wana jamvi....leo katika pekuapekua yangu ya filamu za kihindi za wakati huo nimekutana na filamu inaitwa ROHA...Nikaona sio mbaya tukikumbushana mtu mmoja anaekwenda kwa jina la...
Wapo watayarishaji wengi na wazuri wa muziki nchini Tanzania, lakini Sheddy Clever wa Burn Records ndiye aliyebahatika kuchaguliwa na Diamond Platnumz kwenda Nairobi kusimamia zoezi zima la...
ali kiba amedai kuwa dully sykes ndie mt aliyemhimiza kuimba na kumtia moyo kipindi ambacho hajatoka na alikuwa akimtoa hadi machozi, asipotokezea Dully anamuibukia nyumbani kwa kuwa alikuwa hana...
Nimekuwa nikioata hasira sana ninapoenda kwenye show za wasanii mbalimbali halafu ninachoambulia ni kuwa disappointed!Unakuta msanii anavyoimba mpaka wakati mwingine unajiuliza hivi ni yeye kweli...
Ndio nimetoka uwanja wa Samora. Show imeisha saa kumi. Kilichotokea leo sidhani kama imewai tokea hivi Iringa ni zaidi ya Fiesta.
Diamond kaua isivyo kawaida watu walikuwa wengi hakuna pa...
Msanii wa muziki wa hip hop, Mwana FA amesema hatua ya mafanikio ya wimbo ‘Muziki’ wa Darassa ni hatua ambayo wasanii wengi wa muziki wa hip hop walishindwa kuifikia kwa muda mrefu.
Rapa huyo...
Shilole amejigamba kwa kudai kuwa hakuna msanii mzuri kama yeye, kwani ana uzuri wa asili bila vipodozi.
Alikuwa akizungumza katika kipindi cha 5SELEKT cha EATV Jumanne hii.
“Mimi ni mwanamke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.