Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Anaitwa Bradley Lowery.. Ni shabiki wa kutupwa wa Sunderland.. Ana miaka mitano duniani na tayari madaktari wamethibitisha kuwa amebakiza miezi miwili tu kabla kansa haijakatiza pumzi zake na...
9 Reactions
67 Replies
7K Views
Ile sketi kiboko, Yani sikuielewa design imejikunja, design imejibinua na sijui alikua hajanyoosha hata Nguo zenyewe, maana mhh ile Ni mpya akachapa na Viatu vya njano sijui bluu kweli tulipeleka...
20 Reactions
207 Replies
30K Views
Jamaa analamba mtoto J.lo ingawaje kazeeka lkn si haba!
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Imebainika kwamba waimbaji wa muziki wa Injili nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emmanuel Mbasha hawajapatana kama ilivyodaiwa awali na taarifa zinasema kuwa mwanadada huyo ameanza maisha yake...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio...
5 Reactions
55 Replies
13K Views
Kufuatia uwepo wa madai kwamba wapo waganga wanaotumika kuwaroga wasanii, hususan wale ambao nyota zao zipo juu, Kitengo Maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers kimeingia...
1 Reactions
41 Replies
7K Views
Muimbaji wa muziki wa injili, florah mbasha amesema yupo tayari kurudiana na mume wake emmanuel mbasha, ikiwa atakwenda kumuangukia mguuni na kumuomba msamaha. Florah alisema hayo alipozungumza...
0 Reactions
27 Replies
7K Views
Wakuu, kwa sasa naona usanii unapitiliza. Mimi si timu alikiba wala mavi kunuka gani sijui wala chama sina. Nakosoa panapohitajika. Diamond hapa unachemka, atakayeiskia hii nyimbo atajua direct...
5 Reactions
129 Replies
29K Views
watanzania ni watu wa ajabu sana .wanalalamika kwamba miss tanzania 2016 kapigwa chini na ile project yake ya masai dondosha wembe na kuchukuliwa na miss kenya si kweli Masai dondosha wembe ni...
5 Reactions
70 Replies
12K Views
Ninavyomjua mimi ROMA ni msanii ambaye alianza na nyimbo za kiarakati Yaani aliifanya HIP HOP yake kuwa kama njia ya kuikosoa serikari . Mashairi ya nyimbo zake yalilenga zaidi kuelezea...
2 Reactions
23 Replies
5K Views
Msanii wa kike aliyewahi kutikisa kupitia muziki wake kwa ufundi wa kukata viuno akiwa stejini mwanadada Ray C yuko mbioni kurudi tena kwenye game na tayari ameshafanya ngoma tano na zinatarajiwa...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Gazeti ya the guardian la uingereza litemtoa nyimbo kali za mwaka 2016 zilizotikisa africa. Katika orodha hiyo tanzania imebahatika kuingia nyimbo 1 tena ikishika nafasi ya 2, Diamond platnumz...
5 Reactions
117 Replies
13K Views
Huu ndio muonekano wa wanadada wawili Wema sepetu na jokate mwegelo wakiwa nnje ya make up Nani mkali?
3 Reactions
24 Replies
11K Views
Amina Ngaluma Badi Bakule Jogoo la mujini!
0 Reactions
24 Replies
9K Views
Hatua aliyofikia msanii Darasa imenikumbusha miaka kama 6 iliyopita wakati msanii 20% alipofikia kiwango chake cha juu mno kimuziki,pamoja na kuwa 20 pa alikuwa na nyimbo nzuri kama maisha ya...
3 Reactions
14 Replies
7K Views
Naomba kujua wanajf kwa wafatiliaji wanafahamu kuwa darasa ni mmiliki wa rekodi lebo iitwayo CMG yan Classic Music Group na kwa wakati huohuo cloudsmedia wanafahamika km CMG yaan Clouds Media...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
WCB chini ya CEO wake anaejua mziki na kutafuta pesa ni hatari chafu kabisa,hii ya jangwani beach party ni zaidi ya fiesta...naamini atakonga nyoyo za mashabiki wake.wasanii wengine wajifunze kuwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Baada ya maneno mengi kutoka kwa mashabiki wa upande wa pili kuwa ommy hapigi mechi na pia hawamjui shemeji Ommy dimpoz ameamua kuweka picha ya shem wetu wakiwa pamoja Hata hivyo picha hiyo...
1 Reactions
144 Replies
22K Views
Wanasema ukipenda ua penda na boga lake.... Mkali wetu ana maboga ya kutosha...
0 Reactions
68 Replies
20K Views
Back
Top Bottom