Baada ya kuziona hizi picha, nikawa najiuliza ni nani kamuiga nani....?
Nataka kuamini kuwa ni bahati mbaya. Lakini bahati zitakuwaje mbaya zingali vyinyemi.
1.
2.
Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa waziri mkuu wa 10 wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ndugu Kasimu Majaliwa. Namtakia heri ya siku yake ya Kuzaliwa na fanaka tele.
Baada a kupatikana kwa taarifa kuwa darasa amepata ajali akiwa katika moja safari zake, asilimia kubwa(si kubwa sana lakini inavuka nusu yao) wamemhusisha diamond na tukio la ajali daresa.
Hivi...
wimbo wa rayvany wa kwetu umeuburuza wimbo wa mkongwa wa bongo fleva alikiba nchini Kenya kwa nyimbo zinazopendwa zaidi.
Kwa mujibu wa daily nation na bbc nchini humo.
Wimbo wa kwetu umeshika...
Diamond a.k.a Simba a.k.a Dangote, hakuwaza kabisa madhara ya kujiita jina hilo (Dangote). Pengine hakuwahi kufikiria kuwa ipo siku Dangote halisi atakuja Tanzania na kuwekeza. Madhara yake ni...
Msanii n muigizaji wa marekani CeeLo Green amelipukiwa na simu usoni aliokuwa anatumia kuongelea wakati yupo studio na tukio zima lilinaswa na security camera zilizopo kwny studio yake. Video la...
Katika kile tunachokiita kusapoti vijana wenye vipaji, Theclick101 imekuandalia utaratibu maarumu ambao wasanii wachanga watapata muda wa kukutana na producer anayefanya vizuri kwa sasa na nyimbo...
Zimetufikia za kunyapia nyapia kutoka shirika la wambea SHILAWADU kuihusu hitsong ya wakali wawili wa muziki hapa Bongo Ommy Dimpoz na Alikiba na ngoma yao ya Kajiandae.
Inasemekana kuna mtu...
Akifanya mahojiano na Ayo TV, msanii wa kike aliepamba vichwa vya habari kwa kudai kuwa ana mimba ambayo ilitokana na kubakwa; amesema mimba hiyo ilikua ni 'igizo'.Anasema alikuwa anajaribu kuuvaa...
Imbombo Ngafu!! Hii ngoma bado mbichi.. Afe kipa, afe beki!
Leo kupitia 255 ya Clouds FM, Nay wa Mitego amenukuliwa akitoa yake ya moyoni kuhusiana na ngoma ya 'Freedom' inayogombaniwa kati ya...
Ni tukio kuuubwa kabisa la burudani kuwahi kutokea Tanzania na East Africa kwa ujumla wake na tukio lenyewe ni WASAFI BEACH PARTY wakishirikiana na VODACOM TANZANIA wanakuletea wasanii vipenzi vya...
Nimekutana na video hii huko youtube ikionesha msanii wa bongo movie aitwae Nisha ambaye hivi karibuni kunataarifa kwamba ni mjamzito(mama kijacho)akiwa jukwani akiruka sarakasi na kuchana misamba...
Msanii Belle 9 amekuja juu baada ya kuambiwa ameiga kuweka vionjo vya salome kwenye nyimbo yake
msanii huyo amesema wazo la ku sample wimbo huo alikuwa nalo kabla ya Diamond ajabu Diamond akatoa...
OMG! WARNING!!SOME GRAPHIC LANGUAGES ON IMAGES ATTACHED ON THIS THREAD.
ONYO!! PICHA ZENYE LUGHA KALI MWISHONI MWA UZI HUU.
When I said Mange Binti Kimambi aka Madam Mange Kimambi is back, I meant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.