Lile sakata la mwanamama mchambaji maarufi Instagram Mange Kimambi Na Tzshaderoom a.k.a Milly bado linaendelea Na ubuyu n kama ufuatao [emoji116] [emoji116] [emoji116]
Akijibu hoja ya kwa nini hachukui uraia wa USA,Mange kupitia ukurasa wake wa Instagram alijibu anaogopa kuukana uraia wa Tanzania kwani atapoteza ndoto yake ya kugombea ubunge 2020
Akitokea THT ni binti mnyange aliyetikisa anga la muziki wa bongo fleva mwaka uliopita..
Ana kipaji
Ana mvuto
Ana sauti
Lakini akakosa miongozo sahihi...utoto na pengine ulimbukeni wa kuwa maarufu...
Muigizaji asiye na makuu nchini, jennifer kyaka aka ODAMA, hivi karibuni amekua na ziara kwenye nchi mbali mbali ,ambapo alianzia nchini china ambako alienda kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa...
Huyu jamaa anaishi kawaida kabisa japokuwa ndie tajiri namba moja Africa. Hebu ktk hiyo picha tazama
1,Kalamu
2,Mapete vidoleni (hana)
3,Simu ya kawaida kabisa
Sisi ukipata hela za mkopo tu...
Baada ya kuonekana kwenye tuzo akiwa alone na kuulizwa yupo wapi jamaa yake na kuwa mkali, wambea wamedai huenda mrembo huyo ametemwa na jamaa yake huyo, kutokana na yeye ku demand sana uwepo wake...
Muziki wa Tanzania utakufa kama mashabiki na vyombo vya habari vitabaki kitukuza watu wawili tu.
Mashabiki yawapasa kutambua kuwa kuna vipaji vingi sana Tanzania na vinahitaji sapoti yao ili...
Habari za leo,
Nimepokea taarifa hii kwa masikitiko, ile documentary aliyoiandaa Diana Lukumay ya Genital Female Mutilation, ambayo imempa unique platform kwakuwa ni sensitive issue ambayo...
Baaada ya kupitia kufanya utafiti kwa miaka kadhaa na kupitia maandiko kadhaa ya wanazuoni tofauti tofauti wa masuala ya urembo, nimejiridhisha kabisa (beyond reasonable doubt) kuwa miss Tanzania...
Baada ya kuandamwa sana ana matatizo ndio maana hajawahi kuonekana na mwanamke na hana hata mtoto wa kusingiziwa na Nay wa Mitego,
Kisha Diamond kuandika kuwa aligoma kumpumulia ndio maana ana...
Unafiki mbaya sana....
Utasikia:-
"So sad"
"Jamani inaumiza sana"
"Mwili wangu wote umesisimka"
Simply because ni Mtoto wa Kizungu.
Ni unafiki wa kipuuzi sana. Ndio maana hata viongozi...
Mfanyabiashara mkubwa jijini Dar es Salaam na mmiliki wa vyombo vya habari (blog ya wananchi na live straight talk) ndg Lemutuz anatoa hela kwa shindano alilolianzisha na hivyo wataalam wa mambo...
Tangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao
Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo...
Habari za mida hii wadau wa jukwaa hili,
Swali langu kwa mwenye kuelewa vyeo vya WCB pale kwa diamond, naona kuna viongozi wengi ila sijajua vyeo vyao
Babu tale anacheo gani?
Fella ana cheo...
Nipo naangalia Ntv ya Kenya kwenye kipindi chao cha uchambuzi wa sanaa na wasanii maarufu kama UDAKU wameongelea tuzo za Eatv na wamezisifia.
Wakasema pia sababu za Diamond kutokuwepo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.