Hahahahahahaha.......Usishangae kwanini ninacheka! Lakini Hata wewe ukifahamu kwa nini ninacheka utaungana Na Mimi kucheka! kama ulikuwa hujui Dar Leo Kuna vita ya chini chini inaendelea Katika...
Mara nyingi tumezoea kuona list za wasanii wakubwa wakitajwa kuingiza pesa nyingi zaidi Afrika, wiki hii imetoka list iliyoandikwa naeDaily kupitia ripota Brian Okoth ambayo imewataja wasanii...
Baada ya shule za South Africa kufunga , Tanzania sweetheart Tiffah Dangote amefanya vizuri katika mitihani yake ya mwisho. Katika Darasa la Tiffah lenye wanafunzi 43 kutoka mataifa 41 mtoto huyo...
Licha ya watu kupga majungu lakini ukweri upo pale pale king Alikiba aka mzee wa sauti za hatari zilizompagawisha R.KELLY na NEYO amezidi kufanya vyema afrika kwa mwaka huu 2016.Pongezi ziende...
HAJAWAHI kukosea, pamoja na ukongwe wake kwenye muziki wa bongo flavor lakini anawazidi wakongwe wenzie wengi. Msanii huyu hakuna wakati ametoa wimbo ukashindwa kukamata na kupendwa na wadau wa...
Wasalam kwenu nyote,
Kwanza namshukuru Allah walau kwa kuniwezesha kuandika chochote hapa, muda huu ni ushauri kwa mwanamuziki Diamond Platinumz napenda kumshauri aache kutumia Jina Dangote kwani...
inakuaje wadau??,mazee huyu dogo amenivutia sana hasa alivyoimba lile dude lake jipya na p.n.c chini ya marco challi,mnaonaje progress yake atatisha hapo mbeleni maana yake kuna muda alivyokuwa...
Habari za wikiendi
Jana tarehe 9/12/2016 kwenye kipindi cha FNL-FRIDAY NIGHT LIVE kwa mara ya kwanza nilikiangalia mwanzo mpaka mwisho. sasa sikujua kama ndo tabia au ndo yashakua mazoea...
Kuzuka kwa msemo wa kununua views YouTube na kushangiliwa na watu ikiwemo wenye akili timamu ni kuonyesha jinsi gani watanzania tuna uwezo finyu wa kufikiri au tunaendeshwa na matukio na mapenzi...
Heshima kwenu Wakuu.
Sina mengi sana , lakini naomba team mbili Hapo juu tuliokwaruzana na kuvunjiana heshima tufike Hapa tuombana msamaha na tuanze kutoa michango ya kuwajenga wasanii wetu kwa...
Darassa amedai mwanzo alikuwa akitoa nyimbo zenye ujumbe lakini zilikuwa zikionekana za kawaida.
Muimbaji huyo ameliambia gazeti la Mtanzania kuwa baada ya kushindwa kufanya vizuri kwenye...
Kwa upande wangu ni izi hapa
1: kama utanipenda - darasa
2: ibaki story - mavoko
3: lupela - alikiba
Mpaka kesho izi nyimbo kwangu kwa mwaka huu ndio ze best na sichok kuzisikiliza
Bwana Yesu asifiwe!!!
Watu wengi wameshindwa kupambanua na hatimaye kutengeneza Upinzani kwa wasanii wawili A. Kiba na D. Platinum kana kwamba ndo wasanii maalum na ndo wenye vipawa vya kuimba...
Baada ya kutoka na nyimbo zake kama vile mabinti wa kitanga, Misosi nitoke vipi na kisha kuzimika ghafla, hatimaye Bwana Misosi amerudi upya na Wimbo wake Makofi kwa Magufuli.
Ndani ya wimbo huu...
Moja kwa moja kutoka Pritoria tupo hapa nje tunamsubiri Chibu Junior. Tumuombe MUNGU ATOKE SALAMA.
MUNGU AWABARIKI MAMA NA MTOTO.
------ Updates -------
Hatimaye Zari na Diamond wamefanikiwa...
Kama Ni kweli basi Huyu jamaa bado sumu Ya cocaine haijamuisha Kichwani mwake,
Kwakweli Hizi kiki zinawapeleka pabaya wasanii wetu,
Manake kila kitu kinageuzwa fursa hatakama hakistahili.
Max ni...