Huenda rapa Young Dee amerudiana na mpenzi
wake wa zamani Tunda. Kwani wawili hao kwa
sasa wapo karibu zaidi kiasi cha kushauriana
baadhi ya mambo. Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii...
Bila kupinga uwepo wa kazi nzuri ya muziki ya Darasa kwa sasa, lakini ninaamini itakapotokea Diamond kushirikishwa na Wema kwenye bongo movie ama Alikiba na Platnumz wakitoa collabo, huku Ommy...
Habari zenu wanajanvi.
Katika Gazeti.la Kiu toleo no.1472 la Tarehe 9-11,2016.Alex Msama anamtuhumu Rose Mhando kama ni Mtumiaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya ,kamtoa Mara nyingi police pia...
Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro...
Wakuu habari za mda huu,
Nisipoteze mda sana iko ivi;
Kulikoni jina mwanamuziki maarufu Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri zaidi ulimwenguni?
Naombeni mnitoe tongo tongo...
Msanii wa Bongo fleva wa kitambo Q Chief amedai ana uwezo mkubwa sana kimuziki na hili limethibitishwa alipoomba kolabo na msanii wa Nigeria Patoranking
Anadai alipoomba kolabo na msanii huyo...
Nimejikuta nakutana na wimbo Sina raha wa Huyu dogo alikuja vizuri miaka ya 2010/11 alitamba sana na Wimbo wa Sina Raha
Yuko wapi siku hizi au aliacha muziki?
Video Vixen anayeitwa Zawadi Stanford Bupe, aka Gigi Money ameelezea maisha yake aliyopitia akiwa mdogo hadi alipo, anadai hakuna mtu aliyemtegemea anazaliwa na baba yake alimtekeleza akiwa...
Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior"
Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema Sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee...
Kwa taarifa tu msifikirie ali kiba alikwenda kupoteza pesa zake kwa show off ambazo hafanyagi. Kisa birthday ukweli huu hapa mr king kiba alifanya safari zake huko sayari camp serengeti kwaajili...
Video za muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania ndizo zilizotazamwa zaidi na Wakenya katika mtandao wa YouTube, unaomilikiwa na Google, mwaka huu, takwimu zinaonyesha.
Video hizo zinatawala katika...
Hivi mnakumbuka Tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa Chibu Junior naonaa zzzz..
Familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia Chibu Junior ila kick zimegoma manake naona mama ake mara...
Ommy dimpoz NI miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba NI miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva...
HUKU mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii, nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando bado anaandamwa na madai mazito kwamba anatumia madawa ya kulevya ‘unga' yanayomfanya kuwa hoi...
Alikiba a.k.a Mfalme wa bongofleva alitoa nyimbo ya AJE,may 19,mpaka sasa ina 4,855,844+ views.
Yeye ni mwanamuziki mkubwa hapa Tz na Afrika kiujumla.Ana mashabiki wengi sana.Sasa kama yeye ni...
Ni vigumu kuamini Kayumba mshindi wa Milioni 50 za bongo star search amepotea kama upepo...Hata kama alipewa milioni 30, hiyo hela ni kubwa sana kuanzisha miradi au kujiendeleza kimuziki maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.