Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Msanii Jay Prayzah ashinda tuzo ya "MOST FASHIONABLE MUSIC VIDEO" Katika tuzo za "Style Oracle Awards-2016" Nchini Zimbabwe.
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Huenda rapa Young Dee amerudiana na mpenzi wake wa zamani Tunda. Kwani wawili hao kwa sasa wapo karibu zaidi kiasi cha kushauriana baadhi ya mambo. Hivi karibuni katika mitandao ya kijamii...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Bila kupinga uwepo wa kazi nzuri ya muziki ya Darasa kwa sasa, lakini ninaamini itakapotokea Diamond kushirikishwa na Wema kwenye bongo movie ama Alikiba na Platnumz wakitoa collabo, huku Ommy...
0 Reactions
2 Replies
958 Views
Habari zenu wanajanvi. Katika Gazeti.la Kiu toleo no.1472 la Tarehe 9-11,2016.Alex Msama anamtuhumu Rose Mhando kama ni Mtumiaji mkubwa wa Madawa ya Kulevya ,kamtoa Mara nyingi police pia...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
Richard Mavoko ni mmoja wa waimbaji wazuri sana hapa bongo. Binafsi namkubali sana. Kaka nakushauri tuliza kichwa tunga wimbo mwingine mzuri, wapenzi wako hatujaridhika na wimbo wako wa Kokoro...
21 Reactions
91 Replies
9K Views
Wakuu habari za mda huu, Nisipoteze mda sana iko ivi; Kulikoni jina mwanamuziki maarufu Justin bieber kuwepo kwenye list ya wanawake mashuhuri zaidi ulimwenguni? Naombeni mnitoe tongo tongo...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Msanii wa Bongo fleva wa kitambo Q Chief amedai ana uwezo mkubwa sana kimuziki na hili limethibitishwa alipoomba kolabo na msanii wa Nigeria Patoranking Anadai alipoomba kolabo na msanii huyo...
3 Reactions
29 Replies
4K Views
Nimejikuta nakutana na wimbo Sina raha wa Huyu dogo alikuja vizuri miaka ya 2010/11 alitamba sana na Wimbo wa Sina Raha Yuko wapi siku hizi au aliacha muziki?
1 Reactions
22 Replies
6K Views
Video Vixen anayeitwa Zawadi Stanford Bupe, aka Gigi Money ameelezea maisha yake aliyopitia akiwa mdogo hadi alipo, anadai hakuna mtu aliyemtegemea anazaliwa na baba yake alimtekeleza akiwa...
0 Reactions
37 Replies
43K Views
Baada ya mwanadada Zari the boss lady kujifungua mtoto wa pili "Riaz junior" Baadhi ya mashabiki walikuwa wakiingia kwenye page ya instagram ya Wema Sepetu wakimtolea maneno makali kuwa aendelee...
1 Reactions
47 Replies
10K Views
Kwa taarifa tu msifikirie ali kiba alikwenda kupoteza pesa zake kwa show off ambazo hafanyagi. Kisa birthday ukweli huu hapa mr king kiba alifanya safari zake huko sayari camp serengeti kwaajili...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Video za muziki wa Bongo Flava kutoka Tanzania ndizo zilizotazamwa zaidi na Wakenya katika mtandao wa YouTube, unaomilikiwa na Google, mwaka huu, takwimu zinaonyesha. Video hizo zinatawala katika...
7 Reactions
56 Replies
11K Views
Habari ya mujini sasa iv ni wasafi beach part so mjichange change washikaji ili siku ikifika bata alike kwa mwendo kasi
0 Reactions
13 Replies
3K Views
  • Closed
Hivi mnakumbuka Tiffa alivyokuwa anazaliwa alikick jaman ilaa Chibu Junior naonaa zzzz.. Familiaa nzima inatafuta pa kutokea kupitia Chibu Junior ila kick zimegoma manake naona mama ake mara...
5 Reactions
106 Replies
12K Views
Ommy dimpoz NI miongoni mwa wasanii wanaoimba vizuri sana bongo ukilinganisha na wasanii wengine ananipa jeuri ya kusema kwamba NI miongoni mwa wasanii watano wakubwa katika game ya bongo fleva...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
HUKU mwenyewe akikanusha vikali kwamba hatumii, nyota wa muziki wa Injili Bongo, Rose Muhando bado anaandamwa na madai mazito kwamba anatumia madawa ya kulevya ‘unga' yanayomfanya kuwa hoi...
0 Reactions
70 Replies
35K Views
Alikiba a.k.a Mfalme wa bongofleva alitoa nyimbo ya AJE,may 19,mpaka sasa ina 4,855,844+ views. Yeye ni mwanamuziki mkubwa hapa Tz na Afrika kiujumla.Ana mashabiki wengi sana.Sasa kama yeye ni...
7 Reactions
36 Replies
3K Views
Ni vigumu kuamini Kayumba mshindi wa Milioni 50 za bongo star search amepotea kama upepo...Hata kama alipewa milioni 30, hiyo hela ni kubwa sana kuanzisha miradi au kujiendeleza kimuziki maana...
4 Reactions
20 Replies
4K Views
Diamond kasupport kwa tekno na tekno naye bila hiyana kashukuru kwa brother wake. Big up tekno. Welcome tekno to Tanzania.
4 Reactions
22 Replies
7K Views
Msanii huyo amesema ni kweli dereva huyo alifanya makosa ila anataka amtoe amedai kuna watu wake wanafuatia atoke na yupo kituo cha polisi Manyoni
2 Reactions
49 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…