Hivi nini kinaendelea?
ni mental issues au kuna mengine?
nimeona kuna watu wanahusisha na Illuminati....
nimeona clip ya DMX....
Kanye West ana tatizo gani hasa?
Paulo Sergio De Souz Nyani...
Habari wakuu.
Kwa waliopata nafasi ya kucheki video mpya ya msanii wa kike kutoka nigeria Chidinma na wimbo wake wa "Fallen in love" watakubaliana namimi katika hili. Huu wimbo wa bimdada...
Picha ya cover la Vibe Magazine, lililotoka siku ya jana, imeonekana kutengeneza gumzo miongoni mwa raia kibao, hasa kutokana na suruali na viatu alivyokuwa amevaa msanii Ommy Dimpoz.
watu wengi...
Msanii Irene Uwoya amesema sasa hivi haigizi tena movie kwa kuwa soko lake limedoda na badala yake atakuwa anacheza series kwani ndio zinazouza
Ila amedai kuna movie walizocheza zamani zinakuwa...
Baada ya kusikia kijana kapewa dhamana nikadhani itakuw vyema dogo atakuwa amekuw sasa kutokan na balaa lililomkuta na post zake insta sasa leo nafungua insta nakuta ni kama ameweuka sasa matusi...
Tunajua wimbo wa Bado wa Harmonize na Diamond umetoka kitambo kidogo na video yake ilifanyikia South.
Nachojiuliza ilikuwaje Ali Kiba na Ommy Dimpoz wakaamua nao wakafanyie video eneo lile lile...
Msanii Dully sykes alimind watangazaji waliokuwa wanamhoji baada ya kumuuliza kuhusu bifu la diamond na ommy dimpoz
Dully amesema hawezi kujibu hilo sababu huo ni u-shilawadu na yeye hapendi na...
Who doesn't know diamond!? Who
Every body does!!
Diamond has proved himself to be most brilliant Artist over all African artist from Tz.I know you could say Nigerian ,For Nigerian the musical...
Baada ya wiki chache kupita toka msanii wa bongo fleva, ommy dimpozi, kupost picha kwenye ukurusa wake wa instagram, ikimuonyesha staa huyo akiwa amevaa suruali inayoonyesha kitu chenye muonekano...
Msanii Young Dee amedai Tunda ni mpenzi wake na hawajawahi kuachana, pia amesema anampga ushauri wa kumbadilisha kwenye maisha ndio maana anapagawa naye sana
Habari ya mjini kwa sasa ni kuwa hitmaker wa ngoma ya mziki na too much Darasa yupo mbioni kutia wino ndani ya WCB
Si huyo tu pia mwanadada mwenye sauti inayomtoa nyoka pangoni ambaye pia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.