Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Katika pita pita zangu huko nimekutana na hii Male, 39 years old | Never Married Dar Es Salaam, Dar Es Salaam New in here, but someone special is needed Am looking for someone who is me, but in...
5 Reactions
42 Replies
4K Views
Ni Bony Wilfried mchezaji wa Manchester City anayecheza kwa mkopo katika club ya Stoke City. Angalia hii clip ya Instagram kutoka kwenye verified account yake.
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Wanajamvi wasalaam, Baada ya Ommary Nyemo kumtuhumu wazi wazi Nassibu Abduli kuwa ana nunua views na tunzo bila kuwa na uthibitisho na bila aibu Ommary Nyemo ili kuwathibitishia watu kuwa kuwa...
15 Reactions
124 Replies
13K Views
Tunda amechoka kuulizwa maswali kuhusiana na kuonekana kwenye video ya Diamond ya wimbo Salome aliomshirikisha Ray Vanny. Ni kwasababu anajiuliza, iweje ameshaonekana kwenye video takriban 10...
3 Reactions
14 Replies
6K Views
Nani mkali, Ali Kiba au Diamond? Kuna mashabiki vindakindaki ukiwachokoza kwenye mada hiyo, wanaweza kurusha ngumi kwa kubishana. Wasanii hao wawili wameweza kutengeneza Simba na Yanga yao. Ni...
17 Reactions
84 Replies
32K Views
Diamond hafanyi tena kazi na Bob Junior, lakini hawezi kusahau ukweli kuwa producer huyo wa Sharobaro Records ndiye aliyemfungulia njia ya mafanikio kimuziki. Akizungumza kwenye kipindi cha Ngaz...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu salaam kwenu, Yafuatayo ni majina na nyimbo za wasanii chipukizi waliopenya kushindania tuzo za EATV AWARDS zitakazotolewa tarehe 10/12/2016 jijini Dar es salaam, :Rashid Said (Bright)...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Inakuaje wanaJF, Katika pitapita zangu Twitter nimekumbana na Tweet moja ya Mwanadada Mwamvita Makamba akidai yeye kama Mwekezaji binafsi katika tasnia ya Fashion ametapeliwa na Mbunifu wa Suti...
3 Reactions
71 Replies
20K Views
Diamond anawashinda wasanii wengi kwa ubunifu na matumizi ya fedha kukuza jina lake.Kwa sisi watu wenye uwezo wa juu kwenye utambuzi ni hivi. 1.Diamond anamtumia Neyo kutangaza jina lake...
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Mwigizaji huyo wa comedi alidai hivyo alipokuwa akihojiwa na e news ya eatv, amesema hana kipaji cha kuchekesha bali kukopi nyimbo za watu na watanzania ni wajinga ndio maana wanamkubali mtu kama...
1 Reactions
155 Replies
15K Views
Nina mua-admire jamaa kichizi. Hakuna wa kumfananisha nae.
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Nikitazama video za emtee mfano roll up na hii mpya sijui inaitwaje naona kali kuliko video za wasanii wetu. Hata video ya divido ft uhuru - sound iko safi. Sisi zetu ka zinafanana hawa S.A...
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Diamond Platnumz jumanne hii amesababisha tafrani kwenye mtandao wa Instagram baada ya kupiga stunt kama ya The Game na Kevin Hart, kwa kupost selfie akiwa amevalia kiboxer cheusi. Kwenye picha...
1 Reactions
18 Replies
9K Views
Mdada ame speak a lot of sense! Nimemuelewa na ninaunga mkono hoja yake. Jamani acheni kusikiliza maneno. Cybercrime sijui cyberbill bado haijapitishwa, JK ameichunia anasikilizia...
11 Reactions
134 Replies
35K Views
Naimani humu kuna wambea wa kutosha kabisa kunipatia habari za le Supa star Lady jaydee!! Mimi ni shabiki mkubwa wa huyu madame, na nimeona kwa sasa akituintrodyuzi kinga'ast chake kipya, sasa...
0 Reactions
71 Replies
11K Views
Wakuu popote mtakapomuona huyu mtu mfikishieni hizi salamu za dhati. Salamu zenyewe ni kwamba anakubalika sana Mozambique yani kuliko hata Diamond anavyokubalika bongo. Najua yuko kwenye mawe...
4 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi nilikua shabiki msikilizaji mzuri sana wa Power Breakfast ya Clouds Fm nakiri kiukweli bwana Gerald Hando ndiye aliyenihamasisha kuwa msikilizaji wa kila siku na alipohama kwenda E-fm...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Haters will say Neyo kanunuliwa au ameshachuja[emoji108] [emoji108] [emoji12] [emoji12]
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Nisha amedai kuwa msanii wa bongofleva, Ney wa Mitego ndiye aliyembaka na kumpa mimba Lakini Ney wa Mitego ameng'aka na kudai sio yeye na hawezi kubaka kwa kuwa anapiganiwa na wasichana wengi sana
3 Reactions
13 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…