Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Nipo Dar, na when in Rome do as the romans do! Act as Mwanaume wa Dar et mbona jamaa hajapost picha za show aliyosema atafanya uwanjani Mayote? picha zilizzopo ni za show ya VIP tu ambazo hata...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Msanii wa Kimataifa kutokea nchini Tanzania, ambaye pia ni mshindi wa Tuzo ya MTVEMA2016 @officialalikiba, Ameshinda tena tuzo kubwa ya nchini Uingereza maarafu kama #befftaawards za Uk kama Best...
10 Reactions
85 Replies
13K Views
Amepost katika mtandao wa instagram na facebook pasipo kuandika chochote, wengi wametasfiri kwamba ameamua aweke usafiri wake hadharani!! Sasa usishangae wale jamaa wengine nao wakapost meli yao!!
17 Reactions
72 Replies
13K Views
Who is the best between the two guys!I always listen to their jams both are beautiful freakishly talented and have sweet voice, when it come the matter of choosing the most decorated artist i fail...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Msanii wa bongo movie Nisha ameendelea kufunguka kuhusu mwanaume aliyembaka, akidai alikuwa ni mwanaume mzigo sana ambaye alikuwa hawezi kufanya majukumu yake ipasavyo na ndipo akamuacha. Anadai...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Mrembo Jihan Dimachk aibuka mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2016 lililofanyika Usiku wa Novemba 25, 2016. Jihan Dimachk, Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016 /2017, amezaliwa na...
5 Reactions
29 Replies
10K Views
Leo nimeamua kuja na songs za wasanii mbalimbali duniani walokopi toka kwa wasanii wengine maarufu. Sababu kubwa ilonifanya ku-thread hapa kuona kijana mwenzetu "Diamond Platnumz" kuzungumziwa...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Leo nimejaribu kutazama kazi kadhaa za AY ! Kwa kweli ni kiwango cha kimataifa! Promo na media ndo tatizo ! Huyu ndo ilibidi awe dangote! Wangapi wanamkubali AY,gonga like!
2 Reactions
6 Replies
935 Views
Kim Kardashian yupo kwenye wakati mgumu kiasi cha kuweka kila kitu pembeni na kuwa na jambo moja tu – kumwangalia mumewe Kanye West aliyelazwa kutokana na matatizo ya kiakili tangu wiki iliyopita...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii Young Killer amefunguka hayo alipohojiwa na e newz, na kudai kuwa bongo fleva kuna mafanikio na wanalipwa hela nyingi ndio maana wana bifu, tofauti na Hip hop
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Sasa nimeamini rasmi kuwa viewers wananunuliwa Youtube, maana naona hata Darasa nae kaanza kununua viewers.. Haiwezekani 5 days apate viewers +300K.. Ebu ivutieni picha hii nyimbo yake halafu...
0 Reactions
33 Replies
5K Views
Kutokana na hili sakata la kununua views uko YouTube na mtuhumiwa mkuu akiwa bwana msafi himself mond bin laden Nimejaribu kufatilia apa jukwaa la celebrity jf kwa maelezo ya watalam wa ayo...
5 Reactions
45 Replies
11K Views
1. Sitya loss- EDDY KENZO 19.81M 2. nana - DIAMOND 18.41M 3. number 1 remix -DIAMOND18.36M 4. ntampata wapi - DIAMOND11.21M 5. nasema nawe - DIAMOND 11M 6. mariaroza comedy-EDDY KENZO 9.71M 7...
6 Reactions
60 Replies
13K Views
Baada ya Diamond kupata mafanikio kupitia lebo yake ya WCB sasa nimesikia kwenye redio Alikiba akisema ana lebo yake inaitwa king record amesajili baadhi ya wasani mama Jokate, Dimpoz any skz...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
Kijana wa kununua viewers timu ujanja ujanja amenunua na kupewa tuzo ya best collaboration of the year. Nyimbo yake ya ujanja ujanja aliowashirikisha wajanja wajanja P square inayoitwa KIDOGO...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Uwepo wa timu za kishabiki ndio unaofanya wasanii wengi wasing'are. Ila kiukweli wasanii kama Darassa, Ben Paul, Barakah, Jux, Barnaba wanafanya mziki mzuri kuliko uwepo wa timu za kishabiki ndio...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…