Leo ndio nimegundua hili baada ya Ruge kusema wakati anafanyiwa interview na xxl.alikuwa anamzungumzia Dj D ommy namna alivokwenda clouds "tulimwita kwenye Zali white party japo show ilikuwa ni...
Kama shabiki wa muziki, weka chaguo lako ili tuone ni nani kaibuka kidedea kwenye hili bifu lililoibuka kwa kasi majuzi mara baada ya ngoma za "kajiandae" na "kokoro" kuachiwa.
Wakuu heshima kwenu.
Kwanza poleni na majukumu hapa kuna mashabiki die hard wa Diamond ambao nawapa credit zao na wamekua wakimtetea sana . Nitataja wachache na ni watu makini sana
Chige...
Kwa waliongalia mbona kama komandoo kapauka hivi. Yani kumbe makamera na mapoda yanawalinda hawa wasanii, pale ameonekana mweusi balaa, chunusi kwa mbali!!
Alafu wakaweka video ya ndindi-ndiiii...
Ndoa ya ali kiba na jokate ni ngumu kutokea, jokate japo alitoa mimba2 za diamond, lakini kamwe hawezi kuolewa wala kumzalia kiba mtoto 4. Mzigo wa kulea watoto wasio wake tena kijiji (watatu)ni...
Wakuu heshima Iwe kwenu
Nisiende mbali sana napenda kumsifu king kiba kwa kuwafariji wanyonge ambao wakikataliwa team kulipa Kodi yeye anabeba na kuwafariji walau siku zisogee mbele zaidi, na...
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Samuel Eto’o na timu ya taifa ya Cameroon huenda akafungwa kifungo cha miaka 10 jela baada ya waendesha mashtaka kumhusisha na kashfa ya kukwepa kulipa ushuru...
Jsmani mie kama sijaelewa hi I style mpya ya baba ake wa kambo na diamond, ommy dimpozs, yani hizo nywele hazijampendeza kabisa, yupo ka Fido Fido, sujui nsni alimshauri
Diamond amefunguka kuhusu jitihada zilizowahi kufanywa ili kumaliza bifu lake na Ommy Dimpoz. Ni muda mrefu wawili hao wamekuwa hawaelewani japo hakuna aliyewahi kuweka wazi chanzo cha ugomvi huo...
Ngoma hii ya Jah Prayzah jamaa waliimba sana "Watora Mari" mshikaji akawekwa kwenye ramani ya Africa na Chibu na Jah anaappreciate mchango wa Chibu lakini kwetu huku Tz hakuna, international...
yaan kati ya vitu natamanigi kujua ni nini ally huwa anadiscuss na jokate about diamond au wanataniana nini kuhusiana na mondi especially wakiwa wanataniaa about mapenzi.......
oooh yule hana...
Kwanza nianze kwa kuweka wazi mimi ni die hard fan wa Diamond kutoka siku ya kwanza na Kamwambie yake. Tumekuwa tukitoa sapoti kwa kila hali kwa Diamond ambaye ni msanii wa mfano kwa taifa letu...
Labda alipewa kwa kulazimishwa. Sioni kama amefanya lolote la maana kuaddress ujangili. Bila shaka hata takwimu zinazohusu tembo.
Nashauri wampe mtu active.
Alikiba ashinda tuzo mbili za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA)
Alikiba ameshinda vipengele viwili kwenye tuzo za heshima kubwa za The Nollywood & African Film Critics (NAFCA) ambazo...
Hivi haka ka jamaa mbona kaswahili sana,,Au hapo alipofika kimafanikio bado tu aamini. Anaongea pumba tu cloudz FM anatoa povu povu tu.
Et Tuanze show mkali nani ....mi najua we Alikiba haumuwezi...
Hii sio mara ya kwanza kuwabamba Udaku special waki copy na kupaste threads za JF na kuzipeleka instagram.....
Sio dhambi ila muwe mna acknowledge basi,mbona si tukitoa IG tukileta hapa tunasema...
SIKU chache baada ya kudai hawezi kuolewa kwa sasa , mtangazaji wa Kipindi cha Mitikisiko ya Pwani kupitia Radio Times FM, Khadija Shaibu ' Dida' , ameonesha matumaini mapya ya kuolewa baada...