If you thought our(Bongoland) teams take it to the extreme, you might be wrong. According to Taxstone, Lil Kim has the most hardcore tribe there is. "You say some sh!t about Lil Kim on August...
jamani kitaani kwetu hapa naona kuna shereh hapa jirani kwetu ndo inaanza muda huu nahis itakuwa ya graduuu,karibuni sana ase wale mlo karbu na mnaskia saut ya huu mziki,kama vp naweza...
Nimesikiliza interview ya Ommy Dimpoz... watu wanadai wamemwelewa lakini mimi SIJAMUELEWA!
Katika kuonesha kwamba tatizo ni Diamond, Ommy Dimpoz anatoa simulizi ya Diamond "kumbania" collabo na...
Kituo cha Sound City kimetangaza nominees kataka categories mbalimbali kuwania tuzo za Soundcity Mvp 2016
Diamond na vanessa mdee wametajwa kuwania kwenye vipengele 2 kila mmoja huku alikiba...
Umofia kwenu wana JF,
E-FM watamaliza majembe yote kwenye tasnia ya utangazaji. Aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM ncha kali atua E-Fm, kwa mwendo huu watakuja kuwa radio namba 1 siku za usoni..
Siku zimepita toka nijionee kipindi kimoja chenye mada ya ushoga. Mrushaji alikuwa zamaladi. Nilimwona siku hiyo na sijawahi kufuatilia vipindi vyake. Baadaye nilisikia viongozi wa TCRA...
Jioni ya jumanne imetoka video mpya ya msanii mwingine wa WCB RICH MAVOKO akiwa amemshirikisha bosi wake Diamond Platinumz unaofahamika jina la KOKORO kimsingi mimi #kijanamzalendo sijaelewa Audio...
Baada ya rich mavoko kuachia wimbo aliomshirikisha diamond ,
Msanii alie karibu na alikiba ommy dimpoz amaamua kurusha dongo kwa WCB huku akiamini WCB wananunua viewers
Hata hivyo kama mnavyojua...
Rich Mavoko na Diamond Platnumz wamezichezea
sharubu za simba mkali aliyekuwa usingizini. Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limehisi kuna
udhalilishwaji wa wanawake kwenye video hiyo
na limesema...
Waungwana Salaam,
Miezi kadhaa Ney wa Mitego alitoa nyimbo yake iitwayo "SHIKA ADABU YAKO" huku akiwachana baadhi ya Wasanii na watu maarufu humu nchini.
Baadhi ya watu waliochanwa na Ney wa...
Kwa akili ya kawaida ni wajinga tu wanaweza kuamini diamond ananunua views youtube
Twende na facts kuujua ukweli
>Diamond ana followers milioni 3 instagram ,
Youtube ana subscibers 422,320...
Msanii mkali wa muziki, Ommy Dimpoz amesema haumizwi kichwa na kauli mbalimbali za mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii ambao wanadai kuwa anajipamba kuzidi.
Akizungumza katika kipindi cha...
Nimeangalia kipindi cha harakati cha kala pina kinachorushwa na television ya kilauzi (japo siipendi), nimekuta waungwana wanaangalia mahali nikajikuta na mm nimekodolea macho.
Alikuwa anamhoji...
Kwa waliopo instagram unaweza kuona mbwembwe za Ommy Dimpoz, bata akula haswa sijui ndio kaacha muziki Ana kula mafao sasa. Mara Paris, uki weka bundle kaisha fika Ujerumani. Ukizima simu ukiwasha...