Mmasai Abel Motika “ Mr Ebbo" alikiwasha Sana na Ngoma Kali zenye lafudhi na pigo za kimasai zilizokua na komedi pamoja na mafunzo ndani yake.
.
Ngoma gani unaikumbuka toka Kwa huyu mwamba?
...
Kila tarehe 9 october ni siku ya kuzaliwa ya Rapper Yafeu Akiyele Fula A.K.A Yaki Kadafi. Mama yake Diamond huwa anasema kwamba kipindi Rommy Jones akiwa mdogo ilifikia hatua hata kumpa nyonyo...
Majina yake kamili anaitwa Mikka Aleksanteri Kari jina maarufu Mika Mwamba.
Kiasili jamaa ni Mfinland.
Miikka aliwahi kufanya kazi na wasanii mbalimbali wa nchini Tanzania. Wasanii hao ni: Dully...
Habari za hivi punde ni kwamba mwanamuziki namba moja wa kike East Africa, Zuchu aka Zuu amejitoa Instagram.
Amefanya hivyo kwa ajili ya kufanya ibada mwezi huu wa Ramadhan ambao Zuchu ni binti...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 30 DESEMBA 2005
. . . .
Uchumi...
Wanazengo wanasema bibie ni mwalimu wa kuiba waume za watu , Na nasikia akimpata mume wako anamroga mpaka basi , yani bingwa wa kuiba waume za watu na ni mchawi kupitiliza.
Umbea unaozagaa kwa...
Nampenda men mwenye umbo zuri kama jd/awe ananyuka pamba kama vile Stev B /sio maarufu sana kama hammy b / awe anajua mapenzi sana kama vile jafarai/ili nikiwa nae najua nitafurahi/ awe...
Aliudanganya ulimwengu kuwa Rais wa Marekani Trump kampongeza Magufuli.
Hakika imekuwa ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mwamba ambaye alikuwa NI mtangazaji wa kituo cha television hapa nchini...
Mchezaji wa soka wa Palestina, Mohammed Barakat, aliuawa Jumatatu wakati shambulio la angani la Israeli lilipogonga nyumbani kwake katika mji wa kusini mwa Gaza wa Khan Younis.
Nyumba yake ya...
Kwema wakuu,
Kwa wale wapenzi wa burudani hasa music wa hapa home sweet home (bongo flavor) wa kizazi cha kati na cha sasa, utakubaliana na mimi kwamba katika collabo zilizowahi kutokea na...
Kama kuna watunzi wazuri ambao wamewaandikia wasanii wengi na nyimbo zikawa hit akiwemo Maua Sama, akina Nandy na wengine wengi tu ni Ibra Nation.
Watu wengi wamemjua kwa wimbo wake wa Nilipize...
Former UFC Champion Mark Coleman ran into burning 🔥 house and served both his parents then went back in for their dog 🐶 but passed out in the fire.
He is now in critical condition at the...
Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm.
Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua...
Huu ni mtazamo wa nguli na gwiji wa entertainment industry hapa bongo Salama Jabir.
Na mimi namuunga mkono toka day one uwa nasema hii kitu nikaishia kupewa majina mabaya na wenye wivu, chuki...
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Mwanga, maarufu Marioo, anayedaiwa zaidi ya Sh. milioni 500 kwa kuvunja mkataba, anatarajiwa kujitetea Mahakama Kuu Machi 18 na 19, mwaka huu.
Marioo na...