Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Adam Mchomvu ni moja kati ya majina makubwa na yenye athari chanya katika muziki wa Tanzania hususani Bongo Fleva! Amewapa mashavu wana kibao na wanakiri kuwa uwepo wa Adam ulirahisha safari zao...
12 Reactions
34 Replies
3K Views
Huyu jamaa huwa simwelewagi!! Sasa hapa anajibebisha kwa Muna love ndo nini?? eEi ooh sijui kwani huna ndugu wewe hadi uwe kama kibeni ten mjini
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Zuchu nilikuwa nakaonaga katoto ka 2000 tu kumbe ajuza wa kwenda, sasa hapa mbona kama team ya WCB imefeli pakubwa maana kwa umri wa Zuchu hata akichuana na Tyla hatoboi hata kidogo, age imeenda...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Sina shaka na uwezo wa Chid Benz. Kwenye Greatest rappers wangu wa muda wote anachukua namba 5. Wengi wanasema Collabo yoyote akiwemo Chid Benz hawezi kufunikwa kamwe.(Hapa nakataa kidogo) 1...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii. Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo. Jambo lolote ambalo...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
BURUDANI Rapa Meek Mill wa Marekani ameweka wazi kuhusu kuutaka uraia wa Ghana baada ya kuchoshwa na vitendo vya kinyanyasaji kwa watu weusi nchini Marekani ikiwemo ulawiti uliokithiri kwa wanaume...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Kajol Mukherjee ni mwigizaji maarufu wa filamu wa India, aliyezaliwa mnamo mwaka 1974 August 5 huko Mumbai Maharashtra India. Kajol ni wa pili kuzaliwa kwenye familia yao wa kwanza ni Rani...
8 Reactions
148 Replies
7K Views
Jina lake kamili anaitwa Hrithik Rakesh Roshan ni mtoto wa pili kuzaliwa na mtayarishaji,muongozaji na muandishi wa filamu Rakesh Roshan (baba) na Pinky Roshan (mama). Hrithik Roshan ni mtoto wa...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkurugenzi mkuu wa kampuni ya BangBros Bwana. Daler Mehndi amesema wanania ya kumburuza mahakamani aliyekua mfanyakazi wao wa zamani MIA KHALIFA kwa kusema uongo na upotoshaji kua alitengeneza...
15 Reactions
811 Replies
104K Views
Nani anamfahamu vizuri pastor Tony kapola. Kanisa lake liko wapi ? Nilisikia liko morogoro kutwa yupo Dar,dodoma Kwanini waumini wake na mke wanavaa nguo za ovyo ? Inakuaje ameungana na hawa...
21 Reactions
364 Replies
46K Views
According to fortune, for the first time in more than nine months Elon Musk is no longer the world's richest person. Musk lost his position a top the Bloomberg billionaires index to Jeff Bezos...
1 Reactions
4 Replies
596 Views
Amezaliwa Louisiana, USA mwaka 1991, Alifungwa Jela kwa kumuuwa Mama yake Dee Dee Blanchard mwaka 2016 kwa msaada wa mchumba wake Nick Godejohn. Gypsy( Binti) na Nick walikutana mtaandaoni kwenye...
3 Reactions
12 Replies
987 Views
Nimeisikiliza na kuiangalia nyimbo ya Mapozi nimegundua haina mvuto hata kidogo. Inabebwa na ukubwa wa Diamond, yaani hata leo Diamond aimbe maua mazuri yapendeza ukiyatazama yana rangi...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wadau, Nimeungwa group la harusi ghafla la kijana mfanyakazi mwenzangu anadai michango ya harusi yake. Nimesoma Bajeti ya harusi yake ni milioni 25. Nikawaza huyu jamaa ni maskini...
108 Reactions
148 Replies
13K Views
Nampa pole mdogo wangu Zuchu maana kila kona linapotajwa jina lake ni matusi, duwa mbaya na maneno ya wivu. Umaarufu na mafanikio ya kimuziki ndio chanzo cha yote. Na zaidi wenzangu roho zinawauma...
4 Reactions
58 Replies
2K Views
Habari za Jumapili wanandugu, Niende kwenye swali hapo juu. Miaka ya nyuma ama takribani miaka kumi imepita sasa, alikuwepo msanii wa nyimbo za injili Beatrice Muhone.Alikuwa na nyimbo nzuri...
3 Reactions
76 Replies
25K Views
Wakuu, Watu tuache unafiki na ushabiki kwenye jambo hili. Zuchu kaharibu maadili gani kwenye shoo yake ya Zanzibar, ametukana tusi gani? Kipande alichoimba alisema hata ".... hata mumpe mku..."...
10 Reactions
139 Replies
9K Views
Kusema ukweli Msanii wa Bongo Fleva ambaye leo Tar 5 Machi 2024 amefungiwa kujiahughulisha na kazi za Sanaa ktk Nchi ya Zanzibar na viunga vyake amekoswea sana. Ndani ya Kisiwa cha Zanzibar Rais...
14 Reactions
166 Replies
11K Views
Msanii wa Filamu Bongo,Ruth Suka 'Mainda', akiwa Hospitali na mmoja wa wauguzi wa hospitali hiyo ambayo jina lake hakutaka kulitaja mara moja. SOMA UJUMBE ALIOUANDIKA KWA MKONO WAKE HAPO...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…