Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Peetah Morgan enzi za uhai wake Mwimbaji kiongozi wa bendi ya Reggae ya Morgan Heritage, Peter 'Peetah' Morgan, amefariki. Bendi hiyo imetangaza kifo cha Peetah kupitia taarifa iliyopostiwa...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Two brothers who rose from the decaying streets of southwest Detroit in the late 1980's and gave birth to one of the most influential crime families in the country. BMF season 3 will officially...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Uliimba wimbo bora sana wakati wa marehemu Ruge R.I.P Umeimba wimbo bora kabisa wa maombolezo ya JPM.R.I.P Una kipaji kikubwa sana. Nimekubali wewe unao uwezo wa kuziba pengo la John Komba
18 Reactions
36 Replies
6K Views
Watu sita wanashikiliwa na Vyombo vya Usalama wakituhumiwa kuhusika na vifo vya Kiernan Forbes maarufu kwa jina la AKA pamoja na rafiki yake, Tebello "Tibz" Motshoane waliopoteza maisha kwa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona hii kitu Wasanii wa Bongo hata wa nje lakini ngoja nizungumzie wa Bongo; wanapenda kuiga kila vazi au persona fulani hata kama si wao bali wavume; Regardless of his personal life...
0 Reactions
3 Replies
598 Views
Miongoni mwa mabifu yaliyowahi kutikisa nchini India basi bila shaka utazungumzia bifu lililokuwepo baina ya Shah Rukh Khan ukipenda muite King Khan au SRK na mbabe Sunny Deol. Hili bifu...
15 Reactions
53 Replies
5K Views
Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila...
23 Reactions
140 Replies
7K Views
Mafanikio ni mafanikio, haijalishi njia zilizotumika kuyafikia… mwisho yataitwa mafanikio bila kujali kama ni kwa njia halali au kupitia njia haramu. Na daima mafanikio hutukuzwa, na waliofanikiwa...
59 Reactions
843 Replies
78K Views
10. 2 of Amerikaz most wanted $ 0.000.000
4 Reactions
7 Replies
837 Views
2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
This is for the soldiers that see the sun at midnight, ya dig Let me slow down (it's so incredible) Rick Ross verse I go to the grave before i be a bitch nigga. Better behave, you dealin' with...
7 Reactions
94 Replies
4K Views
Notorious BIG au kwa jina lake la ubatizo Christopher Wallace, anasafiri kwenda Los Angeles Marekani, ilikua Februari 1997, anaenda ku promote albamu yake ya "Life after Death", na video ya nyimbo...
12 Reactions
44 Replies
9K Views
Wanajamii, Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nakumbuka kwangu enzi nipo Arusha miaka ya 2016 , Nlikuwa na kawaida ya kwenda club D maeneo ya Moshono. Siku ya siku wakaja kina Mr Blue na Rommy Jons ambae alipewa u DJ. Cha ajabu hatukuwa...
52 Reactions
427 Replies
56K Views
Muangalie mtu kama Marioo,pamoja na umaarufu alionao angeweza kupata mwanamke mzuri tu popote,lakini ilikuaje akaangukia kwa yule binti? Tena nasikia anataka kuoa kabisa.. Mifano ni mingi,unakuta...
11 Reactions
77 Replies
5K Views
Hizi ni miongoni mwa couple za Diamond Platnumz zilizokosa mvuto . 1A)Diamond Platnumz na Penniel Mungilwa(Penny): Hii ndio couple mbaya zaidi ya Diamond Platnumz iliyochukiwa na wengi. Sababu...
12 Reactions
61 Replies
7K Views
Kwa wale wapenzi wa filamu za kichina mtakuwa mnaelewa usnitch ,upambe umbea wa huyu jamaa. Sidhani kama ana mpinzani huyu kiumbe , ila sasa ni hodari wa kutumia mbio yakimshinda 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Martin Maranja Masese, amekuwa Mtanzania wa kwanza kutembelea Kaburi la Edward Lowassa huko kijijini Ngarashi, Wilayani Monduli. Bwana Masese amekutana na...
24 Reactions
85 Replies
6K Views
Huyu msanii alienda wapi? Nyimbo zake zilikuwa kali sana "Twende we mchumba twende tukalicheze ngoma" Yuko wapi
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Ukisikia wiki ya Hit ndio hii, Ibraah wa Kondegang ameachia wimbo uitwao Dharau ambao ame shirikiana na Boss wake Harmonize nadiriki kuwa ambia ni kisanga, awa jamaa kwa Melody ni balaa yaani ni...
5 Reactions
49 Replies
3K Views
Back
Top Bottom