Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwa uchunguzi uliofanyika kwa muda wa miezi miwili imegundulika kuwa TZ inaongoza kwa idadi kubwa ya macelebrity kwakua asilimia 90 ya watanzania ni macelebrity na hii inatokana na umaarufu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Moja ya wasani maarufu duniani na nyota wa miondoko ya hiphop, rapa 50 Cent, aomba sheria ya kufilisika yenye kifungu cha 11 imlinde na mali zake huko Marekani. Hoja hiyo ilikuja siku chache...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Umofia kwenu wana JF, Ukisikiliza wimbo wa Qchief I'm a dreamer, kuna mstari unasema "Tangu mdogo Nilikuwa na Ndoto kuishi kitajiri Kama John Kaboko hata mbuyu ulianza kama mchicha Nina imani...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Vazi la suti ni vazi linaloheshimika sana duniani. Ni vazi pekee ambalo linavaliwa kwenye matukio makubwa na mtu kuonekana nadhifu. Leo nataka tuone mastaa sita wa hapa Bongo wanaoongoza kwa...
2 Reactions
56 Replies
25K Views
Huyu dada jamani simtaji ila huwa namuona karibu kila siku ya Alhamisi katika kile kipindi,kwakweli anavutia sana. Nimalizie kwa kusema tu,nawe camera man kwa kummulika tu huyu dada haujambo...
1 Reactions
161 Replies
52K Views
1. Ni yeye ndiye aliyemfanya TID aanze kuimba. TID alikuwa rapper na mshereheshaji (MC). Girlfriend wa CBM Crew ndio wimbo waa kwanza kwa TID kuingia studio. “Wakati TID ana host show nakumbuka...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
HII KALI! Mdau na promota wa muziki wa bongo fleva aliyejichimbia kwa muda mrefu, ameibuka na kali nyingine, safari hii ni kwenye uwanja wa siasa. Kupitia ukurasa wake wa Facebook na Instagram...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Alikiba anashangazwa na jinsi watanzania na mastaa wenzake wanavyoupa uzito mdogo ubalozi wake wa shirika la Wild Aid licha ya kujumuika na mastaa wakubwa duniani kwenye kampeni ya kuzuia ujangili...
2 Reactions
95 Replies
13K Views
Ali Kiba na Jokate, Diamond na Zari,Jux na V money wadau endelea na list
0 Reactions
79 Replies
17K Views
Habari nyingi kuhusu wasanii(nawaita wasanii japo sio wasanii) wetu wa filamu na muziki ni kuhusu ngono tu! hakuna misuguano ya kikazi au uboreshaji wa kazi zao bali ni tuhuma tu za kunyang'anyana...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
https://www.youtube.com/watch?v=Ovtb1pO9Cmw https://www.youtube.com/watch?v=QhRS6gpKV-c https://www.youtube.com/watch?v=XDGcG2K3u6o https://www.youtube.com/watch?v=cIGopSOPmEk...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
hili penzi mnalionaje?
0 Reactions
15 Replies
11K Views
Kuna watu wana bahati zao duniani, ila huyu kazidisha, kila siku bidada anazidi Ku shine tu, Mara katoka kwenye magazine kubwa uko USA, kashakuwa nominated kwenye awards kubwa duniani na zenye...
4 Reactions
63 Replies
15K Views
Salaam Wadau... Nimevutiwa na Habari hii ya Mh Lazaro nje ya Uwanja wa Siasa... 1. What bonded you two initially when you met and what is still binding you as man and wife? Fa: I felt a deep...
3 Reactions
20 Replies
6K Views
Sote tunajua Mohamed Dewji amitisha mkutano wa hadhara kuwajulisha wananchi wake mambo aliowafanyia katika kipindi cha uongozi wake. Kwakujua sasa anahitaji attension kubwa amemualika Diamond...
7 Reactions
164 Replies
20K Views
Kama ilivyoripotiwa hivi karibuni kuhusu Msanii wa Marekani, Bill Cosby, amekumbwa na kashfa nyingi sana za ubakaji zilizoibuliwa hivi sasa, wengi waliobakwa wanasema walifanyiwa hivyo miaka mingi...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
kwa mara kadhaa nakuwa nahuzunishwa sana na wasanii wa mziki hasa kwa instagram yaan unakuta msanii amepost kitu umelike na kucomment na umemtag kwa kumuuliza kitu lakin hakujibu nimeshanga...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni baada ya huyu mdada kutoka uganda ZARI a.k.a The boss lady binti tajiri east afica nzima mwenye gari na nyumba za kifahari kuwa karibu awali na "sukari ya warembo" wawili hao walipanda ndege...
3 Reactions
713 Replies
109K Views
A
1 Reactions
35 Replies
12K Views
Habari wanajamvi, Baada ya Judith Wambura Habash kushindwa kulipa mkopo aliokopa,nyumba yake iliyopo Mivumoni,Kinondoni imewekwa sokoni kwa ajili ya kupigwa mnada. Mtakumbuka kuwa sasa hata Bar...
0 Reactions
152 Replies
30K Views
Back
Top Bottom