Seun anikulapo kuti made the claim in reaction to a viral Ye's video where Ye says "We (Africans ) are not black, we're Indian".
Seun went further 'all the rich blacks hate Africa, not just this...
Beyonce ka release album mpya, katika nyimbo zake kaongelea kuhusu cheating partner, kuna mstari kasema eti kisingizio dada ana "good hair", Anaehusika kajistukia kaanza ku tweet na sasa anakiona...
His thumb doomed him, Bob Marley tried to defeat cancer his own way and treated it as if it was a cold.
Marley's final stage started in 1977, he went to the doctor for an injury on his toe and...
Mkali wa kipindi cha radio cha Planet Bongo na mkali wa kipindi cha TV cha Friday Night Live "Dullah Planet" wa kampuni ya utangazaji ya East Africa Radio & TV, siku ya leo ametangaza kuaga Rasmi...
Ulimwengu wa Filamubza Nigeria 'Nollywood' umempoteza nyota wao wa filamu hasa za Vichekesho, John Okafor maarufu kwa jina la Mr Ibu (62) chanzo kikitajwa ni kupata Mshtuko wa Moyo ikiwa ni baada...
He died after fighting leg amputation.
Mwigizaji wa Nigeria, John Okafor maarufu kama Mr Ibu (62) amefariki dunia leo Machi 2, 2024 wakati akiendelea kupatiwa matibabu hospitalini.
Kulingana...
Mwaka 2010, jina la la Diamond Platinum lilichomoza kwenye vyombo vingi vya burudani kwa wimbo wake uliokuwa mkali kipindi hicho "Kamwambie".
Ilimuchukua Diamond miaka 4 kupambana kwa kuimba sana...
Habari wanaburudani, nimepokea taarifa za kusikitisha za msiba wa Producer Geof Master muda huu. Naambiwa alikua kalazwa Ocean road. Mara ya mwisho kuonana nae mitaa ya Tegeta alikuwa na uvimbe...
Anaitwa Bruce Africa.. Nimeusikia wimbo wake hapa. Ukaniamsha usingizini.. fasta nikasema. Nimshazam..
Wimbo wake huu My love ni mkali. Sasa nikajiuliza mbona ha hit ana ana ngoma kadhaa .
Kweli...
Kwa wale watumiaji wa mtandao pendwa wa X, nadhani mtakuwa mashahidi. Kwenye misiba hii ya taifa nimemuona sana. Pia kwenye habari za kigogo ama Malkia, watu humtumia sana kwenye replies. Ni nani...
Wayne is a loyal Lakers fan, a superstar went a little overboard with his comment on ANTHONY DAVIS last season.
A head of the 2023 postseason, Antony Davis had a tough time recovering from foot...
Wadau huku mtaani kuna mkanganyiko kati ya hawa wadada wawili. Wanafanana swag, presentation, look na hata usasa. Na ngoma zao kiukweli wote ni kali.
Sasa naleta kwenu THINKERS amueni ugomvi...
Habari zenu wapenzi na wafuatilia muziki wa Tanzania na mashabiki kwa ujumla.
Hivi lebo ya WCB mbona kama imemtelekeza msanii wake (Queen darleen)? Awali alikuwa akifanya nao kazi na bila shaka...
Je ! Ni Management zao.. Ni Fedha..
Ni kutotoa hongo ktk Media Industry!? Mawazo yako mengi sana. Najua nawe una mawazo yako..
Kwa Mfano.
Benson ni nini kilimfanya asiendelee kuwa msaniii mkali...
Dah...
Kupitia mtandao wa Instagram, Baba Levo ameandika:
"KWA WEMA ALIONITENDEA DIAMOND PLATNUMZ KAMA ningekuwa Demu ningemzalia Watoto WATATU. NAMSHANGAA SANA ZUCHU...!Ndio maana NIMEKASHUSHA...
Edward Ngoyai Lowassa (amezaliwa Agosti 26, 1953) ni mwanasiasa Mtanzania ambaye alikuwa Waziri Mkuu wa Tanzania kuanzia 2005 hadi 2008, akihudumu chini ya Rais Jakaya Kikwete. Lowassa ameingia...
YoungBoy may be headed back to jail as prosecutors accused him of drug use on house Arrest.
Allegedly, he told his supervisor he has no intentions of stopping.
Mtampa lini Diamond Platnumz heshima yake kwa kile alichokifanya kuwainua Harmonize na Rayvanny wakati wao wameshindwa kabisa kuwainua wengine kwenye lebo zao.
WCB ndio lebo pekee iliyofanikiwa...