Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Aliyekuwa mwanamuziki wa Twanga Pepeta,Ramadhani Masanja au Banza stone,anaumwa sana na yuko Mbeya. Habari zinasema kakosa hadi nauli ya kurudi Dar Es salaam. Mkurugenzi wa Twanga pepeta Asha...
0 Reactions
53 Replies
14K Views
DIVA, B 12, MCHOMVU ‘OUT' CLOUDS by GLOBAL Stori:- MUSA MATEJA WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12', Adam Mchomvu na Loveness...
6 Reactions
296 Replies
80K Views
Kama ulikuwa hujui basi chukua hii, staa wa filamu za kibongo, Kajala Masanja alitaka kumlipia dhamana mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Florah Mbasha aitwaye Emmanuel Mbasha shillingi za...
1 Reactions
66 Replies
14K Views
Diamond kwa muda mrefu amekuwa mbunifu sana kwenye kazi yake ambapo amepelekea kuwa mwanamziki mwenye utofauti mkubwa sana na wengine katika vipengele vifuatavyo:- 1. Management yake. ...Ana...
6 Reactions
78 Replies
13K Views
Dah! Nimeingia social media, Wanigeria wanatutusi sana na kutuita kila jina kisa Diamond. Kwanza wanasema tunajipendekeza sana kwao. Mfano mzuri Mondi, coz kila collabo lazima akafanye na...
3 Reactions
96 Replies
9K Views
Siku za hivi karibuni nilibahatika kutembelea nyumba anayoishi mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku iliyopo maeneo ya Kibamba, kwa kweli niliogopa, Bahati anaishi kwenye ghorofa la...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Diamond nampenda, Ali K nampenda. Nashindwa jiunga hzi team jamani.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto 'Mjomba', ameibuka na kusema hana nia ya kugombea Ubunge kama alivyosema ila aliamua kuwabipu wanasiasa. Akizungumza wiki hii, mjomba alisema alitangaza...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
These two chicks wanadatisha wadau mbalimbali wa burudani apa Bongo,nawazungumzia watangazaji wenye makeke na swagga classic zenye ladha na mvuto wa kipekee. Hapa Salama Jabir akitangaza kipindi...
0 Reactions
38 Replies
18K Views
Muigizaji mashuhuri na mwimbaji wa nyimbo za injili Emanuel au Masanja kama anavyojulikana na wengi anataraji kugombea ubunge jimboni mbarali. Ameyasema hayo baada ya kumwimbia Mungu ktk mkutano...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu, Mimi ni mfanyabiashara wa duka la nafaka na bidhaa ndogo ndogo, sasa kuna star mmoja mwanamuziki naishi nae karibu na biashara yangu, akawa anakuja kukopa everyday mpaka ikafika...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
Tajiri afutiwa kesi ya mauwaji leo mahakama ya kisutu.... ni hayo tu
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Je mnamkumbuka huyu mkongwe wa hiphop ya bongo ...?! moja ya nyimbo yake maarufu ni BILA SANAA . Leo nimepata shauku sana ya kujua huyu kijana yupo wapi na anafanya nini..?! ilibidi ni google na...
0 Reactions
12 Replies
46K Views
Kwenye kipindi hichi ambacho mziki unachukuliwa kama ajira kwa vijana na chanzo cha mapato. Watu wanafanya utani. Kuna watu wamekua wanajituma na kufanya kazi nzuri na michango yao tunaiona...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Wapo wanawachana team kingkibaka na team maex wa Diamond now XXL. Wacheni ujinga nyiee!
1 Reactions
73 Replies
13K Views
Africa Reconnect a platform for women who have made remarkable contributions to the growth and development of the various nations in Africa has today awarded 11 Africans whose contributions to...
0 Reactions
21 Replies
13K Views
Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za Hip hop P Diddy amekamatwa kwa kushukiwa kumshambulia mtu kwa silaha mjini Los Angeles. Kisa hicho kinadaiwa kufanyika katika chuo kikuu cha California Jumatatu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Juzi nilimwona huyu kijana kwenye interview moja kwenye Tuzo za hapa Tz. Dah kama sio Molly basi Bangi au Alcoholic huyu dogo. It's sad cause dogo ana uwezo mkubwa sana kimuziki. Ni katika...
0 Reactions
50 Replies
11K Views
King of pop Afika mashariki, Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake' kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Nipo naangalia kipindi cha Take One cha Zamarad Mketema. Wema kakiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba. Kanumba...
3 Reactions
111 Replies
23K Views
Back
Top Bottom