Aliyekuwa mwanamuziki wa Twanga Pepeta,Ramadhani Masanja au Banza stone,anaumwa sana na yuko Mbeya. Habari zinasema kakosa hadi nauli ya kurudi Dar Es salaam. Mkurugenzi wa Twanga pepeta Asha...
DIVA, B 12, MCHOMVU ‘OUT' CLOUDS
by GLOBAL
Stori:- MUSA MATEJA
WATANGAZAJI maarufu Bongo wa Redio Clouds Fm ya jijini Dar es Salaam, Hamis Mandi ‘B 12', Adam Mchomvu na Loveness...
Kama ulikuwa hujui basi chukua hii, staa wa filamu za kibongo, Kajala Masanja alitaka kumlipia dhamana mume wa mwimbaji wa muziki wa injili, Florah Mbasha aitwaye Emmanuel Mbasha shillingi za...
Diamond kwa muda mrefu amekuwa mbunifu sana kwenye kazi yake ambapo amepelekea kuwa mwanamziki mwenye utofauti mkubwa sana na wengine katika vipengele vifuatavyo:-
1. Management yake.
...Ana...
Dah! Nimeingia social media, Wanigeria wanatutusi sana na kutuita kila jina kisa Diamond. Kwanza wanasema tunajipendekeza sana kwao.
Mfano mzuri Mondi, coz kila collabo lazima akafanye na...
Siku za hivi karibuni nilibahatika kutembelea nyumba anayoishi mwanamuziki wa nyimbo za Injili, Bahati Bukuku iliyopo maeneo ya Kibamba, kwa kweli niliogopa, Bahati anaishi kwenye ghorofa la...
Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto 'Mjomba', ameibuka na kusema hana nia ya kugombea Ubunge kama alivyosema ila aliamua kuwabipu wanasiasa.
Akizungumza wiki hii, mjomba alisema alitangaza...
These two chicks wanadatisha wadau mbalimbali wa burudani apa Bongo,nawazungumzia watangazaji wenye makeke na swagga classic zenye ladha na mvuto wa kipekee.
Hapa Salama Jabir akitangaza kipindi...
Muigizaji mashuhuri na mwimbaji wa nyimbo za injili Emanuel au Masanja kama anavyojulikana na wengi anataraji kugombea ubunge jimboni mbarali. Ameyasema hayo baada ya kumwimbia Mungu ktk mkutano...
Habari zenu,
Mimi ni mfanyabiashara wa duka la nafaka na bidhaa ndogo ndogo, sasa kuna star mmoja mwanamuziki naishi nae karibu na biashara yangu, akawa anakuja kukopa everyday mpaka ikafika...
Je mnamkumbuka huyu mkongwe wa hiphop ya bongo ...?! moja ya nyimbo yake maarufu ni BILA SANAA . Leo nimepata shauku sana ya kujua huyu kijana yupo wapi na anafanya nini..?! ilibidi ni google na...
Kwenye kipindi hichi ambacho mziki unachukuliwa kama ajira kwa vijana na chanzo cha mapato. Watu wanafanya utani.
Kuna watu wamekua wanajituma na kufanya kazi nzuri na michango yao tunaiona...
Africa Reconnect a platform for women who have made remarkable contributions to the growth and development of the various nations in Africa has today awarded 11 Africans whose contributions to...
Mwanamuziki mashuhuri wa nyimbo za Hip hop P Diddy amekamatwa kwa kushukiwa kumshambulia mtu kwa silaha mjini Los Angeles. Kisa hicho kinadaiwa kufanyika katika chuo kikuu cha California Jumatatu...
Juzi nilimwona huyu kijana kwenye interview moja kwenye Tuzo za hapa Tz. Dah kama sio Molly basi Bangi au Alcoholic huyu dogo. It's sad cause dogo ana uwezo mkubwa sana kimuziki.
Ni katika...
King of pop Afika mashariki, Diamond Platnumz sasa ni ‘hotcake' kiasi cha kuwafanya wasanii wengi wa Afrika kutamani kufanya naye collabo, lakini kwa uamuzi mpya alioupitisha wasanii wa...
Nipo naangalia kipindi cha Take One cha Zamarad Mketema.
Wema kakiri kuwa alitoa mimba maana hakuwa tayari kwa wakati ule.Ilikuwa mwaka 2008 na mimba ilikuwa ya marehemu Steven Kanumba.
Kanumba...