Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kampeni mpya kupambana na Ujangili wa Tembo duniani yazinduliwa. Msanii Ali Kiba ateuliwa kuwa mmoja wa Mabalozi wa kampeni hiyo duniani. "Just announced at a press conference in Dar es Salaam...
3 Reactions
277 Replies
31K Views
Wanajv naomba msaada was ufaamu celebrity no kitu gan Mimi sielewi japo nasikia wengi wsnasema celebrity
0 Reactions
27 Replies
3K Views
WanaJF Napenda kufahamu watoto wa Martin Luther King pamoja na mke, wako wapi? na wanafanya nini? please taarifa amijuze.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ama kweli msaka cha uvunguni ni sharti ainame, kama umaarufu ndio una tafutwa hivi , basi kuna mengi sana chini ya kapeti. Mtizame chibu anachofanywa hapa.....
0 Reactions
45 Replies
9K Views
Wasalaam Wanajamvi Happy New year 2015!. Ni wazi JF ni zaidi ya Google pengine hata detail za shetani haziwezi kosekana humu! Ali Kiba ni mmoja ya wasanii ambao wanajiheshimu na hawapendi...
1 Reactions
621 Replies
86K Views
Daimond alivyombwaga wema na kutoka na zari ndio chanzo cha matatizo, Team wema wakiongozwa na ma-ex wake Daimond Inawauma mpaka kumoyo. Dai angetoka na mwanamke wa kawaida ambae wema...
2 Reactions
78 Replies
8K Views
kwako Wema I. Sepetu ninakuandikia maneno haya, uyashike, uyakumbuke siku zote za maisha yako na kuyasimamia ili uweze kufika katika kilele cha mafanikio ambacho weengi hutamani kufika lakini...
7 Reactions
50 Replies
10K Views
Lustig, aka The Count. Victor Lustig was born in 1890 in what is now the Czech Republic. As a youngster he studied languages. He also studied people: their habits, mannerisms, and especially...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwimbaji mashuhuri duniani ,Chris Brown ametuma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter Jumatatu kuhusu ugonjwa wa Ebola na kutoa maoni yake. ''Sijui , lakini nadhani Janga la Ebola ni njia moja ya...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Hivi karibuni kumezuka wimbi la wasanii wanaofuatana na wanasiasa kwenye michakato yao ya kutangaza nia. Wao wanadai eti ndio Kazi yao. hawaoni kwamba wanatumiwa kuleta watu walishwe uongo wa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Aisee haya maisha ya mastaz ni shida,mtu unavaa fake ili ionekane upo juu,sasa hii account ya Insta nadhani ya huko majuu,ilimwumbua jamaa mpaka akadelete account akaja na mpya.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Jana nilistuka kumuona aliyekua mtangazaji wa Radio One, Amina Mollel kwenye kipindi cha Malumbano ya hoja kinachoendeshwa na ITV. Nakumbuka kwa mara ya mwisho alikua TBC na amekuwa haonekani siku...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Nigerians think kwamba matokeo yamechakachuliwa, wanahisi South Africans na nchi zote za SADC zimeungana kuwa toa kwenye entertainment Industry. Tokea tuzo za Channel O last weekend na leo BBA...
12 Reactions
552 Replies
71K Views
Wasifu wa Wema Sepetu Miss Tanzania 2006 Wema Abraham Sepetu (amezaliwa 28 Septemba 1988) alikuwa Mrembo wa Tanzania kwa mwaka wa 2006. Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu(Katikati) Maisha ya...
1 Reactions
238 Replies
27K Views
Kama Siti alivua taji la Miss Tanzania baada ya kuonekana kuna udanganyifu kwenye wasifu wake . Na wewe tuzo ya utunzi bora mrudishie Barnaba, tuzo ya utumbuizaji bora mpelekee Diamond. Hizo...
5 Reactions
120 Replies
10K Views
Kiukweli diamond yupo level nyingine kabisaaaaaa.... Leo unakuta diamond unamwita kwenye show mil 40 anakataa labda ujipange kuanzia mil 50/60 wakati hakuna msanii Tanzania anaelipwa hata nusu...
6 Reactions
68 Replies
20K Views
Latest news ni kwamba majina ya wasanii watakaowania tuzo za MTV Africa Music Awards 2015 yametangazwa jana June 11. Miongoni mwao ni watabe wa Bongo Diamond Platnumz na dada mwenye swagga za...
0 Reactions
166 Replies
18K Views
SALAMU nyingi zikufikie mrembo usiyechuja umaarufu tangu mwaka 2006, Wema Isaac Sepetu ‘Madam' vipi uko poa? Mishemishe zinakwendaje? Ukitaka kujua afya yangu, mimi namshukuru Mungu kwani...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Akizungumza katika kipindi cha jioni cha E-FM kinachoongozwa na Gadner G. Habash mama mzazi na kaka wa damu wa mwanamuziki fundi na bora wa kizazi cha kati cha watanzania Ramadhani Masanja a.k.a...
2 Reactions
38 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…