Christian Bella anaamini kuwa kikwazo cha wasanii wengi kukua kutokuwa na management. Bella ameiambia Bongo5 kuwa kila msanii ana lengo la kwenda mbali zaidi lakini tatizo lipo kwenye management...
Wakuu nipo naangalia taarifa ya habari citizen tv ya kenya naona imeanza kwa mbwembwe za hatari coz fid yupo ndan ya mjengo na kachana ngoma ya cnn aliyoshirikishwa na marehemu ngwair...rip cowboy
Mwanamuziki Aslay Isihaka kutoka katika kundi la Yamoto Band amefunguka na kuweka wazi kuwa anasumbuliwa sana na watoto wa kike ndiyo maana ameamua kuweka mahusiano yake wazi, Aslay alifunguka...
A game of two (other) halves! Newcastle footballer Papiss Cisse leaves girlfriend for holiday... and three days later marries Senegalese volleyball player fiancée in Paris
Rachelle Graham says...
Said Fela amemkabidhi Mheshimiwa Temba nyumba yake ya pili. Rapper huyo wa TMK Family, amesema kuwa nyumba aliyokabidhiwa na Fela imepatikana kutokana na mauzo ya kazi zake za muziki ndani ya TMK...
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny' amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond' ni kama chizichizi lakini kwa undani zaidi ni mtu...
Lile bifu lililowahi kutokea kati ya muigizaji maarufu, Lulu Michael na video queen maarufu nchini Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo ivi sasa muigizaji huyo ameibuka hadharani na kumtaka...
Katika kuonyesha kazi za Nasibu Abdul aka Diamond aka Chibu zinakubalika kona zote na watu mbali mbali maarufu, striker nguli wa Manchester City amepost video kwenye Instagram page yake akimwaga...
Tukiwa tunaendelea na shamra shamra za kuadhimishwa miaka 38 ya CCM yanayofanyika kitaifa mkoani Songea ktk uwanja wa Majimaji na mgeni rasmi akiwa prof. Jakaya Mrisho Kikwete, Umati wa watu...
Hahaa demu wa zaman ama kingast wa mziwanda amesema usiku wa jana aliletewa WATU WAKAMPIGA SANA ATOE MIMBA ya mziwanda.
Wamemchukulia simu na begi ameapa atamzalia mtoto na hii mimba ya...
Kwa wale wafuatiliaji wa video za wasanii wa Bongofleva utagundua kuwa wanatumia gharama kubwa kuziandaa sio chini ya milioni 300 na kuendelea lakini wasanii hawa hawa wanaishi maisha duni na ya...
Staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ' Lulu ' anadaiwa kumganda mwigizaji kipenzi wa akina dada wa Ghollywood Movies kutoka nchini Ghana Van Vicker. Habari kutoka chanzo makini ambacho ni...
BAADA ya kuzagaa kwa habari kwamba Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda ' kutembea' na mrembo wa Bongo Movies , Kajala Masanja , Mheshimiwa huyo ameibuka na kuzungumzia tuhuma hizo kuwa...
Habari zenu,
Nasikia kuna bifu la Diamond Platnumz na Kiba na wengi huwa wanalishabikia sana ila ukiuliza chanzo cha bifu lao ni nni hakuna hata shabiki mmoja atakae kujibu maana hawajui. Anyway...
Ni nadra sana kukutana na Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi maarufu kama K-Lynn, lakini kupitia Tuzo za Watu tulifanikiwa kupiga story mbili tatu. K-Lynn ameiambia Bongo5 kuwa maisha akiwa kama mama...
This is a love and hate type of sh*t. Wema Sepetu amekiri kuwa upande wa Alikiba lakini bado anazipenda nyimbo za mpenzi wake wa zamani, Diamond. Unakipata kizungumkuti cha kauli hiyo sio? Hivi...
Sielewi jamani ndoa ya boss wetu iliyofungwa kwa mbwe mbwe zote, ambayo ata hivyo kanisa walilofungia na Huyo mume wake mpaka kesho imebaki kuwa tamthilia ya Isidingo.
Mama ubaya vipi? Au bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.