Jamanii hii ni tetesi lakini nimeamua kuifanya utafiti na nimegundua nyimbo za Diamond zimepungua kupigwa kwenye kituo cha Television na radio cha Clouds baada ya msanii huyu kukataa mchongo wa...
Mtangazaji maarufu, na aliyekuwa mume wa mwanamuziki lady Jaydee, Gadner G habash, hivi karibuni ametoa kauli tata baada ya kuulizwa swali na mwandishi kuhusu Lady Jaydee, ambapo bila hiyana...
Kweli Alikiba anapendwa jamani,
Nimetumia muda wangu wa kupumzika kusikiliza mpambano wa wasanii Radio1 ambapo Alikiba alikuwa akishindanishwa na Ommy dimpoz.
Matokeo ni kwamba katika simu 30 za...
Jokate, mmoja kati ya wanawake waliofanikiwa kutokana na kujihusisha katika nyanja mbalimbali ikiwemo Ujasiliamali, ameweza kutoboa kimaisha baada ya kuingia mkataba na Wachina kwa kampuni yake ya...
Mwanadada asiyechuja kwenye tasnia ya filamu za bongo, lulu michael, amesema fedha za kuhongwa na wanaume ni nzuri lakini zina presha kubwa kwa msichana aliyepewa.
Lulu alisema kuwa wasichana...
Asilimia Kubwa ya mastaa Wa bongo wamekuwa wakionekana wakijivinjari katika mitaa mbali mbali wakiwa katika magari ya kifahari. Lakini ukichunguza utagundua kuwa wengi Wa wasanii hao siyo wamiliki...
Habari wanabodi,
Nilikuwa napita sehemu nikasikia watu wanasema kuna msanii wa Futuhi mwingine mbali na mzee dude(Aliyefariki Jan 214) amefariki,kama kuna mdau anamjua anaweza akatudadavulia ni...
Habari ndugu wana JF, nimeanzisha uzi huu nikiamini huenda ZARI akauona anitatulie tatizo langu.
Mimi nilikuwa follower wako mzuri tu kule instagram. . Nilichokuwa nikifanya ni ku double tap tu...
Week hii wasanii wengi wameachia nyimbo zao pamoja na video miongoni wa wasanii hao ni Linex na video yake ya Salima aliyomshirikisha Diamond, Jux na video yake ya Nikuite nani, Ommy Dimpoz na...
Nimepita Instagram kwenye account ya Snoop Dog kapost picha ya Beaber nimeshangaa matusi anayoporomoshewa huyo dogo nikajiuliza kulikoni? Amewakosea nini wapenzi wake wa miziki? Au ndio dalili ya...
oya waungwana ile mimba ya mwana bongo fleva platinum kwa mke wake zari imefikia wapi?
Nauliza hvyo kwakua siku zinavyo zidi kwenda mzigo hauonekani au ni macho yangu mimi
Samahanini kwa...
Habari Wanabodi,
DJ mkongwe Tanzania John Dillinga aka DJ JD (The Legend) leo kupitia ukurasa wake wa Facebook ametupia picha ya mjengo wake wa mbezi beach.Mjengo huo wa mbezi beach wenye thamani...
Huyu mama huwa namsikiaga Clouds na Radio nyingine anaongelea mambo ya saikolojia na ushauri. Lakini baada ya kumsikiliza namuona amepwaya na hana mashiko. Yeyote mwenye taarifa za kutosha kuhusu...
#Repost instagrampartytz
・・・
It is a very unfortunate moment for all that We had to take such a hard decision to announce the termination of our employee Mr. Seth...
HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi...
Mwanamuziki nguli wa kike hapa Tanzania Lady JayDee ambaye kwa sasa anafanya poa na wimbo wake wa Forever amefunguka na kuonyesha kukerwa na kitendo cha baadhi ya mashabiki wake wa Instagram...