Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Just imagine how hot is it on the bed.. lol wema, kajala and ant ezekiel you made it, so mwaaaah!! lol is hot style or bad?
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Jamani Wema sepetu Mimi hata wamsemeje nampenda Sana Ana roho nzuri Sana huyu mdada love you wema Alafu yule shoga kajala nae sasa huna hata utu hukufikiria Wema alivyokusaidia kwa habari...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Play back zimepitwa na wakati. Jumapili Fid Q alifanya show Billz kwa kutumia band na jana Ally Kiba huko Moshi naye kafanya the same. Inavutia kushuhudia show za mtindo huo. Wasanii wengine...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nimeshtuka nilipo ona tangazo eti kua sasa utakua unapiga harakati zako za kupinga matumizi ya madawa kupitia kutangaza Clouds TV.. Kwa kifupi umeajiriwa na hao watu wa Clouds kama mtangazaji...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Katika kusheherekea sikuuu ya mwanamke Duniani, Mwanamuziki mwenye hadhi ya kipekee bongo, Judith wambura mbibo maarufu kama Lady jaydee ame share story yake fupi kuhusu bifu lililowahi kutokea...
4 Reactions
52 Replies
10K Views
Me nimekuwa na albamu zao ambazo walizigawa bure.kusema ukweli me sikupenda baadhi ya approach zao kama vile kutukana matusi direct tena ukizingatia Mr Sugu ni mheshima kwa sasa. ila nilipenda...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Staa katika tasnia ya filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu'. TAMBO ZA NANI ZAIDI? Sakata la kupangishiwa nyumba za kifahari na wanaume linazidi kuchukua sura mpya kwa mastaa wa kike...
2 Reactions
35 Replies
27K Views
Kim Kardashian and Kanye West have refused to let their daughter feature on Keeping up with the Kardashians. This is apparently because they want her to have some privacy and be able to be a child...
1 Reactions
28 Replies
5K Views
Sidhani kama kuna producer apa bongo mwenye kifafa cha akili, ambaye ataweza kumlipa LULU mil 15 kwa movie moja tu. Achilia mbali uigizaji mbovu Wa Lulu Michael, hakuna movie yeyote aliyowahi...
9 Reactions
54 Replies
11K Views
Nimeangalia kipindi cha Mikasi nilichomsikia Muongoza kipindi ni swali moja ambalo limenifanya nikimbilie hapa Jamvini mnisaidie maana Salama kamwambia January kuwa wao wote ni Masupastar akamtaja...
0 Reactions
40 Replies
17K Views
Diamond alifanya show ya mwaka mpya katika uwanja wa amahoro Kigali, ni kweli hii show ilikuwa kali na ilimlipa vizuri. Kafanya show ya Tigo pale leaders club Dar hii ni sponsored show hivyo...
0 Reactions
117 Replies
14K Views
"Jamani jamani mnaosema ooh umasikini mmbaya kwanini Shilole anamdhalilisha bwana yake, jamani kwani huyo ‘so calle' Nuh or ‘whatever' his name is kalazimishwa?? unajua siku hizi...
2 Reactions
11 Replies
4K Views
Imekuwa ni kawaida sana kwa wasanii wetu wa tasnia mbalimbali kufanya mambo fulani au hata vioja na kupelekea majina yao kutengeneza headlines katika vyombo mbali mbali vya habari (wengine nasikia...
1 Reactions
9 Replies
8K Views
Habari wanabodi.. Leo nimeona niandike hili. Nieleweke kabisa mimi sina timu yeyote hapa.. Hivi majuzi tulishuhudia clouds Media kujitangaza kuwa bila wao diamond asingefika pale na wanajivunia...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Naamin kua kila m2 hupenda sana kufatilia na kutazama maigizo yanayorushwa kuptia v2o mbal mbal vya runinga,ss kuna katabia ka1 hua naona ni bora waachane nako yan utakuta lbd igizo linarushwa na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wasanii hawa kwa taarifa za ndani ni kuwa wamechaguliwa kuwa wajumbe wa kamati ya kitaifa ya katiba mpya kuelekea kura ya ndio wakiwa na Prof Costa Mahalu, Dr Bana, Kingunge, William Lukuvi na...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili?? Source:BongoClan™ : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA...
0 Reactions
142 Replies
32K Views
Mjini Msingi kiuno , Kauli inayodhihirishwa na Zari hapa kwenye hizi picha , Zari amenaswa na mpiga picha wa Diamond akikagua mali zake kama zipo salama
2 Reactions
37 Replies
12K Views
Jamaa anapenda sana mziki.Lakini inavyoonekana mziki haumpendi. Ameshajaribu kutoa ngoma kibao. Lakini hazifanyi vizuri kwenye game. Hebu tumshaurini huyu jamaa wapi anabugi na nini afanye ili...
2 Reactions
46 Replies
10K Views
Habari wanabodi, Jana nilikuwa naangalia kipindi cha 5gears cha clouds TV kinachorushwa kila jumatatu saa tatu na nusu usiku(marudio 7:30/8:00 mchana Jumanne/Jumamosi),nilishangaa kumuona Matonya...
2 Reactions
52 Replies
22K Views
Back
Top Bottom