Hbr wakuu hivi haya malalamiko ya mr misifa juu ya baadhi ya wasanii kutohudhuria mazishi ya baba yake na kudai kuwa hawamjali na kusisitiza kuwa wengine wanajifanya kumuita brother lakini...
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika...
Sijui kwa nini Cheka hataki tena kwenda shule, tangu alipopewa nafasi alikwenda mara mbili tu kujisajili na kupiga picha lakini kusoma hajawahi, mama huyo ameiambia Mwanaspoti mjini Morogoro...
Hili ni pigo lingine kwa wasanii wetu hapa nchini.
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Kash (Jaji Khadija) amefariki dunia katika hopsital ya muhimbili ambapo alikua amelazwa. Kash amewahi...
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni mkosi mkubwa kwenye maisha yako. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na...
Hawa madogo nimeamini kweli ni yamoto
Maana jana london kiliwaka. ..waandaaji
Pia walitisha sana. .kwanza show ilifanyika
Ukumbi 5 star na show ilikuwa Live bila chenga. .sijawai kwenda...
Jamani yamezungumzwa mengi na yataendelea kusambaa mengi kuhusu Lowassa, yule waziri mkuu aliyeamua kuachia ngazi baada ya kukumbwa na kashfa.
Moja kali ambayo nimeipokea tangu asubuhi, lakini...
Lady Jay Dee
East African popular musician Lady Jay Dee ameamua kuwapa modongo Clouds fm kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika...
Rapper mahili na ex-member wa kundi la East Coast Team Hamis mwinjuma a.k.a Mwana Fa sasa amegeukia upande wa pili wa burudani yan Masumbwi(boxing).
Star huyo wa 'Yalaiti' amepanga kuzichapa na...
Msanii nguli wa miondoko ya hiphop Tanzania Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana Fa ageukia upande wa pili katka soko la taarabu.Na kwa kuanza leo ameachia kibao chake kipya kinachoitwa 'Yalaiti' ambao...
Umuofia kwenu!Eem let mi kujitutumua kuuliza kizungu becoz ze lugha ya taifa iz hard for forenaz.Zis nearby for Wema Sepetu and ze msanii zis Ommy dimpoz iz kukaaje?zey kupiga picha tata zea Sauz...
Jana madogo walikuwa live bbc swahili londn na leo wanatumbuiza show yao ya kwanza
Ulaya mji wa London..uk..
Watanzania wengi wameonekana kuwapokea
Vizuri vijana..
Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu...
Kesho hawa watoto watafanya show East London,ambayo itakuwa ya kufaana saana!Watanzania waishio huko wengi wamepanga kuwa-support na nimeambiwa ticket zimeisha tayari!
Ni moja ya band nzuri,japo...
Naomba kama kuna anayefahamu historia ya Askofu anifahamishe kidogo,maana sijawahi kusikia chochote kibaya kuhusu huyu Askofu.
Je ni mmiliki wa gazeti la Msemakweli au Nyakati?
Je ndo mmiliki wa...
Umofia Kwenu,
Wadau kuna habari Le grande mupao suvereee mwonkozi Joseph Kusaga amehamia Abu Dhabi kwenye makazi mapya,anataka kufungua radio station huko huko na kupeleka king'amuzi chake!
Big...
Jamani! Hasheem Thabeet amechafua bwana. Mpaka hivi sasa ana baby momma wanne.
Jamaa muda mwingi anatumia kwenye viuno na sio court ku-ball. Dah! Kweli Mswahili Mswahili tu..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.