Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hbr wakuu hivi haya malalamiko ya mr misifa juu ya baadhi ya wasanii kutohudhuria mazishi ya baba yake na kudai kuwa hawamjali na kusisitiza kuwa wengine wanajifanya kumuita brother lakini...
0 Reactions
133 Replies
19K Views
Kwanza nakupongeza sana mdada kwa kufanya bidii katika muziki na kimaendeleo pia.mimi siko Tanzania kwa muda sasa lakini nafuatilia kwa karibu sana kila kinachotokea huko.Majuzi uliposti katika...
9 Reactions
277 Replies
47K Views
“Sijui kwa nini Cheka hataki tena kwenda shule, tangu alipopewa nafasi alikwenda mara mbili tu kujisajili na kupiga picha lakini kusoma hajawahi,” mama huyo ameiambia Mwanaspoti mjini Morogoro...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ukitaka kuamini uchawi upo, Wewe soma Uzi wowote unaohusu mafanikio ya celebrity yeyote wa Tanganyika. Hapo ndo utawaona wanavyocoment!! Akinunua range utasikia, Aah labda angenunua Bentley...
12 Reactions
85 Replies
7K Views
Hili ni pigo lingine kwa wasanii wetu hapa nchini. Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema Kash (Jaji Khadija) amefariki dunia katika hopsital ya muhimbili ambapo alikua amelazwa. Kash amewahi...
0 Reactions
73 Replies
20K Views
Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni mkosi mkubwa kwenye maisha yako. Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. Lakini kaishia kupata matusi na...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Hawa madogo nimeamini kweli ni yamoto Maana jana london kiliwaka. ..waandaaji Pia walitisha sana. .kwanza show ilifanyika Ukumbi 5 star na show ilikuwa Live bila chenga. .sijawai kwenda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani yamezungumzwa mengi na yataendelea kusambaa mengi kuhusu Lowassa, yule waziri mkuu aliyeamua kuachia ngazi baada ya kukumbwa na kashfa. Moja kali ambayo nimeipokea tangu asubuhi, lakini...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Lady Jay Dee East African popular musician Lady Jay Dee ameamua kuwapa modongo Clouds fm kupitia Twitter leo kutokana na wimbo wake mpya uliotoka hivi karibuni Joto hasira kutopigwa katika...
5 Reactions
174 Replies
32K Views
Sasa hivi ndio mnakumbuka kupiga nyimbo zake akiwa kafa! Mbona hamkupiga akiwa hai?! Hakuna redio ya kinafiki Tanzania Kama clouds!
5 Reactions
45 Replies
8K Views
Rapper mahili na ex-member wa kundi la East Coast Team Hamis mwinjuma a.k.a Mwana Fa sasa amegeukia upande wa pili wa burudani yan Masumbwi(boxing). Star huyo wa 'Yalaiti' amepanga kuzichapa na...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Msanii nguli wa miondoko ya hiphop Tanzania Hamisi Mwinjuma a.k.a Mwana Fa ageukia upande wa pili katka soko la taarabu.Na kwa kuanza leo ameachia kibao chake kipya kinachoitwa 'Yalaiti' ambao...
0 Reactions
47 Replies
9K Views
Umuofia kwenu!Eem let mi kujitutumua kuuliza kizungu becoz ze lugha ya taifa iz hard for forenaz.Zis nearby for Wema Sepetu and ze msanii zis Ommy dimpoz iz kukaaje?zey kupiga picha tata zea Sauz...
2 Reactions
87 Replies
19K Views
Jana madogo walikuwa live bbc swahili londn na leo wanatumbuiza show yao ya kwanza Ulaya mji wa London..uk.. Watanzania wengi wameonekana kuwapokea Vizuri vijana..
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Diamond Platnumz ni miongoni mwa marafiki wa karibu wa msanii Dully Sykes ambaye weekend iliyopita alimpoteza baba yake mzazi Ebby Sykes, lakini hakuweza kuhudhuria msiba huo kutokana na sababu...
0 Reactions
88 Replies
19K Views
Kesho hawa watoto watafanya show East London,ambayo itakuwa ya kufaana saana!Watanzania waishio huko wengi wamepanga kuwa-support na nimeambiwa ticket zimeisha tayari! Ni moja ya band nzuri,japo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Sio kwamba nafatilia sana ngoma za kuimbaimba ila kwa hii track janki kafanya poa sana hadi kawaficha wale jamaa kwe hiyo ngoma
1 Reactions
64 Replies
13K Views
Naomba kama kuna anayefahamu historia ya Askofu anifahamishe kidogo,maana sijawahi kusikia chochote kibaya kuhusu huyu Askofu. Je ni mmiliki wa gazeti la Msemakweli au Nyakati? Je ndo mmiliki wa...
3 Reactions
31 Replies
14K Views
Umofia Kwenu, Wadau kuna habari Le grande mupao suvereee mwonkozi Joseph Kusaga amehamia Abu Dhabi kwenye makazi mapya,anataka kufungua radio station huko huko na kupeleka king'amuzi chake! Big...
0 Reactions
23 Replies
11K Views
Jamani! Hasheem Thabeet amechafua bwana. Mpaka hivi sasa ana baby momma wanne. Jamaa muda mwingi anatumia kwenye viuno na sio court ku-ball. Dah! Kweli Mswahili Mswahili tu..
0 Reactions
27 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…