Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Naomba kujuzwa alipo huyu mtu sasa. Mwenye mawasiliano yake aweke aisee
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Jamaa anasema alienda kusoma na alipirudi akakuta kibarua chake kimeota ngaro Ila anakiri ITV ndio kituo bora cha TV Tanzania,Amesema wakimwita hata usiku wa manane yupo tayari kwenda kufanya kazi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Umofia Kwenu wana JF, TID alifanya interview na kituo kimoja cha TV ambacho alieleza nini kilikuwa chanzo cha beef kati yeye na Qchief Alias Mugabe (Formerly was known as Savimbi) alisema chanzo...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mama mzazi wa Nay wa Mitego anahisi mwanae ni mfuasi wa jamii ya siri ya freemason na ameanza kusita kupokea fedha kutoka kwake. Kwa mujibu wa mama yake, mafanikio ya haraka ya Nay yakiwemo...
0 Reactions
34 Replies
26K Views
Msanii maarufu wa Bongo Movie Elizabeth Michael "Lulu" wakati akifanyiwa interview nyumbani kwake,amesema kuwa anachukia umasikini na amedai kuwa umasikini ulipaswa kuwa sehemu ya dhambi.
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Bobbi Kristina akiwa na mama yake mzazi, Whitney Houston enzi za uhai wake. FAMILIA za Bobby Brown na marehemu Whitney Houston zimekubaliana kumwondolea Bobbi Kristina mashine inayomsaidia...
0 Reactions
70 Replies
12K Views
Hii ya WEMA tuite nn...? Drama, movie au sils....? km ni sils hii season ya ngapi? Tatizo langu kumbwa hapa hii movie haina hata PG(Parental Guidance).. yani hata watoto wanaangalia movie...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Nafurahia miziki ya bongofleva na wasanii wetu. Ukiangalia Picha za Alikiba kwenye public appearance au hata show anapenda KUSHIKA AU KUWEKA mkono uelekeo zilipo sehemu za siri! Hata kama ni...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
EXCLUSIVE! Kile kisa cha mtalaka wa mwimba taarab mahiri Bongo, Aisha Ramadhani Nkongo ‘Isha Mashauzi', Jumanne Hassan ‘Tevez' kuteswa na kudhalilishwa nchini Afrika Kusini kisa...
3 Reactions
38 Replies
10K Views
Umofia kwenu wanaJF, Huwa sipendi kuzungumzia afya za watu,ukweli kwamba nakuwa sina vithibitisho vya ushahidi lakini kwa hili la TID naomba kulizungumzia. Wiki mbili zilizopita niliudhuria...
1 Reactions
34 Replies
10K Views
Muigizaji wa filamu,Wastara Juma amewapa watu simamzi zito mtandaoni, baada ya leo kuandika maneno mazito ya uchungu akisema matatizo ya dunia yamemzidia na kubandika picha akiwa analia.Na...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Wema Sepetu amechoka uhusiano wa boyfriend na girlfriend. Muigizaji hiyo wa filamu amesema anataka kuolewa. Wema alisema hayo jana kwenye reality show yake, In My Shoes baada ya meneja wake...
0 Reactions
46 Replies
13K Views
Nimeshangaa kuona mtu wa Heshima Rais Mtarajiwa yupo katika Muonekano huu!
1 Reactions
72 Replies
16K Views
Bobbi Kristina Brown's family members have reportedly gathered to say goodbye, People reported on Thursday (today). The news comes just a few days after the 21-year-old daughter of Whitney...
1 Reactions
50 Replies
9K Views
Please Revive this Spirit...! God is ready to intervene. Judith Wambura & Gardner Habash
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Whitney Houston's mother returns to hospital to be at granddaughter's bedside amid claims she is AVOIDING Bobby Brown Cissy Houston, 81, arrived at the Emory University Hospital on Saturday Has...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nanukuu maneno ya Recho aliyoongea kwenye the Sporah show,sina mpenzi kwa sasa lakini mimi napenda sana kufanya mapenzi hata kwa siku naweza kufanya mara tano. Sijawahi kufanya mapenzi na mtu...
0 Reactions
104 Replies
19K Views
kama mnavyoona wakuu,wengine wanasema ni udhalilishaji wengine wanasema poa tu,sijui nyie mnasemaje,je ndio kiwango cha usanii kinakua hivyo?
0 Reactions
53 Replies
40K Views
Kwenye huu wimbo wa Lekadutigike kuna mstari unaosema Kigoma ni lango la Tanzania. Swali langu limekuwa ni lango kwa namna gani?lango la kwenda au kutoka wapi?, Sababu kama ni kuwa mpaka kuna...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…