Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Kwa upeo wangu., hili bifu la hawa watu wawili linakuzwa ili kumtafutia jina Ali Kiba ambaye alishapotea kwny ramani ya muziki.! naamini kwa wakati huu Diamond ni bora zaidi na hastahili...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Wema Sepetu amemfungulia mashitaka ya madai ya pesa shilingi mil 10 za VICOBA alizomkopea Diamond na kushindwa kuzilipa kwa wakati. === MKALI wa filamu nchini na Miss Tanzania mwaka 2006, Wema...
0 Reactions
89 Replies
13K Views
Aliyedownload na kuicheza hebu aniambie inachezwaje.Yaani chenga tu hamna la maana zaidi ya chupa ya wine picha kidoti ambazo hata hazisogei. Sijui alifanya uzinduzi wa nini.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimetoka kusikiliza interview ya 10 years ya THT iliyofanywa na bongo 5. boss Ruge kaongea ya maana sana, huyu bingwa wanamsema sana kwa mabaya. Lakini ukweli ni kwamba kasaidia sana wasanii...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Laurent Samatta/Uwazi BAADA ya kuachana rasmi mwanzoni mwa mwaka huu, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Luteni Karama,msanii huyo wa kike ameamua kumwaga mchele kwa kudai kuwa aliwahi kushika mimba...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel, amesema mafanikio ya wasanii wengi wa kike hayatokani na mauzo ya kazi hiyo bali sapoti ya waume au wapenzi wao kwa kuwa soko la filamu limeharibika...
1 Reactions
28 Replies
8K Views
Yupo sahivi anahojiwa na Sam Misago FNL, kawaambieni hivyo mashabiki wake kwakuwa mmeishupalia ishu ya kumpiga vibao 'mmewe' wakati hamjui kilichotokea
1 Reactions
60 Replies
7K Views
Msanii wa filamu za Kibongo, Yusuf Mlela amefunguka kwamba baada ya kuishi ‘singo' kwa muda mrefu, sasa anajipanga kuoa hivyo ndani ya mwaka huu lazima ndoto yake hiyo itimie.Msanii-wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwanamuziki Nazizi kutoka Kenya ameshangaza wengi baada ya kufanikiwa kupunguza mwili wake kwa kiasi cha wengi kutoamini kama ni yeye. Mwanamuziki huyo kabla ya hapo alivyosasa alikuwa ni Bonge...
3 Reactions
31 Replies
8K Views
Baba 20% sio unafki ana kipaji, na katika wasanii watunzi wazuri na wenye kipaji ni huyu hapa. Sasa sijui tatizo ni nyota? Simsikii tena hau itakua kukosa kashfa na Kushinda magazetini ndo maana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Whitney Houston's daughter found unresponsive in the tub. ATLANTA (AP) — The daughter of late singer and entertainer Whitney Houston was found unresponsive in a bathtub Saturday and taken to a...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
HUYU SINTA AU CHRISTINA Sijui nani nani, kwa sasa hivi anatamba sana na kudae kuwa yeye ana masters ya international relation, tunavojua huyu sintah pindi alipomaliza form 4 hakuwahi hata kunusa...
1 Reactions
68 Replies
20K Views
Ndoa iliokuwa ifanyike kati ya msanii Walper na mwenzie Sanga, imeingia matatizoni baada yawazazi wa bwanaharusi mtarajiwa wamekataa mtoto wao kumuoa Walper wakiamini atamsumbua mtoto wao hata...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
  • Closed
Umofia kwenu wana JF, Miaka ya 2006/2007 jina la Cynthia Masasi lilipata chati sana kwenye blog za bongo hasa alipoanza kuonekana kwenye video za wanamziki wa mtoni. Video queen huyo jina lake...
3 Reactions
44 Replies
16K Views
Mwigizaji wa filamu z kibongo, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ amemtaka mzazi mwenziye, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuz’ aoe ili kulinda heshima yake. Akizungumzia maisha yake ya uhusiano mbele ya...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wasalam wanaJF wenzangu, Kwanza naomba ni declare interest kuwa mimi ni shabiki wa maendeleo katika nyanja zote. Lakini kwa leo nitazungumzia muziki wetu hapa nchini (Bongoflava). Lakini point...
9 Reactions
48 Replies
9K Views
1. Kala Jelemiah - 2. Roma Mkatoliki - Huyu ni kama ameimba nyimbo moja tu toka aanze muziki nyimbo zake zote zinafanana- soon atapata stress huyu jamaa 3. Vanessa Mdee- Hajijui kama hajatoka...
1 Reactions
79 Replies
10K Views
Staa wa muziki wa Nchini Uganda, Bobi Wine ameibuka na kusafisha jina lake kwa kusema kuwa, tetesi za yeye kugundua kuwa alikua analea mtoto Simon ambaye si wake bila kujua kwa miaka kadhaa sasa...
1 Reactions
94 Replies
12K Views
aisee masela domo yupo levo nyingne kwa sasa,baada ya kula mkwanja unaokadiriwa zaidi ya mil 90 kwenye kiboko yao concert.hii itakuwa nyingne ya kwenda kulamba mil50 ya maCCM kesho songea.team...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Muonekano wa rais Barack Obama alipotembelea kijijini kwao Kenya. Nadhani baadhi ya hawa jamaa ktk picha hizi kama wapo hai basi watakua wamezifanya kumbukumbu kua walipiga picha na president...
3 Reactions
31 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…