Dogo kiukweli anajua na juhudi na kujituma Vizuri sana. Tatizo ni huyu sk sijui salam Ngoja kwanza ntawaekea ig yake muone utumbo Wake anaandika kuhusu show ya jana Ya tigo kiboko yao.
Huyu...
Mziki ni mfumo ambao unapopangiliwa vizuri basi huwa na dhamira mbalimbali lakini maudhui ambayo huwafikia watu kwa urahisi ni burudani na kuelimisha, na kila msanii huwa ana style yake ya...
Msanii wa bendi ya Twanga Pepeta,Luiza Mbutu amesema kilichomfanya Aisha kutumia madawa ya kulevya ni uvutaji sigara uliompelekea kuvuta bangi aliyofundishwa na Banza.
Banza alikuwa...
Hayo ni maneno ya msanii mkubwa wa Tanzania ajulikanae kama Tunda Man alipoweka wazi kuwa Tanzania inahitaji Rais mwenye uwezo wa kushughulikia matatizo ya wananchi na kukemea maovu bila kumwonea...
Maneno yanayoonekana katika account ya Mh. Zito Kabwe ni kuwa kiwanda cha filamu Tanzania kimefyatua kazi 8milion kwa miaka miwili huku wastani wa siku ukiwa ni filamu 11.
Huku kodi ya zaidi mili...
Wajamvi wasalaam.
Kuna vita ya maneno imezuka na inayo endelea kati ya Lemutuz na Mwana sheria Albert Msando.
Hii vita ya maneno imezuka baada ya kampuni ya Coca-cola kutangaza kampeni ya kuweka...
Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefunguka kwa urefu kuhusiana na masuala mbalimbali kwenye mahojiano aliyofanyiwa na mtandao wa SatisfashionUG.
Miongoni mwa mambo aliyohojiwa ni pamoja...
Ndoa ya Lazaro Nyarandu ambaye ni waziri wa Maliasili na Utalii na mrembo Faraja Kota iko 'ICU'
Kwa mujibu wa Mwanafamilia wa Waziri huyo hapa Arusha amehabarisha kuwa wawili hao kwa sasa...
Wasanii wa kibongo, badala ya kulialia na kutafuta sympathy mitandaoni kutokana na majina yenu kutumiwa na kampuni ya Coca Cola kwenye makopo ya soda, fanyeni kweli. Kama kweli mnadhani Coca Cola...
Msanii wa kizazi kipya Top In Dar aka tid ame post kwenye page yake ya instagram picha ambayo imezua maswali mengi kwa mashabiki zake kutokana alichoandika kwamba;
"i'm here with my house...
Mwezi December 2014 utakuwa wa kukumbukwa kwa kwaya maarufu Afrika mashariki na kati ya Ambassadors of Christ kutoka kanisa la Sabato Remera Kigali nchini Rwanda, baada ya kushuhudia waimbaji wake...
Diamond akiwa kwenye pozi na mpenzi wake Zari
Oohoo! Wakati staa mkubwa wa muziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' akichekelea kitendo cha mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan...
Muna Obiekwe's godmother Vera Kanu has divulged some of the secrets of the late actor which might have contributed to his death.
In an exclusive chat with icampus, Vera Kanu revealed that Muna...
Katika kipindi cha Mkasi kinachorushwa kila siku ya jumatatu saa 3:30, mkongwe wa Bongo fleva nchini kutoka kundi la East Coast Team GK amesema wasanii wengi Nchini wanatumiwa na wanasiasa kama...
Jamani it's damn 2015 na bado directors wa videos Tanzania wana direct videos ambazo hziendani na maneno ...Yani sehemu wanazoimba na video haziambatani it's like ni nyimbo tu then video...
Mwigizaji chipukizi katika tasnia ya filamu Bongo, 'Bozi' akihuzunika.
Jambo limezua jambo! Siku chache baada ya kuripotiwa kwa tukio la staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu kunaswa...
Habari wanajamvini .katika kufuatilia habari na kuhudhuria kumbi mbalimbali za starehe mimi nikiwa kolokoloni huwa nakutana na wakati mgumu sana katika kazi yangu siku akiwa Diamond ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.