Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

1.Roma Mkatoliki,..beats zake karibia zote sawa,nyimbo zake zote ujumbe sawa(harakati) 2.Izzo Bizness yaanii huyu beats zinafanana kila wimbo,mfano chorus ya wimbo mmoja unaweza kuimbia nyimbo...
2 Reactions
54 Replies
9K Views
Kajala Masanja (katikati) akiwa na Jacqueline Wolper (kushoto). Na Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata/Uwazi MWANADADA anayefanya vizuri kunako soko la filamu za Kibongo, Kajala Masanja...
1 Reactions
16 Replies
14K Views
Msanii nguli kutoka Uganda Jose Chameleone amefunguka na kusema kuwa haoni tatizo lolote la msanii Diamond kutoka na mrembo Zari wa Uganda. Mapenzi ya Diamond na Zari ambayo yamekuwa na umaarufu...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu wanajamvi? Ningependa kujua kati ya hawa watayarishaji mziki kutoka Afrika,ni nani anayetengeneza beat nzuri kati ya Dunga Ambros wa Mandugu digital na Uhuru wa Kalawa jazmee. Na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Nipo ofisini hapa, imezuka hoja inayosema Mwana FA ni mwandishi mzuri zaid wa mashairi kuliko Stamina, kwakweli tumezozana sana. Wao wanadai eti nyimbo nyingi za mwana FA zimeasha misemo kwenye...
2 Reactions
132 Replies
19K Views
  • Closed
awa ndio watu nisiowapenda kuliko wote jf nikiwaone nataman cjui niwafny nn yaan 1ni nyaningabu uyu anajifanya kasoma sana anadharau watu wasio soma wakati ni mbabu 2kiranga uyu ni mjuaji kila...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nimefatilia mahojiano mengi ya wasanii wa Hiphop Bongo kwenye Redios/Tvs, wakiulizwa msanii gani wa Hiphop unayemkubali Bongo zaidi ya 60% huwa wanamtaja Fid Q, nilikuwa nategemea watu kama...
2 Reactions
40 Replies
11K Views
Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wakiwa kwenye mkutano. Duh! Kama ulikuwa unaamini kuwa lile bifu la wakali wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz' na Ali Saleh Kiba...
0 Reactions
64 Replies
11K Views
Kwa wale wapenda burudani naomba niwaulize swali msani oten sk hizi yuko wapi?mwenye taarifa tafadhali?
0 Reactions
40 Replies
15K Views
Binafsi nimeumia sana hii picha imepigwa alivyofikishwa hospital,alikuwa anasumbuliwa na figo muda mrefu sasa ila hakuwa ametangaza. Kwa wale wana Jamiiforums mnaofatilia movie za...
0 Reactions
58 Replies
15K Views
MAHABA NIUE: Siku chache baada ya Wema Sepetu kunaswa kimalovee na Bob Junior, mwigizaji chipukizi, Bozi ameibuka na kumwomba Wema amwachie Bob Junior wake
0 Reactions
3 Replies
3K Views
A group of 12 friends from Atlanta, Georgia have taken their admiration for the singer Beyoncé to a more spiritual level. Zay of www.MapeNation.com reports that Pauline John Andrews is the founder...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aliyekuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu duniani, Muhammad Ali, amelazwa tena hospitalini leo huko Marekani kwa matatizo ya maambukizi katika mfumo wa viungo vyake vya haja ndogo. Ali alitolewa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
STAA aliyewahi kukamata vilivyo kwenye anga ya muziki wa Bongo Fleva , Shabani Ramadhani ' Matonya ' ameibuka na kumvaa mwanadada Judith Wambura ' Jide au Lady Jaydee ' akidai...
0 Reactions
72 Replies
23K Views
,. Hongera ,, ni ngoma kali... Team zile mbili zinazopwayaya hapa zinapotea. PACHA WANGU.- hongera. Melody,. Beat,. Video,. Bass.. Zile team mbili mnazokesha hapa kuleni kona.
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Umofia kwenu wana JF, Ebwana sasa hii sifa,akadumba tangia atoe video na nay wa mitego kawa mtamu,kumbe demu kajaliwa neema za alah,hips wema sepetu anakaa,wezere masogange anasoma namba,nina...
0 Reactions
19 Replies
11K Views
Sitti Mtevu ametoa msaada wa vyombo vya kuhifadhia uchafu kwa hospitali ya Ilala kupitia Sitti Foundation. Vifaa hivyo vilipokelewa na mbunge wa Ilala Zungu. Swali hivi kweli watu wanakosa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Hii nimeipenda bure japo sio vizuri kuchungulia chungulia simu ya mpenzi wako.
1 Reactions
38 Replies
7K Views
Licha ya Beautiful Onyinye , Wema Isaac Sepetu ' Madam' kuwahi kufikishwa kortini na Mbongo Fleva , Raheem Rummy Nanji ' Bob Junior , wamebambwa ' live ' wakioneshana mahaba niue...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom