Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Hawa jamaa wote tunaweza sema wamepoteza direction kimziki na kimaisha kwa sasa, but enzi zao(kipindi wapo kwenye ubora wao) hakuna asiyejua uwezo wao mkubwa wa kuimba na style yao ya kipekee...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Swali hili ngoja nisubiri. Diamond aje kujibu, kingine awe makini na mitandao. Kama uko nae karibu mjulishe hili.
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Kampuni ya kielektroniki ya Samsung kwa mara ya kwanza imehusisha kampuni hiyo na msanii wa muziki kutoka nchini Tanzania. Leo hii, Kampuni namba moja duniani inayoongoza kwa technolojia ya hali...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi. Beyonce ni mke wa Jay Z, story kubwa zaidi...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
I quote "Mimi naona amefikiri na amechukua uamuzi sahihi kwa sababu simuoni anachofanya namuona kama msindikizaji tuu. Na aende akatafute kitu cha maana cha kufanya na sio kulelewa na...
0 Reactions
44 Replies
12K Views
Furaha ilishika nafasi pale mwanadada shilole alipowasili uwanja wa kimataifa wa ndege wa Zaventem jijini Brussel. Msanii Shilole akiwa na furaha baada ya kupokelewa na wenyeji wake uwanja wa...
1 Reactions
41 Replies
11K Views
No comment.
1 Reactions
170 Replies
25K Views
HILI GAZETI LIFUNGIWE!!!!!!!!!!
1 Reactions
90 Replies
18K Views
Imefichuka ,Mrembo wa Uganda ambaye kwa sasa ndiye ' usingizi ' wa Mbongo Fleva , Nasibu Abdul ' Diamond ' , Zarinah Hassan ' Zari ' hivi karibuni alitua Bongo na kulala nyumbani...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
King Lawrence has revealed that ‘his brother' Ivan Semwanga's wife Zari Hassan has slept with over 50 men, including loaded Nigerians for money. And all the time, smitten Ivan...
0 Reactions
81 Replies
37K Views
Wakati Diva wa Filamu Bongo , Kajala Masanja ' Kay ' akielezwa kuwa mambo yake hivi sasa yako kwenye mstari kwa kusajili Kampuni yake ya mambo ya Sinema , mwanamke aliyejitambulisha kwa jina...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huku watanzania wakiwa wanaamini ya kuwa Jux yupo kimasomo nchini China, young rapper young killer amemchana Jux kupitia kipindi cha FNL kuwa yupo China kununua nguo na si kusoma. By:@SUPU YA MAWE
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Muigizaji wa filamu hapa Bongo, Yvone Cherry maarufu kama Monalisa, amesema kuwa milango ya kufanya kazi za filamu kimataifa imeanza kufunguka, akiwa tayari na project aliyofanya na timu kutoka...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
The King Of All Bongo Social Media Network, Le Mutuz ukipenda muite Mzee wa mabebezz amemshukuru mrembo na Muigizaji Lulu kwa kuonyesha kumjali wakati wa matatizo na kuwashukia baadhi ya marafiki...
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Akizungumza na Global TV online kwenye Kipindi cha Mtu Kati , Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Rashid Sultan, amefunguka na kuelezea mahusiano yake na muigizaji Elizabeth...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TUESDAY SPECIAL Ladies not yarayaraaa kule kwenye mkia si weaving/kibanio ni unywele wangu lovely Nilisema Habari za hawa watatu zimenichosha lakini ndizo...
3 Reactions
91 Replies
33K Views
Habari mbaya kwa pele wa ureno,,ronaldo ,,naona mitandao na kilasehemu wanajazq habari za kuaqchana na mpenzioe wake....je umaarufu bila mwenza inawezekana??wako anakuacha lini?? Nipe nyimbo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
FASHION DESIGNER SHERIA NGOWI ADDRESSES ALLEGATIONS REGARDING ONE OF HIS 2011 CREATIONS OFFICIAL STATEMENT FASHION DESIGNER SHERIA NGOWI ADDRESSES ALLEGATIONS REGARDING...
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Katika kile kinachoonekana waigizaji wa kike kutaka kukuza tasnia ya Uigizaji kwa kuvuka Mipaka. Mwigizaji Irene Uwoya amesema kuwa anataka atambulike nje ya Nchi kuliko ndani ya Nchi. Akiweka...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom