Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Jamaa yuko kwenye harakati kitambo kwenye hii game. AY ndo alianza kuwafumbua macho wasanii kuhusu umuhimu wa kufanya collabo na wasanii wa nje ya nchi. Pia ndo alikuwa msanii wa kwanza bongo...
1 Reactions
158 Replies
22K Views
BAADA ya kuwa na malengo ya kuolewa mwaka 2014 , mwigizaji Elizabeth Michael ' Lulu ' ameibuka na kusema imeshindikana lakini hajilaumu wala hamlaumu mtu yeyote kwa kutotimiza suala hilo...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Afro pop ukanda wa afrika mashariki Nasib Abdul Juma ama "Diamond" amewafurahisha mashabiki wa muziki mzuri baada ya kutangaza kuachia ngoma yake katika media za...
3 Reactions
320 Replies
72K Views
MREMBO aliyejizolea umaarufu katika video mbalimbali za wasanii Bongo, Agness Gerald ' Masogange ' amefunguka kuwa hatarajii kurejea nyumbani hivyo mashabiki wake watamsubiri sana ...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
MWANAMITINDO anayefanya vizuri katika urembo ambaye hivi karibuni aliingia mkataba wa mabilioni na kampuni ya Rainbow Shell ya China, Jokate Mwegelo amesema katika harakati zake za kusaka...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mwanamuziki wa nyimbo za injili Flora Mbasha amedai kuwa Emmanuel Mbasha hakuwa chaguo lake kwa sababu ya kufanyiwa vitendo vya ukatili na mumewe huyo. Source: gazeti Mzalendo. Hivi inamaana...
0 Reactions
94 Replies
21K Views
Mi nauliza huyu mtu anajiita Lemutuz, kwanza kabisa umri wake, elimu yake na kazi amayofanya. Mana vitu anavyofanya, ninavyokadiria umri wake, elimu anayodai anayo, exposure anayodai anayo...
14 Reactions
342 Replies
42K Views
Baada ya kumvisha pete mchumba wake Shilole siku ya birthday yake,msanii Nuh Mziwanda amesema kuwa muda wowote kuanzia sasa atamuoa mchumba wake huyo. ''Kumvisha pete mchumba wangu ni hatua kubwa...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Nilisikitishwa sana baada ya kutambua kuwa pamoja na kuwa na mlima kilimanjaro, ziwa Tanganyika, migodi, mbuga na mengineyo bado kuna watu wapo hapahapa afrika lakini hawaijui wala hawajawahi...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Katika moja ya watangazaji ambao wanajtahidi kuifanya kazi hii iwe na heshima ni Millard Ayo. Sitaki kumzungumzia kwa upande wa utangazaji, nataka nimzungumzie katka upande wa ujasiriamali wake...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Mkurungezi wa Bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta' Asha Baraka amemuonya msanii anayefanya vizuri kwenye muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond' kutojaribu kujihusisha na...
2 Reactions
15 Replies
5K Views
Mzazi mwenzake na mbunge wa mbeya mjini bwana joseph mbilinyi aamua kuvaa pampers kwenye kusherehekea siku yake ya kuzaliwa hapo jana. Watu mbalimbali akiwemo lemutuz walihudhuria.
0 Reactions
201 Replies
40K Views
Wana Jamvi wasalaam! Happy New year 2015. Allah ni mwema wakati wote! Wana jamvi bila shaka kila mtu analikumbuka shindano la kusaka vipaji vya waimbaji maarufu kama Bongo Star Search (BSS)...
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Mkono wa sheria ! Achana na drama zake na aliyekuwa mwandani wake , Nasibu Abdul ' Diamond Platnumz' , mcheza sinema ' grade one ' Bongo , Wema Isaac Sepetu ' Madam' anapandishwa...
0 Reactions
60 Replies
9K Views
Staa anayetamba na ngoma mpya ya ‘ Nshumu Nshumu ’ , Rehema Chalamila ‘ Ray C ’ amevamiwa na kung ’ atwa mguuni na paka anayesadikiwa kuwa na kichaa hivyo kuibua mjadala kuwa endapo hatazingatia...
0 Reactions
10 Replies
11K Views
Staa wa Filamu za Kibongo, Kulwa Kikumba ‘Dude’ ameibuka na kusema kuwa kuelekea mwisho wa mwaka mastaa wengi wana Ukimwi na mbaya zaidi wanaambukizana wao kwa wao. Akizungumza na gazeti...
1 Reactions
13 Replies
10K Views
STAA wa filamu Bongo ambaye miezi michache iliyopita alifunga pingu za maisha na mwanaume mwenye asili ya Denmark , Lucy Komba amekwea pipa kuelekea nchini humo kwenda kuishi na mumewe sambamba na...
1 Reactions
23 Replies
10K Views
DUNIA ina mambo! Wakati mkewe mwanamitindo Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘ Jack Patrick ’ akiwa nyuma ya nondo kwa msala wa madawa ya kulevya ‘ unga ’ nchini China, mumewe , Abdulatif Fundikira ‘...
0 Reactions
21 Replies
9K Views
Msanii mwenye jina kubwa hapa bongo ally kibba Jana 19.12.2014 ameachia video iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wake ya Mwana dsm nimeona tujadili mapungufu yake ili aweze kujirekebisha...
7 Reactions
178 Replies
22K Views
Back
Top Bottom