Habari tulizozipata kupitia mtandao wa GPL zinasema,-MWIGIZAJI na mwanamuziki wa Bendi ya FM Academia, Patcho Mwamba hivi punde ameibuka katika ofisi za mtandao huu na kukanusha vikali-taarifa...
Habari zilizoenea kwenye magazeti na mitandao ni kwamba Muimbaji wa nyimbo za injili Rose Muhando safari hii amemtapeliAlex Msama baada ya kupokea fedha kwa makubaliano ya kushiriki Tamasha la...
Tukiwa tumebakiza Siku chache kabla ya kumaliza mwaka 2014 tukutane hapa kuchagua wimbo bora uliokupendeza mwaka huu.
Nimeona tujichagulie wenyewe kwa kupiga kura zetu hapa JF kabla ya wale jamaa...
Hahahahah watanzania bwana!
Le mutuz haters are mostly from men and a few chicks who just hate.
Wanaume ni vile viuno anavyoshika Le Mutuz na ma bebez inawakula moyo na mnatamani kufa, sikia...
Said Fella amejikuta akifichua nia ya January Makamba ya kugombea urais mwaka 2015,amemuhakikishia Salma Jabir kwamba 2015 kijana mwenzao watampa support,yeye (Salma) asubiri ataona.
Ni ugomvi uliodumu kwa muda mrefu kati ya hawa wasanii wadogo wa nigeria tangu nyuma walipoanza kazi zao za usanii.
awali wawili hao walikutwa wakiwa na furaha tele kwenye birthday ya kaka yake...
Kweli adui wa Mtanzania ni Mtanzania mwenyewe, Kwanza walitapeliwa Mwana FA na AY. AY akaongea mpaka radioni kumtusi Victor Dj rule kuwa aliwatapeli show yao Birmingham then TID tukamsikia kwenye...
Diamond kwa mara nyingine ameweza kuonyesha mjengo wa nyumba yake ambayo bado iko jikoni karibu kumalizika.
Kupitia mtandao wake wa Instagram,Diamond ameonyesha mjengo wake sehemu ya swimmingpool...
Binafsi ni mpenzi tu wa muziki, sina taaluma yeyote na masuala ya muziki na ninachoandika hapa ni MTAZAMO wangu binafsi wa kile nilichokiona. Watu wengi wamelalamikia video ya Ali Kiba kutokuwa na...
Yafuatayo ni mambo matano yanayomuhusu Ali Kiba ambayo
DStv.com kwenye Exclusive interview imeyapata, baada ya kukaa
nae na kumuuliza maswali mbalimbali.
1. Anasema amemaliza kuijenga nyumba yake...
Kwa kawaida mimi huwa sipendi mambo ya ku follow the crowd na ushabiki lakini kwenye hili nimeona bora nimwekee thread yake pekee huyu Mtazania mwezetu. Nadhani kama kuna mtu alitakiwa kuenziwa...
Waandaaji wa mashindano ya urembo ya dunia maarufu kama Miss World wamefuta sehemu ya shindano hilo inayohusisha warembo wakiwa wamevalia nguo za kuogelea maarufu kama vazi la ufukweni au Beach...
Edo Kumwembe: ''Nasikia tu kuna bifu Wanigeria vs Watanzania mitandaoni.NINACHOJUA ni hiki hapa, zamani walikuwa wanatuzidi kuuza unga, sasa hivi tumewazidi.
Wakatuzidi kucheza filamu, tukawaiga...
Hivi kwa hali ya kawaida unaweza kuwa ni mtu maarufu kwa sababu tu ati media zinajadli kila unachokifanya kiwe kizr ama kibaya,ukizingatia media za mbongo kwa asilimia kubwa hujadili mambo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.