Jux ndio muanzilishi wa kampeni ya 'Unfollow Davido' kule instagram. Jana SAA NNE usiku ndio alipost kampeni hiyo ikiwa ni dakika 20 tangu Davido a post ile sentensi. Watu wakaanzia pale na...
Wakuu heshima kwenu.
Kwa mara ya kwanza nimeamua kuangalia mashindano ya Miss World lengo likiwa kujua ni wasichana wa aina gani wanaenda huko na vitu gani hasa wanavipa kipaumbele. Ukweli...
Karne ya 19 mwishoni, mtaalamu wa uchumi nchini Italia, Vilfredo Pareto, alitambulisha kanuni inayoitwa "The Principle of Least Effort" ambayo inajulikana pia kama 80/20, kwamba asilimia 80 ya...
Mwanamitindo maarufu wa Tanzania Flaviana Matata alikuwa bega kwa bega na mwekezaji na nguli wa hiphop Russell Simmons katika utambulisho rasmi na kuchangia Flaviana Matata Foundation 'FMF'...
Salaam
Yule mshiriki wa BBA season 9 kutoka Africa kusini mrembo Samantha kesho ataingia nchini.
Source: ukurasa wa twitter wa Idri$ $ultan(ultimate hotshot)
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-Thats Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael Lulu...
Huyu ndo kijana mtanashati anayetuwakilisha mjengoni BBA kwa mwaka huu 2014, anaitwa Idris Sultani.
Alikuwa photographer/graphic designer ndani ya kampuni ya i view studio.
Kila la kheri...
"Kwanza sisikilizagi Clouds redio ya kis****e hiyo" Nakumbuka maneno hayo aliyasema 20% Jumamosi flani ya mwaka juzi alipokuwa anahojiwa kwa simu kwenye kipindi cha Bongofleva kinachoongoza na...
Waliokuwa washiriki wa mashindano ya Big Brother Africa Hotshots, Idris Sultan wa Tanzania na Samantha Jensen wa South Africa wameanza kuonesha ukaribu wakiwa nje ya jumba la mashindano hayo...
Nimesikitishwa sana na kifo cha binamu yangu khamis Kayumbu Amigoras kwa matatizo ya moyo, Amigoras ni ndugu yako na amefanya kazi kwenye band yako kwa miaka 18!
Unajua tatizo lake la afya...
Mdada mtangazaji wa star tv ameolewa na Raymond Nyamwihula ambaye naye allikuwa mtangazaji wa star tv, ila kwa sasa anafanya kazi Arusha ni Beural master. wameonesha harusi yao kwenye citizen...
hivi kuna mtu aliwika na kupendwa kama juma nature sasa yuko wapi so huyo yaliyompata ajue ndio mwanzo wa mwisho kawaida tu,mzee reksa alisema kila zama na kitabu chake
Yule celebrite aliyekuwa mtangazaji wa Redio Clouds Othman Njaidi amerejea bongo baada ya kukaa jela huko marekani kwa muda mrefu, karibu bongo mwendo mdundo,unaona ilivyobadilika
Hii imetokea katika club mmoja nchini Uganda baada ya Davido kutoka katika club hiyo na kurudi Hotelini.Davido kwa sasa yupo nchini Uganda.Mwenyeji wake ambaye ni Mdogo wa Jose Chamilion...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.