Aiseee nimepitia mitandao kadhaa pamoja na page ya bwana mkubwa Chriss Brown aisee ni sheeda, kamchana huyu bi dada karrueche, naskia kagonoka na Drake. Pitia clip hii Youtube juzi ijumaa kwenye...
habari za jumapili wana jamvi.hiki kundi la wanamuziki lililotamba kwa jina la wagosi wa kaya na nyimbo zao kama ;tanga kunani pale,walimu,wauguzi na trafic ..wako wapi vijana hawa mana walikuwa...
MTANGAZAJI Bongo, Penniel Mungilwa ' Penny' amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwagombanisha marafiki wa damu , Wema Sepetu ' Madam' na Aunt Ezekiel , baada ya yeye kuingilia urafiki huo ...
MCHUMBA wa Video Queen maarufu Bongo, Agnes Gerald ' Masogange ' aitwaye Evance Kom juzikati alijikuta akivunja ukimya kwa kuweka wazi kuwa msichana huyo amemsaliti baada ya kuvunja...
Dah! hapa imetoka kupigwa dangushima, dogo anabana sana pua its so annoying. Huyu dogo ki ukweli sauti hakuna ni pua kwenda mbele.
Jamani please wekeni Top 10 ya wabana pua tuwajue, wanaboa...
Nilikuwa nasikia wimbo wa umri wa TMK Wanaume Family nikamsikia the late YP akichana ndio nikaanza kuwakumbuka majembe ya bongo fleva ambao hawapo tena hapa duniani.
Nimemkumbuka Geez Mabovu...
Mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka kuwa hakuna skendo ambayo ilimsononesha kama ile ya mwanaye huyo kuambiwa hajui Kiingereza .
Mama Kanumba alifunguka hayo juzikati katika...
By Associated Press Published: Dec 5, 2014 at 12:12 PM PST Last Updated: Dec 5, 2014 at 12:12 PM PST PLEASANTVILLE, N.J. (AP) - Rapper Beanie Sigel was...
Rose Ndauka amewatega mashabiki wake kwa kutupia picha ya kidole chake chenye pete ya uchumba kwenye mtandao wa Instagram kuashiria kuwa amechumbiwa
Kweli picha ni yangu, mimi ndiye nimeiweka...
Stori: waandishi wetu
Madai mazito! Pamoja na kutumia nguvu kubwa kukanusha kwa miezi kadhaa, bado staa wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel Grayson, anaendelea kugandwa na madai kwamba, amenasa...
Mpaka sasa hivi amechukua tuzo;
1. Most gifted New-comer
2. Most gifted Afro-pop
3. Most gifted video of the year
In what may be seen as a stroke as of bad luck or a decline in the quality...
Miaka 15 ya Wale jamaa wa Mjengoni, 88.5.
==========
Leo Nimewasikia hawa watangazaji wabunifu na Machachari wa Radio hii ya Clouds FM ambao waliacha kazi muda mrefu sasa. Waliitwa kwa ajili...
Nimemuona huyu jamaa mitaa ya Sinza makaburini leo, it's been a looong time, kakonda, kadhoofika sana , hali mbaya sanaaa, unga umemchukua, hajiwezi , hali ni mbaya sana, na muda huo namuona...
Mpiga drams maarufu nchini, aliyepata kupiga kazi na bendi Extra Bongo, Martine Kibosho, ambaye ni ndugu moja na mpiga drams wa bendi ya African Stars 'Twanga Pepeta', James Kibosho, anazidi...
MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa nae...
Ile project ya Diamond itahamia Uganda hapo tarehe 18 December kwenye Zari white party inayofanyika kila December. Mgeni rasmi atakuwa Diamond. Wakati huohuo Wema nae atakuwa akiserebuka kwenye...
Leo ni siku ya kuzaliwa kwa mwana bongo fleva Ally Kiba Tumtakie maisha marefu na yenye baraka
N:B Sitarajii kama huu utakuwa uwanja wa Kupambanisha watu tumtakie tu Ally Kiba heri ya siku/tarehe...
Huu ni utafiti wangu na maoni yangu mimi ( Money Stunna)
Utafiti huu umeangalia wanawake mbalimbali ambao msanii diamond alikuwa nao kwa kipindi tofauti hakuna ambao aliomsaidia zaidi ya Wema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.