Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown alifanikiwa kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard. Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile...
8 Reactions
381 Replies
49K Views
Wimbo wa mama ni kweli unapendwa sana tena na kila mtu kwa kuwa tu kila mtu anampenda mama yake hii ndio sababu jamii ikaukubali. Tatizo ni pale unaposema 'mama ulinitoa duniani' unaharibu maana...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwenye huu uzi hapa chini kuna ndugu zangu walikomaa kweli wakipingana na hiki alichokisema diamond leo Diamond umethibitisha mwenyewe...
1 Reactions
52 Replies
7K Views
Kutokana na umaarufu alionao Wema, amekuwa akidate na vigogo wenye pesa nyingi, na inasemekana mtu aliemnunulia BMW Wema, naye anahusika katika kuchota pesa za ESCROW. Mwanadada huyu amekuwa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Geez Mabovu amefariki katika kipindi ambacho kwa asilimia kubwa alikuwa amepotea kwenye masikio ya wengi. Na mara nyingi sababu za kupotea kwenye masikio ya watu ni kutochezwa kwa nyimbo za msanii...
3 Reactions
26 Replies
10K Views
Aliyasema haya wakati anaongea na XXL ya Clouds fm leo mchana baada ya kuulizwa umefanya nini kusaidia jamii. Amesema yapo mengi ameyafanya lakini hawezi yasema kwani ni kama sadaka....ila kwa...
1 Reactions
50 Replies
7K Views
Kwa wale wenye kutumia smart phones za android ingia playstore na search "MSODOKI" hapo uta download application mpya ya msanii wetu young kila msodoki na utaweza kuangalia video zake, kusikiliza...
0 Reactions
30 Replies
9K Views
MWIGIZAJI Kajala Masanja amefunguka kuwa anatamani kuongeza mtoto wa pili kwani tayari aliyenaye ameshakua vya kutosha . Akipiga stori na mwandishi wetu, Kajala alisema anasaka mimba kwa namna...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Mshambuliaji wa kilabu ya Totenham nchini Uingereza Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake. Duru zimearifu kuwa mama huyo tayari ameondoka...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna watu wameimba kwaya kwa kwa kukopi kila kitu kutoka katika huu wimbo, je wamepata uhalali wa kufanya hivyo? Au ndio kibongo bongo mazoea? Natumia cm nikakaa kwenye pc nitauweka huo wimbo...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
LEGENDARY kwenye anga la sanaa Bongo, Vincent Kigosi ‘ Ray ’ kwa mara ya kwanza amefunguka kuwa mpenzi wake wa sasa , Chuchu Hans ndiye kila kitu na kilichobaki ni ndoa tu . Akizungumza na...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Hili Jukwaa Sasa Limechuja Na Radha Yake Imepotea Kabisa Mbona Kuna CeLebrities Kibao Hapa Town:..Sasa Kwa Nini Mmebase Kwa Msanii Mmoja Tu? Kwa Hii Tabia , Mi Nasema Nimechoka! Jigo
3 Reactions
117 Replies
8K Views
Huyu jamaa ni noma aisee Nguo anazovaa,lafudhi na jinsi anavyoigiza. Cheki futuhi now au next Thursday uine then uje utoe feedback!! Huyu jamaa anatosha
4 Reactions
99 Replies
41K Views
MUNGU mkubwa! Vengu is back from hell ( Vengu amerudi toka kuzimu) . Msanii staa wa Kundi la Orijino Komedi ' OK ' , Joseph Shamba ' Vengu ' ameanza kurejea katika ' fomu ' baada ya...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Young Killer Msodoki ni mmoja kati ya wasanii wanaonikosha roho likija suala la burudani,hakuwahi kutoa wimbo usipendeze masikioni mwangu.Tumpe sapoti mdogo wetu asije kuwa kama wale waliokuja na...
2 Reactions
2 Replies
10K Views
Ninaripoti kutoka Uganda kama ifuatavyo: Baada ya Diamond kujisevia Zari kiulaini bila kutumia nguvu boyfriend wa Zari aamua kujiweka kando kwa madai kwamba ni bora awe single kuliko kuwa na...
4 Reactions
122 Replies
15K Views
Inasemekana ya kuwa undisputed Tanzania top football Analyst Edo Kumwembe analipwa milioni sita kwa mwezi kwa kazi ya uchambuzi wa soka ndani ya Azam TV. Ikumbukwe kuwa nguli huyo wa kuchambua...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Huku Namtumbo jamaa maarufu kinoma,na ngoma zake ni nyimbo za wilaya huku has a hii pacha kwani video kama imeshutiwa Mbele huko. Vipi huko kwenu ,nako mnamuona ana kipaji na ni maarufu...
6 Reactions
71 Replies
8K Views
Hii tuiite abusing, jealous, au hates? Halaf Zari thebosslady wa watu hata hakumrespond na daily anakua na POSITIVE THINKING! :thumbup::sly::):eek:
0 Reactions
37 Replies
7K Views
KESI ya kuua bila kukusudia inayomkabili mtoto mzuri wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu' imewekwa kiporo kufuatia kuwepo kwa kesi nyingi za mauaji mahakamani, Risasi Mchanganyiko...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Back
Top Bottom