Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Haya miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa tayari yuko London ready for Miss world. BBC Swahili, Sporah interviews zimeshafanyika. Haya Happiness Go and Represent, You got my support girl.
0 Reactions
32 Replies
6K Views
  • Closed
Wadau tuwape pongezi wanandoa wapya mujini ni Richard Mziray na mrembo wa ukweeeeeee cynthia Masasi..Kila la heri kwenye maisha mapya.Epukeni marafiki wasiofaaa hasa kipinndi hiki amabpao mmekuwa...
3 Reactions
83 Replies
39K Views
Kwa hiki kipindi cha wema sepetu kinachorushwa na eatv bado cjakielewa maana yake haswa ni nini? Ambae anaelewa aniweke sawa kidogo
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Mwenye taarifa zaidi atujuze.....nimesikia dk hii. Nasikia amefia Muhimbili usiku huu kutokana na tatizo lake la pumu. Kama kweli, R.I.P Amigolas....mwimbaji wa Twanga Pepeta.
1 Reactions
40 Replies
17K Views
Mwanamuziki Mary J Blige kutoka Marekani amekataa kumkubalia mumewe kuwa na rafiki wa kike.Je,kunani? Msanii huyo wa siku nyingi anayefahamika zaidi kwa wimbo wake wa ''No More Drama'' ameolewa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Si utani amejaliwa kuwatafuna na kuwatema kama Diamond, tupo kwenye sherehe hapa magorofani Bunju nyuma ya Moga, Ngasa anaoa mwingine sijui wa ngapi huyu. Siweki picha maana mwenye nyumba...
0 Reactions
33 Replies
11K Views
MASAI APELEKA BARUA YA UCHUMBA NYUMBANI KWA WAZAZI WA WEMA SEPETU POINTI YA MSINGI Shangwe zaidi iliongezeka kwa mama Wema baada ya kusikia Masai huyo ana mji Singida tena kwenye kijiji ambacho...
0 Reactions
37 Replies
10K Views
HALI tete ! Bado vuguvugu la madai ya kuvunjika kwa ndoa ya mtangazaji mahiri Bongo, Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘ Kapteni’ na Mbongo Fleva , Judith Daines Wambura Mbibo ‘ Lady Jaydee au Jide...
1 Reactions
82 Replies
16K Views
Staa wa filamu hapa Bongo mwenye mvuto wa kipekee , Elizabeth Michael ' Lulu' amefunguka kuwa kamwe hapendi kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na masharobaro akidai kuwa siku zote ni pasua...
2 Reactions
119 Replies
12K Views
Mdogo Wake Beyonce Atia Aibu Katika Harusi Yake Solange Na Mme Wake Alan Ferguson Harusi Ya Aina Yake Ambayo Ilikuwa Ni Ya Kawaida Sana Bibi Harusi Hakutaka Mambo Makubwa Mambo...
1 Reactions
32 Replies
8K Views
MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mayasa Mrisho ‘Maya' amezuiwa kunywa pombe baada ya kuangushiwa maombi mazito na kushauriwa kubadilika kitabia. Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Kiukweli Jide tokea aachane na Gadner amekuwa akipendeza siku hadi siku sasa sijui ndoa ilikuwa inamtia stress au vipi.
5 Reactions
94 Replies
15K Views
Linex msanii wa bongo fleva anaetamba kwa sasa na wimbo wa wema kwa ubaya amedai kutapeliwa shiling 11 milion na jamaa ambaye anaitwa Minyamihela ambaye Steve Nyerere alimuunganisha na Linex na...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
MTANGAZAJI maarufu wa redio, Gardner G. Habash kwa mara ya kwanza amefichua ukweli wa makubaliano waliyofikia na mwanamuziki maarufu nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee' ya kutozungumza na...
4 Reactions
59 Replies
13K Views
Vicky kwasasa anakula bata nchini italy bila kujali vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma
3 Reactions
58 Replies
11K Views
Say no to domestic violence! Jana Msanii Lady Jaydee alipost picha akionesha kidole cha Mtu aliyeumizwa. Leo kapost akisema kuwa kile kidole kwenye picha ni chake. So, captain alikua anatoa...
2 Reactions
111 Replies
15K Views
kuelezea tu jamaa katisha je akirekodi!
3 Reactions
40 Replies
10K Views
Umofia Kwenu wana JF, Kampuni ya Azam inayomilikiwa na Le Grande Mupao Severee Mwonkozi Said Salim Bakhresa imewakwapua wafanyakazi matata wa IPP inayomilikiwa na Dr.Mengi,Wafanyakazi waliolamba...
1 Reactions
82 Replies
17K Views
Kim Kardashian Break the Internet Assignment Kim Kardashian, Break the Internet, assignment is definitely generating headlines. On the PAPER cover mag , Kim perfect oiled booty and the iconic...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BAADA ya kula bata za kutosha Bongo, wakati wakisindikizana kimahaba, staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz'na mrembo mkali kutoka Uganda, Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss...
0 Reactions
47 Replies
16K Views
Back
Top Bottom